LULU: BONGO MOVIES ISHABUMA
![](http://api.ning.com:80/files/-3i3rVffQH01jxj2OwU6pfREN87h9ONuJn5gyMEy5NwxMQ0doiX3P2AVtNKpIdgjlckKZjuBkpolkOuN6u3MtXr5QjRR4WAH/lulu.jpg)
Stori: Imelda Mtema STAA wa filamu mwenye makeke mengi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema kwa mtazamo wake anaona Bongo Movies imebuma hivyo ameamua kukomaa na shule ili awe na kitu kingine tofauti na sanaa. Staa wa filamu mwenye makeke mengi, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Akizungumza na mwanahabari wetu, Lulu alisema kuwa kwa sasa yuko Chuo cha Uhazili Magogoni, Posta jijini Dar akichukua...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xLJQfJNYZ-xZM8uPM5pV-OEZ7vey46gBK7Kfm5Hz3SNg56amNRokRBfLbRUy0IaFraNnh5Hz9CfmQZf7zCkezgPqa4ZJrpBl/bongomuvi.jpg)
BONGO MOVIES TAYARI KUWAKABILI BONGO FLEVA KATIKA USIKU WA MATUMAINI 2014
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cwh76f0JjbnvQpNfp2fQ7Gowcb6GH34LOehjpjHpnaDNkm5ySmJF7wy3FkUeign4G*yyRqxUwdA4QbR9hcb9Rjf5SwN3xQH6/BONGOMUVI.jpg?width=650)
BONGO MOVIES WAJIFUA KUWAKABILI BONGO FLEVA USIKU WA MATUMAINI IJUMAA HII
11 years ago
GPLNIGHT OF HOPE 2014: BONGO FLEVA 1, BONGO MOVIES 0
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lET3ABatHUm3Y9acgtPy3wK9tW2h2wOkri2efWEXvabTqhRheB*NuZPdrpT3TF73otn*f0pafpVAvZ4RwoMMlEMTsrSXCMgb/index.jpg?width=650)
BONGO MOVIES KWELI MMEKUBALI KUZIDIWA NA BONGO FLEVA?
10 years ago
Bongo Movies10 Feb
Lulu Asema Wasanii Wengi wa Bongo Movie Hawajieliwi, Tofauti na Bongo Fleva
Mrembo na muigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ amesema wasanii wengi wa filamu hawana mawazo ya maana na hawafikiriimambo makubwa kuhusu wanachokifanya. Bali hufanya tu kwa sababu wapo katika jamii na ahahisi wale wa bongo fleva wanafikiri zaidi yao
“ Unawaza kwanza kIsha unatenda, wasanii wa filamu hatuna mawazo mazuri zaidi ya ubishoo tu, hatuoni mbali hatuna wivu wa kimaendeleo leo unakuta msanii wa Bongo Fleva wanatoka nnje na wanarudi na tuzo lakini sisi tumekaa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mhrng7eeJg3uG8-sH*TkjLFCCUS*F0nFqtuHa5dY5tgPM30eAmvG-lWJZdB03ybBSUnksBOTAeifkbwxKpCTEMLtKLjn-gEy/11.jpg)
BONGO MOVIES VIPANDEVIPANDE!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wBi6IgNyVl-GsN-EtFzcxRHbp-I9WipfJa00JpPUDOGX5uBRNjp0OXbF2v4wLcqPXfXFd25uZDkohL6gnJAJkaErN5BY2ALb/MSANII2.jpg?width=650)
A-Z MSANII BONGO MOVIES ALIVYOJINYONGA
10 years ago
TheCitizen19 Dec
COVER: Not much for bongo movies at the AMVCA
10 years ago
Bongo Movies01 Apr
Kitale Awachana ‘Bongo Movies’
Msanii wa filamu na vichekesho, Musa Kitale jioni ya leo akizungumza kwenye studio za Magic FM,kipindi cha Afrika Kabisa kwenye kipengele cha African Movies, alisema wazi kuwa hawakubali kabisa bongo movies kwani wanapenda kurudia rudia na kukopi filamu za nje na kusisitiza hata akiziangalia filamu zao huwa haoni jipya na hazina ubunifu.
Akaendelea kufafanua kuwa yeye sio mwana Bongo Movies na wala hayupo karibu nao kwani anaogopa kuwaambukizwa ‘kaugonjwa’ kakukopi kopi kitu mbacho...