Kajala: Simruhusu Mwanangu Paula Awe na Simu
Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja amesema hawezi kumruhusu binti yake Paula kumiliki simu ya mkoni kwasasa.
Akiongea kwenye kipindi cha The Sporah Show hivi karibuni, Kajala alisema anaweza kufikiria kumruhusu kuwa na simu hadi pale atakapomaliza kidato cha nne.
Kajala alisema mtoto wake pia hayupo kwenye mtandao picha wa Instagram.
“Paula hana simu kabisa, sio tu simu ya Instagram hata tu kitochi, hana simu,” alisema.
“Na hawezi kuwa na simu labda mpaka afike form four, yaani...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers25 Dec
Kajala: Mwanangu Paula ni mlevi wa kuogelea
Mtoto wa msanii wa filamu Bongo, Kajala Masanja, Paula Paul akiwa anaogelea na mwenzie.
Musa Mateja
Mtoto wa msanii wa filamu Bongo, Kajala Masanja, Paula Paul anadaiwa kuwa mlevi wa kuogelea ambapo kila wikiendi amekuwa akimlazimisha mama yake ampeleke bichi.
Mtu wa karibu wa Kajala aliyeomba jina lake lisiandikwe gazetini aliliambia Ijumaa kuwa, Paula amekuwa akimsumbua mama yake ampeleke bichi kila ifikapo mwisho wa wiki.
“Yaani yule mtoto ni mlevi wa kuogelea, kila wikiendi lazima...
10 years ago
Bongo Movies13 Apr
Kajala: Nina Kibarua Kumchunga Paula
Staa mrembo wa Bongo Movies, Kajala Masanja ‘Kay’ amefunguka kuwa kwa umri aliofikia mwanaye, Paula Paul wa miaka 14 ana kibarua kigumu cha kuhakikisha anakuwa salama hasa kwenye suala la wanaume.
Akiongea na gazeti la Ijumaa Wikienda hivi karibuni, Kajala alisema kuwa kwa umri huo, Paula ambaye alizaa na Prodyuza wa Bongo Records, Paul Matthysse ‘P Funky’ anahitaji uangalizi wa nguvu na kumsimamia kwa kila jamabo ili kuwakwepa ‘mijitu mikware’ ambao wanaweza kumrubuni.
“Dunia ya sasa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sRY-hG6lRQ8URCfUOgcf21Fao2B82nchAAy2a4*s5c7LLim9QdegxR1ZD9Epi6aH-Xrlgeb6B*zorZED15CGW0WE6CyzEUz6/Kajala.jpg)
KAJALA: SASA NAHITAJI MDOGO WA PAULA
9 years ago
Mtanzania22 Oct
Mzee Jangala: Nilitaka mwanangu awe mwanajeshi
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MKONGWE wa filamu za vichekesho nchini, Bakari Mbelemba maarufu kama Mzee Jangala, amesema alitamani mwanaye wa kwanza wa kiume awe mwanajeshi badala ya kuwa kwenye fani yake ya sanaa.
Mzee Jangala alisema enzi zao walikuwa wanaamini zaidi ukiwa na mtoto mwanajeshi kuna mambo mbalimbali atakuwa anaweza kuyatimiza kama atakuwa na nafasi kubwa.
“Chaguo la kwanza nilitaka mwanangu awe mwanajeshi, kama alikuwa anataka kuwa daktari au kufanya sanaa basi nilipenda avifanye...
10 years ago
Bongo Movies22 Jun
Aunty Ezekiel: Sipendi Mwanangu Awe Mwigizaji
Staa wa Bongo Movie,Aunty Ezekiel amefunguka kuwa hapendi mtoto wake aliyejifungua hivi karibuni aitwaye Cookie,awe mwigizaji wa filamu kama yeye.
Akizungumza na Clouds Fm,alisema kuwa atakachofanya kama mzazi anataka mtoto wake asome na kama akiwa mwigizaji basi iwe kama kazi yake ya ziada siyo anayoitegemea kwenye maisha yake.
‘’Binafsi sipendi mwanangu awe mwigizaji kama mimi,na siyo lazima kama mimi mama yake niwe mwigizaji na yeye awe hivyo kuna kazi nyingi ila ninachotaka asome sana...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DGjgPH8*8vlKXF45tsuSpCVp5Mjeqy*2Wh-5tCqfhHH40EV6M0c72INNMKE7*Fnphc2fnfh8MJDlzlNyg1dSE-5nZMb-xRPu/3.jpg?width=650)
KAJALA: NINA KIBARUA KIGUMU KWA PAULA
11 years ago
GPLKAJALA AMFANYIA BONGE LA BETHIDEI MWANAE PAULA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SWXdzvDqQaKbPBIekOqTykBdW98cq*yXV7hol7wMo9XPb7q-Gk7RoX8FvGHv00nhFwVLDpa7lM1Tb1ySd0FtdYnP2rF1R93G/Mtoto.jpg?width=640)
MAMA: NISAIDIENI MWANANGU AWE KAMA WATOTO WENGINE