Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kajala: Nina Kibarua Kumchunga Paula

Staa mrembo wa Bongo Movies, Kajala Masanja ‘Kay’ amefunguka kuwa kwa umri aliofikia mwanaye, Paula Paul wa miaka 14 ana kibarua kigumu cha kuhakikisha anakuwa salama hasa kwenye suala la wanaume.

Akiongea na gazeti la  Ijumaa Wikienda hivi karibuni, Kajala alisema kuwa kwa umri huo, Paula ambaye alizaa na Prodyuza wa Bongo Records, Paul Matthysse ‘P Funky’ anahitaji uangalizi wa nguvu na kumsimamia kwa kila jamabo ili kuwakwepa ‘mijitu mikware’ ambao wanaweza kumrubuni.

“Dunia ya sasa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KAJALA: NINA KIBARUA KIGUMU KWA PAULA

Imelda Mtema
Kazi kwelikweli! Mkali wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ amefunguka kuwa kwa umri aliofikia mwanaye, Paula Paul wa miaka 14 ana kibarua kigumu cha kuhakikisha anakuwa salama hasa kwenye suala la wanaume.
...

 

10 years ago

GPL

KAJALA: SASA NAHITAJI MDOGO WA PAULA

Na Imelda Mtema/Ijumaa
Mwanadada anayeendesha maisha yake kwa kuuza sura kwenye filamu za Kibongo, Kajala Masanja amefunguka kuwa ni muda muafaka wa kufanya mishemishe za kumtafuta mtoto mwingine kwani yule wa kwanza, Paula ameshakua. Kajala Masanja akiwa na mwanaye Paula. Akizungumzia mipango yake kwa sasa hasa kwenye suala la kuongeza mtoto, Kajala alisema umri unazidi kuyoyoma na Paula anazidi kuwa mkubwa hivyo ni vyema...

 

9 years ago

Global Publishers

Kajala: Mwanangu Paula ni mlevi wa kuogelea

IMG_4058
Mtoto wa msanii wa filamu Bongo, Kajala Masanja, Paula Paul akiwa anaogelea na mwenzie.

Musa Mateja

Mtoto wa msanii wa filamu Bongo, Kajala Masanja, Paula Paul anadaiwa kuwa mlevi wa kuogelea ambapo kila wikiendi amekuwa akimlazimisha mama yake ampeleke bichi.

Mtu wa karibu wa Kajala aliyeomba jina lake lisiandikwe gazetini aliliambia Ijumaa kuwa, Paula amekuwa akimsumbua mama yake ampeleke bichi kila ifikapo mwisho wa wiki.

IMG_4092“Yaani yule mtoto ni mlevi wa kuogelea, kila wikiendi lazima...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kajala: Simruhusu Mwanangu Paula Awe na Simu

Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja  amesema hawezi kumruhusu binti yake  Paula kumiliki simu ya mkoni kwasasa.

Akiongea kwenye kipindi cha The Sporah Show hivi karibuni, Kajala alisema anaweza kufikiria kumruhusu kuwa na simu hadi pale atakapomaliza kidato cha nne.

Kajala alisema mtoto wake pia hayupo kwenye mtandao picha wa Instagram.
“Paula hana simu kabisa, sio tu simu ya Instagram hata tu kitochi, hana simu,” alisema.

“Na hawezi kuwa na simu labda mpaka afike form four, yaani...

 

11 years ago

GPL

KAJALA AMFANYIA BONGE LA BETHIDEI MWANAE PAULA

  Kibao cha Shule ya Msingi Sinza ilipofanyika sherehe hiyo. Kajala akizungumza jambo katika shule hiyo ya watoto walemavu.   Keki ya bethidei ya…

 

10 years ago

Bongo Movies

LIFE STYLE:Kajala na Binti Yake Paula Wananikosha Sana

Upendo wa mama kwa mtoto wake hauwezi kufananishwa na kitu chochote hapa duniani,kwa hili nadhani hakuna anaebisha.Ila ni ukweli pia wazazi  hutofautiana katika kuonyesha mapezi kwa watoto wao,hapa nazungumzia mahusiano ya wazazi na watoto katika maisha ya kila siku.

Kwa sisi watoto wa maika ya 1980+ wazazi wetu wengi walitufanya tuwaogope na kuwaheshimu hata kwanidhamu ya woga, kitu ambacho mimi nakipinga sana.Leo mambo ni tofauti sana, wazazi wengi wamekuwa wakijitahidi kujenga urafiki na...

 

10 years ago

Bongo Movies

STAA WA KESHO: Binti wa Msanii Kajala, Paula Azidi Kuwa Mrembo

Mtoto wa  msanii wa filamu na Mkurugenzi wa K. Entertainment, Kajala Masanja, Paula Paul ukipenda muite Paulitte. Sasa hivi anaoneka amekuwa binti mkubwa  na mrembo zaidi….Mbali na kuwa mama yake ni staa mkubwa kwa upande wa Bongo Movie, baba yake , P. Funk  aka Majani pia ni mtayarishaji wa music mkongwe na mwenye mafanikia makubwa kwenye upande wa Bongo Flava. Paula japokuwa bado yupo shule lakini maisha yake ya kuwa karibu sana na mama yake kwa ujumla yanamfanya ajuane na ajulikane sio tu...

 

11 years ago

GPL

KAJALA: NINA MACHOZI YA KARIBU

Stori: Imelda Mtema STAA wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ amefunguka kuwa machozi yake huwa yapo karibu hivyo ukimuudhi kidogo tu lazimaalie. Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ Akipiga stori mbili-tatu na Bongowood, Kajala alisema: “Machozi yangu yapo karibu sana sijui kwa nini huwa nashindwa sana kujizuia yaani mtu akinikorofisha kidogo tu lazima nitoe machozi ndipo hasira...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani