Ifahamu maana ya hit song ‘Ojuelegba’ ya Wizkid (lyrics)
Inawezekana kuna nyimbo nyingi unazozipenda kutoka sehemu mbalimbali duniani na wakati mwingine unaziimba bila kujua maana yake, lakini nafsi inauelewa na ku-enjoy kwasababu muziki ni ‘universal language’. ‘Ojuelegba’ ya Wizkid ni miongoni mwa hit songs za Afrika zilizofanikiwa kuvuka mipaka na kupendwa hata na mastaa wakubwa duniani. Ilianzia kwa Drake aliyeamua kufanya remix, akaja Alicia […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania28 Aug
‘Ojuelegba’ wa Wizkid watesa Ulaya
![Wizkid-](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/Wizkid--300x216.jpg)
WIMBO wa msanii kutoka nchini Nigeria, Ayodeji Balogun ‘Wizkid’ wa ‘Ojuelegba’, umeonekana kuzidi kufanya vizuri nchini Marekani kutokana na mastaa mbalimbali barani Ulaya kuweka wazi kuupenda wimbo huo.
Wasanii walioonyesha kuvutiwa na wimbo huo ni Drake, Alicia Keys, mpenzi wake Swizz Beatz pamoja na mpenzi wa msanii wa hip hop nchini humo, Tygar, Kylie Jenner ambaye ameweka video ya wimbo huo kwenye akaunti yake ya Instagram.
11 years ago
Michuzi20 Apr
9 years ago
Bongo528 Sep
Wizkid aelezea jinsi Drake alivyomtafuta Instagram na kupanga kufanya remix ya ‘Ojuelegba’
9 years ago
Bongo521 Dec
Google watoa orodha yao ya ‘The 10 Most-Searched Song Lyrics of 2015’
![adele5](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/adele5-300x194.jpg)
Mtandao wa Google umetoa orodha yake ya nyimbo 10 ambazo mashahiri yake yameongoza kwa kutafutwa zaidi na watu kwenye mtandao huo mwaka huu ‘The Most ‘Googled’ Song Lyrics of 2015’.
Namba moja imekamatwa na Adele kupitia wimbo wake ‘Hello’ unaopatikana kwenye album yake ’25’.
Hii ndio orodha kamili:
1. Adele – Hello
2. Hozier – Take Me to Church
3. Taylor Swift – Blank Space
4. Mark Ronson featuring Bruno Mars – Uptown Funk
5. Ed Sheeran – Thinking Out Loud
6. Drake – Hotline Bling
7. Wiz...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ja6gu*i0lR67eLdragVksXJJIVns9y4IRHByX-zqTwncLzKQBKS5zfBvG6W*uedeQ2hjDjRqwGooXq1FOJWb9oz6i80cirN*/WizkidPic1.jpg?width=650)
REMIX YA DRAKE YA WIMBO WA WIZKID WA 'OJUELEGBA' YATAMBA KWENYE INTERNET
9 years ago
Mtanzania30 Dec
Trey Song kufanya ‘colabo’ na Wizkid, Davido
LAGOS, NIGERIA
NYOTA wa muziki nchini Marekani, Tremaine Neverson ‘Trey Song’, amesema yupo tayari kufanya kazi na mkali wa muziki kutoka Nigeria, Wizkid.
Msanii huyo ambaye alikuwa nchini humo wiki iliyopita kwa ajili ya kufanya shoo kwenye mkesha wa sikukuu ya Krismasi, amesema amekuwa akivutiwa na wasanii wa Nigeria, hivyo yupo tayari kufanya nao kazi huku akitarajia kufanya na Wizkid.
“Afrika kuna wasanii wengi ambao wana uwezo wa kufanya muziki wa hali ya juu, tayari nimefanya kazi na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UUHZoZFGT4h-Q4IBOTI3tjoctd5g2KCDKeD2PgBkmuXq8xSYol3ItYAPSJy4DQab1brYliQvPyWvn9jdxkhUCgIpWJPuIngw/STARBOY_S35.jpg?width=650)
WIZKID: NILIMTAKA RICK ROSS KWENYE ‘REMIX’ YA ‘OJUELEGBA’ SIO DRAKE
9 years ago
MillardAyo24 Dec
#NewVIDEO>> ‘Natokea Dar’ kutoka kwa rapper Wakazi.. hii kaifanya ‘Ojuelegba Refix’ ya Wizkid (+Video)
Kama ni mfatiliaji wa muziki wa Bongo Tanzania basi hii nayo inakuhusu… rapper Wakazi kaipenda ‘Ojuelegba‘ ya kijana wa Nigeria, Wizkid na kaamua kuingia studio kuisuka yake ambayo kaibatiza jina la ‘Natokea Dar’. Kama haijakufikia basi unakaribishwa na wewe kuucheki ubunifu wa rapper wakazi kwenye ‘Ojuelebga Refix‘, video ya dakika 3:44 Unataka kutumiwa MSG za […]
The post #NewVIDEO>> ‘Natokea Dar’ kutoka kwa rapper Wakazi.. hii kaifanya ‘Ojuelegba Refix’ ya Wizkid (+Video) appeared first...