Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msanii Bongo movies ‘Rachel Haule’ afariki dunia!

532

Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule ‘Recho’ (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam. Habari zilizothibitishwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere, zimesema kuwa Recho alikwenda Muhimbili jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto alifariki na yeye hali yake kuwa mbaya, ilibidi ahamishiwe ICU ambako hali ilizidi kuwa mbaya na baadae kufariki dunia.

MOblog inaungana na Watanzania wote kuombeleza kifo cha...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Msanii nyota wa filamu za Bongo movies Rachel Haule "Recho" afariki dunia

Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule ‘Recho’ (pichani chini), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam.  Baadhi ya wasanii wa Bongo Movies wakiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya taarifa za msiba wa msanii mwenzao, Rachel Haule 'Recho' mapema leo. Habari zilizothibitishwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere, zimesema kuwa Recho alikwenda Muhimbili jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto...

 

11 years ago

GPL

MSTUKO: MSANII RACHEL HAULE WA BONGO MOVI AFARIKI DUNIA!

Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule 'Recho' (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es…

 

11 years ago

CloudsFM

RACHEL HAULE WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA

Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule 'Recho' (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam. Habari zilizothibitishwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere, zimesema kuwa Recho alikwenda Muhimbili jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto alifariki na yeye hali yake kuwa mbaya, ilibidi ahamishiwe ICU ambako hali ilizidi kuwa mbaya na baadae kufariki dunia.

 

11 years ago

Bongo Movies

Muigizaji Rachel Haule afariki dunia asubuhi ya Leo.

Habari zilizotufikia muda huu ni kuwa muigizaji  wa filamu nchini Rachel Haule amefariki dunia asubuhi hii. Chanzo kimoja kilicho karibu na muigizaji mmoja ambaye ni rafiki wa karibu na Rachel amewema kuwa kuwa Rachel amefariki wakati akijifungua na mtoto pia amefariki. Tutawaletea taarifa zaidi ya msiba huu tukifika nyumbani kwa muhusika. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen

 

11 years ago

CloudsFM

MSANII LUCY KOMBA AKATISHA ZIARA YAKE YA DENMARK KWA AJILI YA MSIBA WA RACHEL HAULE

STAA Nguli wa filamu za Kibongo,Lucy Komba amekatisha ziara yake ya nchini Denmark kwa ajili ya kuhudhulia msiba wa msanii mwenzake aliyefariki leo katika hospitali ya taifa Muhimbili kutokana na matatizo ya uzazi. Kupitia account yake ya instagram Lucy aliandika hivi..jamani wapenzi wetu wa bongo movie nasikitika sana kuona wasanii wenzangu wanafariki bila mimi kuwepo nchini, nimeamua kukatiza ziara kurudi bongo kwa ajili ya msiba nitaondoka kesho mniombee safari njema. RIP mngoni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msanii mwingine Bongo Movie afariki dunia

IKIWA zimepita siku chache tangu msiba wa mwigizaji na muongozaji filamu za Kibongo, Adam Kuambiana, mwigizaji mwingine, Rachel Haule ‘Recho’, amefariki dunia jana asubuhi. Inaelezwa kifo cha Recho kimesababishwa na...

 

10 years ago

Vijimambo

MSANII MWINGINE WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA LEO

Mwajuma Abdallah ‘Mama Mashaka’ enzi za uhai wake.Mtoto wa marehemu Mwajuma Abdallah ‘Mama Mashaka’Waombolezaji wakiwa wenye nyuso za simanzi.Bi Mwenda akiwa msibani leo.

 

10 years ago

GPL

MSANII WA BONGO FLEVA SIDE MNYAMWEZI AFARIKI DUNIA

Muimbaji wa muziki wa Bongo Fleva Said Salim 'Side Boy Mnyamwezi' enzi za uhai wake. Muimbaji wa muziki wa Bongo Fleva, Said Salim aliyekuwa akitumia jina la kisanii la Side Boy Mnyamwezi amefariki dunia. Side Boy amefariki leo katika Hospitali ya Nyangao iliyopo mkoani Lindi. Aliwahi kutoa nyimbo kadhaa zikiwemo ‘Hujafa Hujaumbika’, ‘Usidharau Usiyemjua’ na ‘Kua Uyaone.’… ...

 

11 years ago

GPL

A-Z MSANII BONGO MOVIES ALIVYOJINYONGA

Stori: MUSA MATEJA na Imelda Mtema
SAKATA la kujinyonga kwa msanii wa filamu Bongo, Victor Peter limegubikwa na matukio tofauti ya kustaajabisha ambayo marehemu aliyafanya siku kadhaa kabla hajapatwa na umauti, Ijumaa limefukunyua kila kitu. Mwili wa marehemu Victor Peter ukipelekwa mochwari. Kwa mujibu wa rafiki wa marehemu, Hamisi Koba, msanii huyo alijinyonga usiku wa Februari 27, mwaka huu mkoani Tanga ambapo marehemu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani