Muigizaji Rachel Haule afariki dunia asubuhi ya Leo.
Habari zilizotufikia muda huu ni kuwa muigizaji wa filamu nchini Rachel Haule amefariki dunia asubuhi hii. Chanzo kimoja kilicho karibu na muigizaji mmoja ambaye ni rafiki wa karibu na Rachel amewema kuwa kuwa Rachel amefariki wakati akijifungua na mtoto pia amefariki. Tutawaletea taarifa zaidi ya msiba huu tukifika nyumbani kwa muhusika. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM29 May
RACHEL HAULE WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA
Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule 'Recho' (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam. Habari zilizothibitishwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere, zimesema kuwa Recho alikwenda Muhimbili jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto alifariki na yeye hali yake kuwa mbaya, ilibidi ahamishiwe ICU ambako hali ilizidi kuwa mbaya na baadae kufariki dunia.
11 years ago
Dewji Blog27 May
Msanii Bongo movies ‘Rachel Haule’ afariki dunia!
Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule ‘Recho’ (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam. Habari zilizothibitishwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere, zimesema kuwa Recho alikwenda Muhimbili jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto alifariki na yeye hali yake kuwa mbaya, ilibidi ahamishiwe ICU ambako hali ilizidi kuwa mbaya na baadae kufariki dunia.
MOblog inaungana na Watanzania wote kuombeleza kifo cha...
11 years ago
GPLMSTUKO: MSANII RACHEL HAULE WA BONGO MOVI AFARIKI DUNIA!
11 years ago
MichuziMsanii nyota wa filamu za Bongo movies Rachel Haule "Recho" afariki dunia
11 years ago
MichuziMarehemu Sheila Leo Haule (Rachel) aagwa leo jijini dar
11 years ago
GPLLETTIE MATABANE: MUIGIZAJI MAARUFU WA ISIDINGO AFARIKI DUNIA LEO! ALIKUWA AKIISHI NA VIRUSI!
10 years ago
VijimamboBREAKING NEWS: MUFTI MKUU WA TANZANIA SHEIKH ISSA SHAABAN SIMBA AFARIKI DUNIA LEO ASUBUHI
Habari zilizotufikia hivi punde zinaarifu kuwa Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Shaaban Issa Simba amefariki dunia.Akidhibitisha kutokea kwa kifo hicho Shehe Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhadi Mussa Salim amesema Mufti amefikwa na umauti hii leo asubuhi."Ni kweli Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Shaaban Issa Simba amefariki hii leo asubuhi kwa maradhi ya sukari na presha," alisema kwa ufupi Sheikh...
10 years ago
GPLMUIGIZAJI LYNDA BELLINGHAM AFARIKI DUNIA
11 years ago
BBCSwahili17 Jan
Muigizaji Suchtra afariki dunia India