Marehemu Sheila Leo Haule (Rachel) aagwa leo jijini dar

Picha ya Marehemu Sheila Leo Haule (Rachel) ikiwa pembeni ya Jeneza lake mchana wa leo wakati wa kuagwa kwa mwili wake,kwenye viwanja vya Leaders Club,Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wacheza filamu hapa nchini,wakiwa pembeni ya Jeneza la Mpendwa wao Sheila Leo Haule (Rachel) aliefikwa na umauti hivi karibuni.
Bw. Saguda ambaye ndie alikuwa mchumba wa Marehemu akilia kwa uchungu huku akiliwazwa na nduguye.
Mwenyekiti wa Bongo Movie,Steven Nyerere akilia kwa uchungu.
Sehemu ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
MAREHEMU GEORGE TYSON AAGWA LEO JIJINI DAR

Sehemu ya Wacheza Filamu nchini waliokuwa wamebeba Jeneza lenye Mwili wa Marehemu George Otieno Okomu (George Tyson) wakijipanga tayari kwa akili ya kuongoza shughuli ya Kuga mwili iliyofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club,Kinondoni jijini Dar es Salaam leo.Mwili huo umesafirishwa kupelekwa nchini Kenya ambako ni nyumbani kwao na Marehemu kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika Jumamosi ijayo baada ya kukamiliza kwa mipango yote.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Saddick...
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
Muigizaji Rachel Haule afariki dunia asubuhi ya Leo.
Habari zilizotufikia muda huu ni kuwa muigizaji wa filamu nchini Rachel Haule amefariki dunia asubuhi hii. Chanzo kimoja kilicho karibu na muigizaji mmoja ambaye ni rafiki wa karibu na Rachel amewema kuwa kuwa Rachel amefariki wakati akijifungua na mtoto pia amefariki. Tutawaletea taarifa zaidi ya msiba huu tukifika nyumbani kwa muhusika. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen
11 years ago
GPLEMMANUEL TEMU AAGWA LEO HOSPITALI YA TEMEKE JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog02 Sep
Rais Kikwete aagwa na Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini mapema leo jijini Dar es Salaam
Picha ya juu na chini: Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride rasmi liliandaliwa na vikosi mbalimbali wakati wa sherehe ya kuagewa rasmi na vyombo vya ulinzi na usalama iliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.
…Naaga!!
11 years ago
Michuzi
ASKARI MAGEREZA ALIYEKUFA AJALINI MKURANGA AAGWA CHUO CHA MAAFISA MAGEREZA UKONGA LEO, JIJINI DAR ES SALAAM


11 years ago
Michuzi08 Mar
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Michuzi
Marehemu Shem Ibrahim Kalenga azikwa leo kwenye Makaburi ya Kisutu,jijini Dar


Picha zaidi bofya hapa