Wizkid aelezea jinsi Drake alivyomtafuta Instagram na kupanga kufanya remix ya ‘Ojuelegba’
Superstar wa Nigeria, Wizkid ameelezea jinsi Drake alivyomtafuta kwaajili ya kufanya remix ya hit song yake ‘Ojuelegba’. Akizungumza kupitia kituo cha Empire FM cha Ghana, Wizkid amesema kuwa mawasiliano yao yalianzia Instagram baada ya Drake kumfollow, na baadae kumuomba waonane London, Uingereza ambako remix hiyo ilifanyika. Wizkid amesema baada ya kuona Drake amemfollow aliamua kumtumia […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ja6gu*i0lR67eLdragVksXJJIVns9y4IRHByX-zqTwncLzKQBKS5zfBvG6W*uedeQ2hjDjRqwGooXq1FOJWb9oz6i80cirN*/WizkidPic1.jpg?width=650)
REMIX YA DRAKE YA WIMBO WA WIZKID WA 'OJUELEGBA' YATAMBA KWENYE INTERNET
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UUHZoZFGT4h-Q4IBOTI3tjoctd5g2KCDKeD2PgBkmuXq8xSYol3ItYAPSJy4DQab1brYliQvPyWvn9jdxkhUCgIpWJPuIngw/STARBOY_S35.jpg?width=650)
WIZKID: NILIMTAKA RICK ROSS KWENYE ‘REMIX’ YA ‘OJUELEGBA’ SIO DRAKE
9 years ago
Bongo523 Nov
Adele aonesha nia ya kutaka kufanya official remix ya ‘Hotline Bling’ ya Drake
![Adele and drake](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Adele-and-drake-300x194.jpg)
Collabo ya muimbaji wa Uingereza, Adele na rapper wa Canada, Drake yanukia. Hit maker wa ‘Hello’ Adele amesema kuwa angependa kufanya official remix na Drake ya hit song ya rapper huyo ‘Hotline Bling’.
Katika mahojiano ya hivi karibuni na Danielle Graham, Adele amekiri kuwa yeye ni shabiki mkubwa wa Drake kiasi mpaka aliamua kununua koti jekundu linaloonekana kwenye video ya ‘Hotline Bling’.
“I really want us to do an official remix,” amesema Adele. “I love Drake. I love Drake so much. I...
9 years ago
Mtanzania28 Aug
‘Ojuelegba’ wa Wizkid watesa Ulaya
![Wizkid-](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/Wizkid--300x216.jpg)
WIMBO wa msanii kutoka nchini Nigeria, Ayodeji Balogun ‘Wizkid’ wa ‘Ojuelegba’, umeonekana kuzidi kufanya vizuri nchini Marekani kutokana na mastaa mbalimbali barani Ulaya kuweka wazi kuupenda wimbo huo.
Wasanii walioonyesha kuvutiwa na wimbo huo ni Drake, Alicia Keys, mpenzi wake Swizz Beatz pamoja na mpenzi wa msanii wa hip hop nchini humo, Tygar, Kylie Jenner ambaye ameweka video ya wimbo huo kwenye akaunti yake ya Instagram.
9 years ago
Bongo503 Sep
Ifahamu maana ya hit song ‘Ojuelegba’ ya Wizkid (lyrics)
9 years ago
Bongo526 Sep
Ni heshima kubwa kwangu kuwa kwenye wimbo wa Wizkid — Asema Drake
11 years ago
GPL07 Jul
11 years ago
Mwananchi11 Feb
Kocha wa Mgambo aelezea jinsi alivyoifunga Simba