CATHY AJUTA KUJIUNGA BONGO MUVI
![](http://api.ning.com:80/files/iJVROLF4NItE54yysMiA1y02J86Slgf9ZEHzgQwO9MYDm2XHmICXlMahodabfvotp1b8mjN9kNl0IydSVxZ7IUnUcyjMCMCR/Cathy.jpg)
Stori: Gladness Mallya MSANII mkongwe kwenye filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka kuwa anajutia maisha aliyokuwa akiishi kipindi alipokuwa Bongo Movie Unity kwani alipoteza muelekeo kutokana na ile kasumba ya kukaa Viwanja vya Leaders kila kukicha kwa mambo yasiyokuwa na tija. Msanii mkongwe kwenye filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Cathy alisema...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1VJR9F-zilrU4mJL4pvZkOmRRgjU24zKqg7VHJpf9CiI7Q4kketybN37pVmlFPukaHVAwXhppp1dWOPTyNrXHYh0c-Myc*RM/CATHY.jpg)
CATHY: BONGO MUVI INAKUFA
10 years ago
BBCSwahili27 Feb
Di Maria ajuta kujiunga na Man United
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/PhpRQMoFW8ZDgIPGnfCiOkWjgl6P6qnvb*O*Kjp0GLKKAaiAYZnK5FQ8RSDnMcihoLjxiBCOWOoBVMEACHMSaqovwEYgxB-e/cathy.jpg?width=650)
CATHY ADAIWA KUTAKA KURUDI BONGO MOVIE
10 years ago
Bongo Movies20 Dec
Cathy: Bongo Movie Imenipoteza Muda Na Pesa
MWIGIZAJI mkongwe kwenye filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka kuwa anajutia maisha aliyokuwa akiishi kipindi alipokuwa Bongo Movie Unity kwani alipoteza muelekeo kutokana na ile kasumba ya kukaa Viwanja vya Leaders kila kukicha kwa mambo yasiyokuwa na tija.
Akizungumza na wandishi wa GPL hivi karibuni, Cathy alisema kati ya vitu vinavyomuumiza ni kupoteza fedha nyingi kwenye vikao Leaders bila kuingiza fedha yoyote na sasa anajuta.
“Unajua sisi Wapare tumekuja mjini kutafuta hela...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9pVNH1qXqqxMr-0sxX9bL0jwABAZzFUcPAQ0V8nUIA84wV5TdbJog1BjXbSxib7NNq0rND*D2K9kuAo1dATKx0iGLAcOjLyi/1...jpg?width=650)
BONGO MUVI KIMENUKA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hpMD5afDfdZPPPBByfAT22W5O61F41zCtmYcl23SzY34F8ewWPA8aW96LBPBXlxPhQAWpdBJkf7qMgQaa1cWKwL2Izl*SYYg/kisomo.jpg)
BONGO MUVI WACHAFUKA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U8LSueg-IYqwsbZOC0lv5wwEkdbgnLL*QVVtcHFQfEIhZRYQJGFEV2bQVY5O1zXBtWP7p-P8NrKnVoewDvkty074dIxR2owp/mastAA.jpg?width=650)
MASTAA WAJIENGUA BONGO MUVI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/i*tFWQTF2R8dKhK8VotocUDh45icBSjElp7osgaji9PtiynZ9fMHizcFGbFn73lgMwlKqrRq-fotFieE45FlhUeI8m3aFCEE/RISASI.jpg?width=650)
BONGO MUVI KUNA MASHOGA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sT-mI3qB-hdD5k88wRisJV1K8qu0letWRxlssZIakgnya5ta*9ta49eQzb78PamXAfqkWj1nUzj8K1f53YVd9iEN0GC3*xNC/StevenKanumba.jpg?width=650)
WAMEONDOKA NA BONGO MUVI YAO!