Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSANII WA BONGO FLEVA SIDE MNYAMWEZI AFARIKI DUNIA

Muimbaji wa muziki wa Bongo Fleva Said Salim 'Side Boy Mnyamwezi' enzi za uhai wake. Muimbaji wa muziki wa Bongo Fleva, Said Salim aliyekuwa akitumia jina la kisanii la Side Boy Mnyamwezi amefariki dunia. Side Boy amefariki leo katika Hospitali ya Nyangao iliyopo mkoani Lindi. Aliwahi kutoa nyimbo kadhaa zikiwemo ‘Hujafa Hujaumbika’, ‘Usidharau Usiyemjua’ na ‘Kua Uyaone.’… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Msanii mwingine Bongo Movie afariki dunia

IKIWA zimepita siku chache tangu msiba wa mwigizaji na muongozaji filamu za Kibongo, Adam Kuambiana, mwigizaji mwingine, Rachel Haule ‘Recho’, amefariki dunia jana asubuhi. Inaelezwa kifo cha Recho kimesababishwa na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Msanii Bongo movies ‘Rachel Haule’ afariki dunia!

532

Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule ‘Recho’ (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam. Habari zilizothibitishwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere, zimesema kuwa Recho alikwenda Muhimbili jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto alifariki na yeye hali yake kuwa mbaya, ilibidi ahamishiwe ICU ambako hali ilizidi kuwa mbaya na baadae kufariki dunia.

MOblog inaungana na Watanzania wote kuombeleza kifo cha...

 

10 years ago

Vijimambo

MSANII MWINGINE WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA LEO

Mwajuma Abdallah ‘Mama Mashaka’ enzi za uhai wake.Mtoto wa marehemu Mwajuma Abdallah ‘Mama Mashaka’Waombolezaji wakiwa wenye nyuso za simanzi.Bi Mwenda akiwa msibani leo.

 

11 years ago

GPL

MSTUKO: MSANII RACHEL HAULE WA BONGO MOVI AFARIKI DUNIA!

Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule 'Recho' (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es…

 

11 years ago

Michuzi

Msanii nyota wa filamu za Bongo movies Rachel Haule "Recho" afariki dunia

Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule ‘Recho’ (pichani chini), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam.  Baadhi ya wasanii wa Bongo Movies wakiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya taarifa za msiba wa msanii mwenzao, Rachel Haule 'Recho' mapema leo. Habari zilizothibitishwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere, zimesema kuwa Recho alikwenda Muhimbili jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto...

 

10 years ago

GPL

MSANII BONGO FLEVA... AAIBISHA MA-MISS!

Na Mwandishi Wetu
Msanii wa kitambo wa Bongo Fleva aliyewahi kutamba na Kundi la Chamber Squad na ngoma yake ya taifa ya Kama Vipi, Moses Bushagama ‘Mez B’ anadaiwa kuwaaibisha ma-miss kwa kuwalazimisha kupiga nao picha wakiwa watupu. Msanii wa kitambo wa Bongo Fleva wa Chamber Squad Moses Bushagama, ‘Mez B’ akijiachia na 'totoz' fukweni. Tukio hilo la kidhalilishaji na lisilovumilika lilijiri...

 

10 years ago

GPL

LIVE! MSANII WA BONGO FLEVA ANASWA NA MACHANGU

Stori: Muandishi Wetu
WAKATI wasanii wakitakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuenzi maadili mema kwa jamii ya Kitanzania, mambo yamekuwa kinyume, baada ya nyota wa muziki wa kizazi kipya, Ramadhan Shaban 'Wabibi' kukutwa live, akipatana bei na wanawake wanaojiuza katika eneo maarufu kwa machangudoa la Sinza Africasana jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita. Nyota wa muziki wa kizazi kipya, Ramadhan Shaban 'Wabibi'...

 

10 years ago

GPL

MSANII WA BONGO FLEVA, LINEX ATINGA GLOBAL TV ONLINE

Host wa kipindi cha Mtu Kati cha Global TV Online, Pamela Daffa akifanya mahojiano na msanii wa Bongo Fleva, Linex (kulia). Linex (kulia) akifafanua jambo kwa host wa kipindi cha Mtu Kati, Pamela Daffa wakati wa mahojiano.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani