BONGO MOVIES VIPANDEVIPANDE!
![](http://api.ning.com:80/files/mhrng7eeJg3uG8-sH*TkjLFCCUS*F0nFqtuHa5dY5tgPM30eAmvG-lWJZdB03ybBSUnksBOTAeifkbwxKpCTEMLtKLjn-gEy/11.jpg)
Wasanii walojiunga CCM wakiwa katika picha ya pamoja na mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete. Stori: Waandishi Wetu MPASUKO mkubwa umeikumba tasnia ya filamu Bongo baada ya baadhi ya wasanii wanaong’ara kuchukua kadi rasmi za kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi. Tukio hilo lilitokea juzi, Jumapili jijini Mbeya kulipokuwa na sherehe za maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama hicho...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cwh76f0JjbnvQpNfp2fQ7Gowcb6GH34LOehjpjHpnaDNkm5ySmJF7wy3FkUeign4G*yyRqxUwdA4QbR9hcb9Rjf5SwN3xQH6/BONGOMUVI.jpg?width=650)
BONGO MOVIES WAJIFUA KUWAKABILI BONGO FLEVA USIKU WA MATUMAINI IJUMAA HII
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xLJQfJNYZ-xZM8uPM5pV-OEZ7vey46gBK7Kfm5Hz3SNg56amNRokRBfLbRUy0IaFraNnh5Hz9CfmQZf7zCkezgPqa4ZJrpBl/bongomuvi.jpg)
BONGO MOVIES TAYARI KUWAKABILI BONGO FLEVA KATIKA USIKU WA MATUMAINI 2014
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lET3ABatHUm3Y9acgtPy3wK9tW2h2wOkri2efWEXvabTqhRheB*NuZPdrpT3TF73otn*f0pafpVAvZ4RwoMMlEMTsrSXCMgb/index.jpg?width=650)
BONGO MOVIES KWELI MMEKUBALI KUZIDIWA NA BONGO FLEVA?
11 years ago
GPLNIGHT OF HOPE 2014: BONGO FLEVA 1, BONGO MOVIES 0
11 years ago
TheCitizen06 May
Adding a new voice to Bongo-movies
10 years ago
Bongo Movies01 Apr
Kitale Awachana ‘Bongo Movies’
Msanii wa filamu na vichekesho, Musa Kitale jioni ya leo akizungumza kwenye studio za Magic FM,kipindi cha Afrika Kabisa kwenye kipengele cha African Movies, alisema wazi kuwa hawakubali kabisa bongo movies kwani wanapenda kurudia rudia na kukopi filamu za nje na kusisitiza hata akiziangalia filamu zao huwa haoni jipya na hazina ubunifu.
Akaendelea kufafanua kuwa yeye sio mwana Bongo Movies na wala hayupo karibu nao kwani anaogopa kuwaambukizwa ‘kaugonjwa’ kakukopi kopi kitu mbacho...
10 years ago
Bongo Movies06 May
Makamua Kuibukia Bongo Movies
Staa wa Bongo Fleva kutoka kundi la wakali kwanza, anatarajia kuigiza filamu ya maisha ya muziki itakayoitwa “Bongo na Fleva”.
Akiongea na E-News ya EATV, Makamua alisema filamu hiyo itahusisha pia mastaa wengine wakubwa wa Bongo Flava na kwamba mpaka sasa mradi huo umekwisha kamilika.
Karibu sana.
10 years ago
TheCitizen19 Dec
COVER: Not much for bongo movies at the AMVCA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wBi6IgNyVl-GsN-EtFzcxRHbp-I9WipfJa00JpPUDOGX5uBRNjp0OXbF2v4wLcqPXfXFd25uZDkohL6gnJAJkaErN5BY2ALb/MSANII2.jpg?width=650)
A-Z MSANII BONGO MOVIES ALIVYOJINYONGA