BONGO MUVI KIMENUKA

Na Hamida Hassan BONGO Muvi kimenuka! Viongozi wapya wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ (mwenyekiti) na William Mtitu (katibu), wametofautiana kauli na kuanza kurushiana maneno mazito wakitaka kukunjana mbele ya wajumbe wa klabu hiyo. Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Chanzo makini kilitonya kuwa, kilichosababisha kuibuka kwa ugomvi huo ni baada ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
STEVE NYERERE KIMENUKA TENA BONGO MOVIE
11 years ago
GPL
BONGO MUVI WACHAFUKA!
10 years ago
GPL
WAMEONDOKA NA BONGO MUVI YAO!
11 years ago
GPL
BONGO MUVI KWAWAKA MOTO
11 years ago
GPL
MASTAA WAJIENGUA BONGO MUVI
11 years ago
GPL
MTANDAO WA NGONO BONGO MUVI
11 years ago
GPL
BONGO MUVI KUNA MASHOGA!
11 years ago
GPL
CATHY: BONGO MUVI INAKUFA
5 years ago
Bongo Movies02 Mar
Duma Kuirudisha Bongo Muvi
Msanii wa filamu bongo, Daudi Michael maarufu kama ‘Duma’ amesema lengo la yeye kumuita nchini msanii kutoka nchi ya Australia John K ni kutaka kuirudisha hadhi ya filamu ambayo imepotea kwa kipindi kirefu katika macho ya watu.
Duma amebainisha hayo wakati alipokuwa anazungumza kwenye kipindi cha eNewz kutoka EATV muda mchache baada ya kumpokea mgeni wake huyo kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar es Salaam.
“Watanzania wanapaswa watupe ushirikiano sana...