Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSANII BONGO MUVI ANASWA AKIJIUZA

Stori: Waandishi Wetu
ILE skendo ya kukithiri kwa baadhi ya mastaa Bongo kujiuza imechukua sura mpya kufuatia msanii wa Bongo Movies, Isabella Francis ‘Vai wa Ukweli’ naye kunasa mtegoni, Ijumaa lina kisa kizima. Vai wa Ukweli akiwa mawindoni. Tukio hilo la aibu kwa tasnia ya sinema nchini lilijiri usiku wa kuamkia Jumanne iliyopita, Sinza ya Vatican jijini Dar es Salaam ambapo baada ya kuumbuka, Vai alijikuta...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MSANII BONGO MUVI ALIVYONUSA KIFO!

Mayasa Mariwat Pole! Msanii wa sinema za Kibongo, Ummy Mohammed amenusa kifo baada ya kunusurika kwenye ajali ya Basi la Al-Saeed alilopanda akitokea mkoani Morogoro kwenda Dar ambapo ameumia mkono wa kushoto. Msanii wa sinema za Kibongo, Ummy Mohammed akionekana na jeraha lake baada ya kunusurika katika ajali. Akilisimulia Ijumaa Wikienda mkasa mzima, Ummy ambaye ni mwigizaji mkongwe aliyeibuka staa kwenye Sinema ya Mke Mchafu,...

 

10 years ago

GPL

MSANII BONGO MUVI AIKIMBIA NYUMBA

Mayasa Mariwata na Gladness Mallya MAJANGA! Msanii wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu `Bozi’ amejikuta akifungasha virago na kuhama kwenye nyumba aliyokuwa akiishi maeneo ya Kinondoni jijini Dar kutokana na mjengo huo kutawaliwa na mauzauza yanayosadikiwa kuwa ya kishirikina.......Soma zaidi hapa===>http://bit.ly/1KcokWO

 

11 years ago

GPL

MSANII BONGO MUVI HALI MBAYA

Stori: Musa Mateja
MASKINI! Hali ya kiafya ya msanii wa Komedi Bongo, Ismail Issa Makombe ‘Mapembe’ inazidi kuwa mbaya kutokana na kuugua maradhi ya ini kwa muda mrefu huku ikidaiwa kuwa wasanii wenzake wamemtelekeza. Ismail Issa Makombe 'Mapembe' alivyo sasa. Mapembe ambaye anapiga mzigo katika Kampuni ya Al-Riyam inayozalisha kipindi cha vichekesho cha Vituko Show kinachorushwa kwenye Runinga ya Channel Ten,...

 

11 years ago

GPL

MSANII BONGO MUVI AFARIKI KWA AJALI

Stori: Gladness Mallya TASNIA ya filamu Bongo imepata pigo tena baada ya msanii aliyekuwa akichipukia kwa kasi, Patrick August ‘Bryton’ kufariki dunia kwa ajali mbaya ya pikipiki.Akizungumza na paparazi wetu, Mwenyekiti wa Sherehe na Maafa kwa wasanii wa Wilaya ya Kinondoni, Masoud Kaftany alisema Bryton alipata ajali usiku wa kuamkia Jumapili maeneo ya Tabata - Relini wakati akirejea kwao maeneo ya Tabata -...

 

10 years ago

GPL

MSANII BONGO MUVI ABAMBWA MAKABURINI AWE KAMA WEMA NA LULU

Stori:  Waandishi wetu
Ulozi! Chipukizi sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Fetty’ amenaswa makaburini akiwanga katika kile kinachodaiwa kuwa ni kutekeleza masharti ya ‘sangoma’ ili ajipatie umaarufu na kuwafikia mastaa kama Wema Isaac Sepetu, Jacqueline Wolper Massawe na Elizabeth Michael ‘Lulu’. Chipukizi sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Fetty’. Kwa mujibu wa shuhuda wetu,...

 

10 years ago

GPL

LIVE! MSANII WA BONGO FLEVA ANASWA NA MACHANGU

Stori: Muandishi Wetu
WAKATI wasanii wakitakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuenzi maadili mema kwa jamii ya Kitanzania, mambo yamekuwa kinyume, baada ya nyota wa muziki wa kizazi kipya, Ramadhan Shaban 'Wabibi' kukutwa live, akipatana bei na wanawake wanaojiuza katika eneo maarufu kwa machangudoa la Sinza Africasana jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita. Nyota wa muziki wa kizazi kipya, Ramadhan Shaban 'Wabibi'...

 

10 years ago

GPL

KUTOKA MORO AIBU! MKE WA MTU ANASWA AKIJIUZA KUSAKA FEDHA ZA KRISMASI

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro
Ni aibu iliyoje! Tabia ya wanawake kujiuza kwa kisingizio cha kusaka fedha kwa ajili ya Sikukuu ya Krismasi imewatokea puani wanawake zaidi ya kumi akiwemo mke wa mtu baada ya kunaswa mawindoni na kutiwa nguvuni. Makamanda wa Polisi pamoja na kikosi cha OFM wakiwataiti wanawke waliokuwa wakijiuza. Tukio hilo la aibu lilitokea katika msako maalum wa polisi waliotoa kolabo kwa Oparesheni Fichua...

 

11 years ago

GPL

NAY: NILISHUHUDIA BONGO MOVIE AKIJIUZA

Stori: Shani Ramadhan MKALI wa Bongo Fleva, Emanuel Elibariki maarufu kama Nay wa Mitego, amesema kuwa aliwahi kushuhudia staa mmoja wa filamu Bongo (jina tunalo) akijiuza kwa mgeni mmoja kutoka nje ya nchi na kwamba tukio kama hilo aliliona zaidi ya mara moja. Msanii wa Bongo Fleva, Emanuel Elibariki maarufu kama Nay wa Mitego akipozi. Akizungumza na gazeti hili mapema juzi, Nay mkali wa nyimbo za Nakula ujana na Muziki Gani,...

 

10 years ago

GPL

BONGO MUVI WACHAFUKA!

Na: Gladness Mallya na Imelda Mtema
JAMBO limezua jambo! Baada ya hivi karibuni wasanii wa Bongo Muvi (Movie) kufanya dua kwa ajili ya wenzao waliofariki dunia, baadhi ya ndugu wa marehemu wamecharuka na kudai kuwa waandaaji wa kisomo hicho walifanya kwa manufaa yao binafsi. Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ . Kwa mujibu wa chanzo makini, baadhi ya ndugu wa marehemu wanalalamika kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani