Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hii ni Ajali ya 9 kwa Wastara, Aelezea Jinsi Ilivyotokea

Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma jumapili usiku amepata ajali ya gari maeneo ya Tabata Magengeni akitokea Mwananyamala alipokuwa anaongea na wasanii wenzake.

Wastara anasema siku hiyo gari yake aina ya toyota canal alikua anaendesha meneja wake Bond Bin Sinnan na walipofika maeneo ya Tabata magengeni gafla alishangaa gari Bond anafunga ‘breki’ na gari likaanza kuzunguka na yeye kujigonga gonga kwenye gari kwaku hakufunga mkanda.

"Mimi nilikua sielewi kitu niliona tu gari linazunguka...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Wastara Aelezea Kuguswa Kwake na Walemavu

Nimetumia kipaji changu,kuonesha thamani ya walemavu kwenye jamii,nimefanya filamu zaidi ya 20 kabla na baada ya kupata walemavu wa mgumu,hii inaonesha nimekua nikiguswa tangu zamani na ndio sababu ya kuingia kwenye siasa ili niweze kupaza sauti zisizosikika kwa muda mrefu

Wastara Juma “@wastara84” on instagram

 

11 years ago

GPL

WASTARA: NITAKUFA KWA AJALI

Stori:  Waandishi Wetu
MASKINI! Staa mkubwa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma amezungumzia jinsi jinamizi la ajali linavyoweza kumsababishia kifo kwani ana msururu mrefu wa matukio hayo, Amani lina mzigo kamili. Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma . Katika mahojiano maalum na gazeti hili yaliyodumu kwa takriban saa mbili kwenye Ofisi za Global Publishers zilizopo Bamaga-Mwenge jijini Dar hivi karibuni, Wastara alisema...

 

11 years ago

GPL

EXCLUSIVE INTERVIEW: NITAKUFA KWA AJALI - WASTARA

Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma Issa akifunguka jinsi jinamizi la ajali linavyoweza kumsababishia kifo kwani ana msururu mrefu wa matukio hayo. Aliyaongea hayo alipofanya Exclusive Interview na wanahabari wa GPL. UNGANA…

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha wa Mgambo aelezea jinsi alivyoifunga Simba

Kocha wa Mgambo Shooting, Bakari Shime ameanika siri ya kikosi chake kuitungua Simba bao 1-0 katika pambano baina ya timu hizo lililopigwa mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga.

 

10 years ago

Bongo5

Wizkid aelezea jinsi Drake alivyomtafuta Instagram na kupanga kufanya remix ya ‘Ojuelegba’

Superstar wa Nigeria, Wizkid ameelezea jinsi Drake alivyomtafuta kwaajili ya kufanya remix ya hit song yake ‘Ojuelegba’. Akizungumza kupitia kituo cha Empire FM cha Ghana, Wizkid amesema kuwa mawasiliano yao yalianzia Instagram baada ya Drake kumfollow, na baadae kumuomba waonane London, Uingereza ambako remix hiyo ilifanyika. Wizkid amesema baada ya kuona Drake amemfollow aliamua kumtumia […]

 

10 years ago

GPL

WASTARA: NINA JINAMIZI LA AJALI!

Waandishi wetu
BAADA ya kunusurika kifo katika ajali ya gari, ambayo mwenyewe amesema ni ya tisa tokea ajitambue, muigizaji nyota Wastara Juma, amesema anaamini ana jinamizi la ajali linalomuandama, Risasi Jumatano lina mkasa kamili. Wastara akiwa na majeraha usoni baada ya kupata ajali ya gari maeneo ya Tabata. Wastara, akiwa katika gari lililokuwa likiendeshwa na msanii mwenzake, Bond Bin Suleiman majira ya saa nne usiku...

 

11 years ago

GPL

WASTARA APATA AJALI TENA

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
MAJANGA! Siku chache baada ya hivi karibuni kudaiwa kunywa sumu, staa mkubwa wa sinema Bongo, Wastara Juma amepata tena ajali mbaya. Habari za uhakika zilizolifikia gazeti namba wani la burudani Bongo, Ijumaa Wikienda mwishoni mwa wiki iliyopita zilieleza kuwa siku ya tukio Wastara alitoka nyumbani kwake Tabata-Bima, Dar na gari lake aina ya Toyota Vitz kwa ajili ya kwenda kununua umeme....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani