KAJALA: SASA NAHITAJI MDOGO WA PAULA
![](http://api.ning.com:80/files/sRY-hG6lRQ8URCfUOgcf21Fao2B82nchAAy2a4*s5c7LLim9QdegxR1ZD9Epi6aH-Xrlgeb6B*zorZED15CGW0WE6CyzEUz6/Kajala.jpg)
Na Imelda Mtema/Ijumaa Mwanadada anayeendesha maisha yake kwa kuuza sura kwenye filamu za Kibongo, Kajala Masanja amefunguka kuwa ni muda muafaka wa kufanya mishemishe za kumtafuta mtoto mwingine kwani yule wa kwanza, Paula ameshakua. Kajala Masanja akiwa na mwanaye Paula. Akizungumzia mipango yake kwa sasa hasa kwenye suala la kuongeza mtoto, Kajala alisema umri unazidi kuyoyoma na Paula anazidi kuwa mkubwa hivyo ni vyema...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers25 Dec
Kajala: Mwanangu Paula ni mlevi wa kuogelea
Mtoto wa msanii wa filamu Bongo, Kajala Masanja, Paula Paul akiwa anaogelea na mwenzie.
Musa Mateja
Mtoto wa msanii wa filamu Bongo, Kajala Masanja, Paula Paul anadaiwa kuwa mlevi wa kuogelea ambapo kila wikiendi amekuwa akimlazimisha mama yake ampeleke bichi.
Mtu wa karibu wa Kajala aliyeomba jina lake lisiandikwe gazetini aliliambia Ijumaa kuwa, Paula amekuwa akimsumbua mama yake ampeleke bichi kila ifikapo mwisho wa wiki.
“Yaani yule mtoto ni mlevi wa kuogelea, kila wikiendi lazima...
10 years ago
Bongo Movies13 Apr
Kajala: Nina Kibarua Kumchunga Paula
Staa mrembo wa Bongo Movies, Kajala Masanja ‘Kay’ amefunguka kuwa kwa umri aliofikia mwanaye, Paula Paul wa miaka 14 ana kibarua kigumu cha kuhakikisha anakuwa salama hasa kwenye suala la wanaume.
Akiongea na gazeti la Ijumaa Wikienda hivi karibuni, Kajala alisema kuwa kwa umri huo, Paula ambaye alizaa na Prodyuza wa Bongo Records, Paul Matthysse ‘P Funky’ anahitaji uangalizi wa nguvu na kumsimamia kwa kila jamabo ili kuwakwepa ‘mijitu mikware’ ambao wanaweza kumrubuni.
“Dunia ya sasa...
11 years ago
GPLKAJALA AMFANYIA BONGE LA BETHIDEI MWANAE PAULA
10 years ago
Bongo Movies31 May
Kajala: Simruhusu Mwanangu Paula Awe na Simu
Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja amesema hawezi kumruhusu binti yake Paula kumiliki simu ya mkoni kwasasa.
Akiongea kwenye kipindi cha The Sporah Show hivi karibuni, Kajala alisema anaweza kufikiria kumruhusu kuwa na simu hadi pale atakapomaliza kidato cha nne.
Kajala alisema mtoto wake pia hayupo kwenye mtandao picha wa Instagram.
“Paula hana simu kabisa, sio tu simu ya Instagram hata tu kitochi, hana simu,” alisema.
“Na hawezi kuwa na simu labda mpaka afike form four, yaani...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DGjgPH8*8vlKXF45tsuSpCVp5Mjeqy*2Wh-5tCqfhHH40EV6M0c72INNMKE7*Fnphc2fnfh8MJDlzlNyg1dSE-5nZMb-xRPu/3.jpg?width=650)
KAJALA: NINA KIBARUA KIGUMU KWA PAULA
10 years ago
Bongo Movies28 Dec
LIFE STYLE:Kajala na Binti Yake Paula Wananikosha Sana
Upendo wa mama kwa mtoto wake hauwezi kufananishwa na kitu chochote hapa duniani,kwa hili nadhani hakuna anaebisha.Ila ni ukweli pia wazazi hutofautiana katika kuonyesha mapezi kwa watoto wao,hapa nazungumzia mahusiano ya wazazi na watoto katika maisha ya kila siku.
Kwa sisi watoto wa maika ya 1980+ wazazi wetu wengi walitufanya tuwaogope na kuwaheshimu hata kwanidhamu ya woga, kitu ambacho mimi nakipinga sana.Leo mambo ni tofauti sana, wazazi wengi wamekuwa wakijitahidi kujenga urafiki na...
10 years ago
Bongo Movies05 Dec
STAA WA KESHO: Binti wa Msanii Kajala, Paula Azidi Kuwa Mrembo
Mtoto wa msanii wa filamu na Mkurugenzi wa K. Entertainment, Kajala Masanja, Paula Paul ukipenda muite Paulitte. Sasa hivi anaoneka amekuwa binti mkubwa na mrembo zaidi….Mbali na kuwa mama yake ni staa mkubwa kwa upande wa Bongo Movie, baba yake , P. Funk aka Majani pia ni mtayarishaji wa music mkongwe na mwenye mafanikia makubwa kwenye upande wa Bongo Flava. Paula japokuwa bado yupo shule lakini maisha yake ya kuwa karibu sana na mama yake kwa ujumla yanamfanya ajuane na ajulikane sio tu...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-rSmW9sdQNww/VN7cfQvBmEI/AAAAAAAAoTo/_JXXxBt_fdI/s72-c/MUTUZ.jpg)
Le Mutuz Anatafuta Mke 'Kwa Kweli Nahitaji WIFE Baby U Know Nahitaji Bonge la Mke, Niombeeni '
![](http://3.bp.blogspot.com/-rSmW9sdQNww/VN7cfQvBmEI/AAAAAAAAoTo/_JXXxBt_fdI/s640/MUTUZ.jpg)