LIVE! MSANII WA BONGO FLEVA ANASWA NA MACHANGU
![](http://api.ning.com:80/files/w3eiFFRDzzdDZUuVocWwh9MpRx*Ienn88Xh5b1WCEFxQWCNr5XfZhIjvojZuSFdy0wibzbDgiW-xLO-InSwPfonnUVGWTk*n/live.jpg)
Stori: Muandishi Wetu WAKATI wasanii wakitakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuenzi maadili mema kwa jamii ya Kitanzania, mambo yamekuwa kinyume, baada ya nyota wa muziki wa kizazi kipya, Ramadhan Shaban 'Wabibi' kukutwa live, akipatana bei na wanawake wanaojiuza katika eneo maarufu kwa machangudoa la Sinza Africasana jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita. Nyota wa muziki wa kizazi kipya, Ramadhan Shaban 'Wabibi'...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLTASWIRA ZAIDI ZA MKALI WA BONGO FLEVA DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOPOKELEWA BONGO, SASA KUPELEKA TUZO DAR LIVE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1VJR9F-zilozDtx*FHRpOPY-Ha99IvvhopFN7gqJeraRmOvEH7oBfjUtAo*OLLuosqCaRKVbzqV*7lxAgIy4ibhyQHdzLjeY/MSANII.jpg)
MSANII BONGO FLEVA... AAIBISHA MA-MISS!
10 years ago
GPLMSANII WA BONGO FLEVA, LINEX ATINGA GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MSANII WA BONGO FLEVA SIDE MNYAMWEZI AFARIKI DUNIA
10 years ago
Jamtz.Com25 Oct
HUYU NDO MSANII WA BONGO FLEVA ALIEFARIKI JANA TAR 20.10.2014
![http://photos-a.ak.instagram.com/hphotos-ak-xaf1/10727233_709860805766368_1533290281_n.jpg](http://photos-a.ak.instagram.com/hphotos-ak-xaf1/10727233_709860805766368_1533290281_n.jpg)
“Tatizo alikuwa anaumwa kifua muda tu, lakini alishaanza kunywa dozi lakini majuzi akazidiwa na tukampeleka hospitali. Jana ndo mwenyezi Mungu kampenda zaidi akamchukua. Wazazi wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OSDnqVdqkHsZPt*PBhwl4gjEfpR9TED1n40QrIAkqi57x-W9-2nBGJwFY*3z3DVP*Bqz5Y4uNuMMmD*5MPs9VHRk*dtRbC0V/mastaa.jpg?width=650)
MSANII BONGO MUVI ANASWA AKIJIUZA
11 years ago
Tanzania Daima11 Apr
SALUMU LUKOSI ‘KIDALI’: Msanii wa ngoma za asili anayesaka soko Bongo Fleva
MOJA ya ndoto ya wasanii wengi nchini ni kufikia malengo ya kuwa na maisha bora kama ilivyo kwa wasanii wengine waliopata kupitia huko. Pia ieleweke kwamba, sanaa imekuwa kitovu cha...
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Ninayo stori ya Msanii wa Bongo Fleva kunusurika kifo baada ya kuitwa mwizi….
Rapper kutoka kwenye zao la Serengeti Fiesta Supa Nyota 2013, Edu Boy amenusurika kifo baada ya kuitwa mwizi maeneo ya Sinza wakati akitoka studio za Freenation kurekodi ngoma. Msanii huyo akiongea kwenye Clouds TV alisema…’Nilikuwa natoka studio kurekodi ngoma ilikuwa usiku nikakutana na vijana watano wakanisimamisha wakaniuliza kuna mtu umekutana naye nikajibu sijakutana na mtu […]
The post Ninayo stori ya Msanii wa Bongo Fleva kunusurika kifo baada ya kuitwa mwizi…. appeared first on...