Kitale Awachana ‘Bongo Movies’
Msanii wa filamu na vichekesho, Musa Kitale jioni ya leo akizungumza kwenye studio za Magic FM,kipindi cha Afrika Kabisa kwenye kipengele cha African Movies, alisema wazi kuwa hawakubali kabisa bongo movies kwani wanapenda kurudia rudia na kukopi filamu za nje na kusisitiza hata akiziangalia filamu zao huwa haoni jipya na hazina ubunifu.
Akaendelea kufafanua kuwa yeye sio mwana Bongo Movies na wala hayupo karibu nao kwani anaogopa kuwaambukizwa ‘kaugonjwa’ kakukopi kopi kitu mbacho...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
BONGO MOVIES WAJIFUA KUWAKABILI BONGO FLEVA USIKU WA MATUMAINI IJUMAA HII
11 years ago
GPL
BONGO MOVIES TAYARI KUWAKABILI BONGO FLEVA KATIKA USIKU WA MATUMAINI 2014
11 years ago
GPLNIGHT OF HOPE 2014: BONGO FLEVA 1, BONGO MOVIES 0
10 years ago
GPL
BONGO MOVIES KWELI MMEKUBALI KUZIDIWA NA BONGO FLEVA?
11 years ago
GPL
BONGO MOVIES VIPANDEVIPANDE!
11 years ago
TheCitizen06 May
Adding a new voice to Bongo-movies
11 years ago
GPL
LULU: BONGO MOVIES ISHABUMA
11 years ago
GPL
A-Z MSANII BONGO MOVIES ALIVYOJINYONGA
10 years ago
TheCitizen19 Dec
COVER: Not much for bongo movies at the AMVCA