Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASTARA: NINA JINAMIZI LA AJALI!

Waandishi wetu
BAADA ya kunusurika kifo katika ajali ya gari, ambayo mwenyewe amesema ni ya tisa tokea ajitambue, muigizaji nyota Wastara Juma, amesema anaamini ana jinamizi la ajali linalomuandama, Risasi Jumatano lina mkasa kamili. Wastara akiwa na majeraha usoni baada ya kupata ajali ya gari maeneo ya Tabata. Wastara, akiwa katika gari lililokuwa likiendeshwa na msanii mwenzake, Bond Bin Suleiman majira ya saa nne usiku...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Jinamizi la ajali za barabarani hadi lini? b Rajabu Kipango,Mwananchi

Kwa muda mrefu sasa maisha ya Watanzania wengi yamekuwa yakipotea na wengine wakibaki na ulemavu wa kudumu kutokana na ajali za barabara.

 

11 years ago

GPL

WASTARA: NITAKUFA KWA AJALI

Stori:  Waandishi Wetu
MASKINI! Staa mkubwa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma amezungumzia jinsi jinamizi la ajali linavyoweza kumsababishia kifo kwani ana msururu mrefu wa matukio hayo, Amani lina mzigo kamili. Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma . Katika mahojiano maalum na gazeti hili yaliyodumu kwa takriban saa mbili kwenye Ofisi za Global Publishers zilizopo Bamaga-Mwenge jijini Dar hivi karibuni, Wastara alisema...

 

11 years ago

GPL

WASTARA APATA AJALI TENA

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
MAJANGA! Siku chache baada ya hivi karibuni kudaiwa kunywa sumu, staa mkubwa wa sinema Bongo, Wastara Juma amepata tena ajali mbaya. Habari za uhakika zilizolifikia gazeti namba wani la burudani Bongo, Ijumaa Wikienda mwishoni mwa wiki iliyopita zilieleza kuwa siku ya tukio Wastara alitoka nyumbani kwake Tabata-Bima, Dar na gari lake aina ya Toyota Vitz kwa ajili ya kwenda kununua umeme....

 

11 years ago

GPL

EXCLUSIVE INTERVIEW: NITAKUFA KWA AJALI - WASTARA

Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma Issa akifunguka jinsi jinamizi la ajali linavyoweza kumsababishia kifo kwani ana msururu mrefu wa matukio hayo. Aliyaongea hayo alipofanya Exclusive Interview na wanahabari wa GPL. UNGANA…

 

10 years ago

Bongo Movies

Hii ni Ajali ya 9 kwa Wastara, Aelezea Jinsi Ilivyotokea

Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma jumapili usiku amepata ajali ya gari maeneo ya Tabata Magengeni akitokea Mwananyamala alipokuwa anaongea na wasanii wenzake.

Wastara anasema siku hiyo gari yake aina ya toyota canal alikua anaendesha meneja wake Bond Bin Sinnan na walipofika maeneo ya Tabata magengeni gafla alishangaa gari Bond anafunga ‘breki’ na gari likaanza kuzunguka na yeye kujigonga gonga kwenye gari kwaku hakufunga mkanda.

"Mimi nilikua sielewi kitu niliona tu gari linazunguka...

 

10 years ago

GPL

WASTARA APATA AJALI TENA TABATA JIJINI DAR

Wastara baada ya kupata ajali. MSANII wa filamu Bongo, Wastara Juma jana amepata tena ajali wakati akielekea nyumbani kwake maeneo ya  Tabata-Bima jijini Dar es Salaam.
Wastara alijigonga katika kioo cha mbele cha gari lake baada ya kutaka kuvaana na gari kubwa na kulazimika kufunga breki za ghafla akiwa hajafunga mkanda. Msanii huyo ameumia sehemu za usoni. Kupitia akaunti yake ya Instagram, Wastara aliandika hivi: "DUA...

 

10 years ago

BBCSwahili

Jinamizi la mihadarati G Bissau awamu ya {1}

Ni ripoti ya kibinafsi ya kijana mmoja wa kiafrika aliyejipata katika ulanguzi wa mihadarati wa kimataifa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Jinamizi la mihadarati G Bissau makala ya(4)

Riwaya ya ulanguzi wa mihadarati na athari yake kwa kijana Buba.Ameuza teksi yake.Babake naye amemtimua nyumbani kwake

 

10 years ago

BBCSwahili

Umaskini bado jinamizi duniani

Shirika linalopiga vita umaskini la ONE Campaign limetoa wito kwa serikali za dunia kuafikiana kuhusu mpango wa kukabiliana na viwango vikubwa vya umaskini ifikapo mwaka 2030.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani