A-Z MSANII BONGO MOVIES ALIVYOJINYONGA
![](http://api.ning.com:80/files/wBi6IgNyVl-GsN-EtFzcxRHbp-I9WipfJa00JpPUDOGX5uBRNjp0OXbF2v4wLcqPXfXFd25uZDkohL6gnJAJkaErN5BY2ALb/MSANII2.jpg?width=650)
Stori: MUSA MATEJA na Imelda Mtema SAKATA la kujinyonga kwa msanii wa filamu Bongo, Victor Peter limegubikwa na matukio tofauti ya kustaajabisha ambayo marehemu aliyafanya siku kadhaa kabla hajapatwa na umauti, Ijumaa limefukunyua kila kitu. Mwili wa marehemu Victor Peter ukipelekwa mochwari. Kwa mujibu wa rafiki wa marehemu, Hamisi Koba, msanii huyo alijinyonga usiku wa Februari 27, mwaka huu mkoani Tanga ambapo marehemu...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog27 May
Msanii Bongo movies ‘Rachel Haule’ afariki dunia!
Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule ‘Recho’ (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam. Habari zilizothibitishwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere, zimesema kuwa Recho alikwenda Muhimbili jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto alifariki na yeye hali yake kuwa mbaya, ilibidi ahamishiwe ICU ambako hali ilizidi kuwa mbaya na baadae kufariki dunia.
MOblog inaungana na Watanzania wote kuombeleza kifo cha...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-UNLS4gVrmPE/U4T4pbwaFbI/AAAAAAAFloI/hewEhdu0fZM/s72-c/unnamed+(6).jpg)
Msanii nyota wa filamu za Bongo movies Rachel Haule "Recho" afariki dunia
![](http://1.bp.blogspot.com/-UNLS4gVrmPE/U4T4pbwaFbI/AAAAAAAFloI/hewEhdu0fZM/s1600/unnamed+(6).jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cwh76f0JjbnvQpNfp2fQ7Gowcb6GH34LOehjpjHpnaDNkm5ySmJF7wy3FkUeign4G*yyRqxUwdA4QbR9hcb9Rjf5SwN3xQH6/BONGOMUVI.jpg?width=650)
BONGO MOVIES WAJIFUA KUWAKABILI BONGO FLEVA USIKU WA MATUMAINI IJUMAA HII
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xLJQfJNYZ-xZM8uPM5pV-OEZ7vey46gBK7Kfm5Hz3SNg56amNRokRBfLbRUy0IaFraNnh5Hz9CfmQZf7zCkezgPqa4ZJrpBl/bongomuvi.jpg)
BONGO MOVIES TAYARI KUWAKABILI BONGO FLEVA KATIKA USIKU WA MATUMAINI 2014
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lET3ABatHUm3Y9acgtPy3wK9tW2h2wOkri2efWEXvabTqhRheB*NuZPdrpT3TF73otn*f0pafpVAvZ4RwoMMlEMTsrSXCMgb/index.jpg?width=650)
BONGO MOVIES KWELI MMEKUBALI KUZIDIWA NA BONGO FLEVA?
11 years ago
GPLNIGHT OF HOPE 2014: BONGO FLEVA 1, BONGO MOVIES 0
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mhrng7eeJg3uG8-sH*TkjLFCCUS*F0nFqtuHa5dY5tgPM30eAmvG-lWJZdB03ybBSUnksBOTAeifkbwxKpCTEMLtKLjn-gEy/11.jpg)
BONGO MOVIES VIPANDEVIPANDE!
10 years ago
Bongo Movies01 Apr
Kitale Awachana ‘Bongo Movies’
Msanii wa filamu na vichekesho, Musa Kitale jioni ya leo akizungumza kwenye studio za Magic FM,kipindi cha Afrika Kabisa kwenye kipengele cha African Movies, alisema wazi kuwa hawakubali kabisa bongo movies kwani wanapenda kurudia rudia na kukopi filamu za nje na kusisitiza hata akiziangalia filamu zao huwa haoni jipya na hazina ubunifu.
Akaendelea kufafanua kuwa yeye sio mwana Bongo Movies na wala hayupo karibu nao kwani anaogopa kuwaambukizwa ‘kaugonjwa’ kakukopi kopi kitu mbacho...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-3i3rVffQH01jxj2OwU6pfREN87h9ONuJn5gyMEy5NwxMQ0doiX3P2AVtNKpIdgjlckKZjuBkpolkOuN6u3MtXr5QjRR4WAH/lulu.jpg)
LULU: BONGO MOVIES ISHABUMA