Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAJALA: NINA MACHOZI YA KARIBU

Stori: Imelda Mtema STAA wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ amefunguka kuwa machozi yake huwa yapo karibu hivyo ukimuudhi kidogo tu lazimaalie. Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ Akipiga stori mbili-tatu na Bongowood, Kajala alisema: “Machozi yangu yapo karibu sana sijui kwa nini huwa nashindwa sana kujizuia yaani mtu akinikorofisha kidogo tu lazima nitoe machozi ndipo hasira...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Kajala: Nina Kibarua Kumchunga Paula

Staa mrembo wa Bongo Movies, Kajala Masanja ‘Kay’ amefunguka kuwa kwa umri aliofikia mwanaye, Paula Paul wa miaka 14 ana kibarua kigumu cha kuhakikisha anakuwa salama hasa kwenye suala la wanaume.

Akiongea na gazeti la  Ijumaa Wikienda hivi karibuni, Kajala alisema kuwa kwa umri huo, Paula ambaye alizaa na Prodyuza wa Bongo Records, Paul Matthysse ‘P Funky’ anahitaji uangalizi wa nguvu na kumsimamia kwa kila jamabo ili kuwakwepa ‘mijitu mikware’ ambao wanaweza kumrubuni.

“Dunia ya sasa...

 

10 years ago

GPL

KAJALA: NINA KIBARUA KIGUMU KWA PAULA

Imelda Mtema
Kazi kwelikweli! Mkali wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ amefunguka kuwa kwa umri aliofikia mwanaye, Paula Paul wa miaka 14 ana kibarua kigumu cha kuhakikisha anakuwa salama hasa kwenye suala la wanaume.
...

 

11 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala


Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji  Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari  ambayo  ilisambaa  katika  mitandao  mbalimbali  ya  kijamii.

Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...

 

10 years ago

Vijimambo

Emerson: Nina habari za Simba

 Mchezaji mpya wa Yanga,Emerson Oliveira Neves Roque (kulia) akiwasalimia mashabiki wa timu iyo,baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere na mchezaji mwenzake Andrey Coutinho.
 Emerson Oliveira (katikati) na Couthno (kushoto), wakipokelewa uwanja wa ndege jana mchana siku ya  Jumatano Novemba 26, 2014 
Kiungo mkabaji, Mbrazil Emerson De Oliveira Neves Rouqe amewasili nchini na kupokewa na mashabiki wachache wa Yanga kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...

 

10 years ago

GPL

DIDA NINA SHEPU YA KALIMATI!

Stori: Musa Mateja
MTANGAZAJI wa kituo cha Redio Times, Hadija Shaibu ‘Dida’, juzikati aliamua kutoa siri yake ya moyoni na kuweka wazi juu ya tabia yake ya kuachika na kupata mume mpya mara kwa mara. Mtangazaji wa kituo cha Redio Times, Hadija Shaibu ‘Dida’ akiwa kwenye bethidei ya Rose Ndauka. Aliweka bayana kwamba anaachika na kupata mwanaume mpya haraka kwa sababu ana shepu ya kalimati (aina ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

Dude:Nina Watoto Wanane Tu!!

MWONGOZAJI na mwigizaji mahiri katika tasnia ya filamu za Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’, ametaja idadi ya watoto wake akisema wapo wanane tu. Amekanusha vikali kuwa na timu ya mpira (watoto 11) idadi inayovumishwa na wengi.

Dude anatajwa kuwa ni msanii anayeongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watoto kwa wasanii wengine wa kiume wa Tanzania.

“Kila mtu anasema anavyojisikia, mara ooh Dude ana timu nzima ya mpira wa miguu, lakini ukweli ni kwamba nina watoto wanane tu, ambao nimezaa na...

 

10 years ago

GPL

WASTARA: NINA JINAMIZI LA AJALI!

Waandishi wetu
BAADA ya kunusurika kifo katika ajali ya gari, ambayo mwenyewe amesema ni ya tisa tokea ajitambue, muigizaji nyota Wastara Juma, amesema anaamini ana jinamizi la ajali linalomuandama, Risasi Jumatano lina mkasa kamili. Wastara akiwa na majeraha usoni baada ya kupata ajali ya gari maeneo ya Tabata. Wastara, akiwa katika gari lililokuwa likiendeshwa na msanii mwenzake, Bond Bin Suleiman majira ya saa nne usiku...

 

10 years ago

Habarileo

JK: Bado nina mamlaka kutimua Ma-RC, Ma-DC

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete amesema bado anayo mamlaka ya kuwafuta kazi wateule wake wakiwemo wakuu wa mikoa na wilaya ambao watashindwa kusimamia ukamilishaji wa ujenzi wa maabara katika shule za sekondari za kata ifikapo Novemba mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani