CATHY: BONGO MUVI INAKUFA
![](http://api.ning.com:80/files/1VJR9F-zilrU4mJL4pvZkOmRRgjU24zKqg7VHJpf9CiI7Q4kketybN37pVmlFPukaHVAwXhppp1dWOPTyNrXHYh0c-Myc*RM/CATHY.jpg)
Stori: Gladness Mallya MSANII wa filamu ambaye pia ni mweka hazina msaidizi wa klabu ya Bongo Movie Unity, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka kwamba anaona kundi hilo linakwenda kufa na halitakuwepo kabisa kutokana na kujiuzulu kwa mwenyekiti wao, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Msanii wa filamu Bongo Movie Unity, Sabrina Rupia ‘Cathy’. Akistorisha na paparazi wetu, Cathy alisema...
GPL
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania