Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Google watoa orodha yao ya ‘The 10 Most-Searched Song Lyrics of 2015’

adele5

Mtandao wa Google umetoa orodha yake ya nyimbo 10 ambazo mashahiri yake yameongoza kwa kutafutwa zaidi na watu kwenye mtandao huo mwaka huu ‘The Most ‘Googled’ Song Lyrics of 2015’.

adele5

Namba moja imekamatwa na Adele kupitia wimbo wake ‘Hello’ unaopatikana kwenye album yake ’25’.

Hii ndio orodha kamili:

1. Adele – Hello

2. Hozier – Take Me to Church

3. Taylor Swift – Blank Space

4. Mark Ronson featuring Bruno Mars – Uptown Funk

5. Ed Sheeran – Thinking Out Loud

6. Drake – Hotline Bling

7. Wiz...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Picha: Sauti Sol watoa orodha ya nyimbo za album yao mpya ‘Live And Die In Afrika’

Sauti-Sols-Album-Cover

Kundi maarufu la muziki Sauti Sol kutoka Kenya, baada ya kuzikonga nyoyo za mashabiki wao kwa single kama ‘Sura Yako’, ‘Nerea’ na ‘Isabella’, sasa wako tayari kuwapakulia album kamili yenye nyimbo 15.

Sauti-Sols-Album-Cover

Sauti Sol jana walitoa cover ya album hiyo mpya ‘Live And Die In Afrika’ na baadae kushare orodha ya nyimbo zinazokamilisha album hiyo ikiwa ni album yao ya tatu.

Kwa mujibu wa cover hiyo, ni nyimbo mbili tu kwenye album hiyo ambazo wameshirikisha wasanii wengine, ambazo ni ‘Nerea’...

 

10 years ago

Bongo5

Ifahamu maana ya hit song ‘Ojuelegba’ ya Wizkid (lyrics)

Inawezekana kuna nyimbo nyingi unazozipenda kutoka sehemu mbalimbali duniani na wakati mwingine unaziimba bila kujua maana yake, lakini nafsi inauelewa na ku-enjoy kwasababu muziki ni ‘universal language’. ‘Ojuelegba’ ya Wizkid ni miongoni mwa hit songs za Afrika zilizofanikiwa kuvuka mipaka na kupendwa hata na mastaa wakubwa duniani. Ilianzia kwa Drake aliyeamua kufanya remix, akaja Alicia […]

 

9 years ago

Bongo5

Diamond aongoza kwenye orodha ya ‘Top 15 African Artists of 2015’ ya Afrimma

mondi new

Waandaaji wa tuzo za African Muzik Magazine (AFRIMMA) wametoa orodha yao ya wasanii 15 bora wa Afrika kwa mwaka huu, ‘Top 15 African Artists of 2015’.

mondi new

Kupitia website yao, Afrimma wameandika kuwa Diamond Platnumz ndiye msanii aliyeshika nafasi ya kwanza katika orodha hiyo, huku Wzkid kutoka Nigeria akifata kwenye nafasi ya pili, Olamide kwenye nafasi ya tatu na na Davido akiwa kwenye nafasi ya nne.

Kwenye tuzo za Afrimma mwaka huu zilizofanyika Oct. 10 Dallas, Marekani, Diamond alishinda...

 

9 years ago

Bongo5

Billboard wamwacha Tupac kwenye orodha yao ya ‘Greatest Rappers of All Time’

tupac_shakur_1996_death_row_interscope_records_photofest_WEB-630x416

Jarida la Billboard hivi karibuni lilitoa orodha yake ya wasanii 10 bora wa muda wote wa hip hop.

tupac_shakur_1996_death_row_interscope_records_photofest_WEB-630x416

Hata hivyo kwenye orodha hiyo Tupac hakuwemo na Snoop hajafurahia.

“This is so disrespectful. !! Whoever did this list need a swift kick in the Ass. No. Tupac. Come on cuz . Jus my opinion,”aliandika Snoop kwenye Instagram.

Hii ni orodha nzima.

1. Notorious B.I.G.
2.Jay Z
3.Eminem
4.Rakim
5.Nas
6.Andre 3000
7. Lauryn Hill
8. Ghostface Killah
9.Kendrick Lamar
10.Lil Wayne

Jiunge na Bongo5.com...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wazazi wa Sotlof watoa kauli yao

Familia ya mwandishi wa habari Steven Sotloff hatimaye imezungumza kwa mara ya kwanza tangu mtoto wao auawe

 

10 years ago

Vijimambo

VYAMA VYA WAONGOZA WATALII NA WAPAGAZI TANZANIA WATOA SIKU 30 KWA SERIKALI KUSHUGHULIKIA MADAI YAO.

Mwenyekiti wa Chama cha waongoza watalii mkoa wa Kilimanjaro (KGA) Respicius Baitwa akizungumza katika mkutano wa vyama vinayofanya shughuli za Utalii katika hifadhi za taifa juu ya kusudio la kutaka kusitisha kutoa huduma katika hifadhi kutokana na malalamiko yao kutofanyiwa kazi hadi sasa.Baadhi ya wajumbe walioshiriki mkutano huo uliofanyika katika Hotel ya Uhuru mjini Moshi.
Katibu wa KGA ,James Mong'ateko akizungumza katika mkutano huo.Wajumbe wengine wa vyama vinayofanya shughuli za...

 

10 years ago

Dewji Blog

VIDEO: Wakazi wa kijiji cha Kisanga watoa maoni yao kuhusu washiriki wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015

Ni Siku ya 16 huku Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015 Msimu wa nne shindano linalo endeshwa na Shirika la Oxfam kupitia Kampeni yake ya Grow,  Likiwa linaelekea Ukingoni ambapo katika siku hii tunaona Maisha ya Mama Shujaa wa Chakula  walivyo ishi kwa Siku 15, lakini kubwa zaidi ni wakazi wa Kijiji cha Kisanga hususani wale ambao ndio waliokuwa wanaishi na Akina mama hao katika Kaya zao kutoa maoni yao jinsi walivyo ishi na akina Mama hao. Pia hapa tutaona wasifu wa Washiriki wote wa...

 

10 years ago

Michuzi

WAKAZI WA KIJIJI CHA KISANGA WATOA MAONI YAO KUHUSU WASHIRIKI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 (VIDEO)

   Ni Siku ya 16 huku Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015 Msimu wa nne shindano linalo endeshwa na Shirika la Oxfam kupitia Kampeni yake ya Grow,  Likiwa linaelekea Ukingoni ambapo katika siku hii tunaona Maisha ya Mama Shujaa wa Chakula  walivyo ishi kwa Siku 15, lakini kubwa zaidi ni wakazi wa Kijiji cha Kisanga hususani wale ambao ndio waliokuwa wanaishi na Akina mama hao katika Kaya zao kutoa maoni yao jinsi walivyo ishi na akina Mama hao. Pia hapa tutaona wasifu wa Washiriki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani