Diamond aongoza kwenye orodha ya ‘Top 15 African Artists of 2015’ ya Afrimma
Waandaaji wa tuzo za African Muzik Magazine (AFRIMMA) wametoa orodha yao ya wasanii 15 bora wa Afrika kwa mwaka huu, ‘Top 15 African Artists of 2015’.
Kupitia website yao, Afrimma wameandika kuwa Diamond Platnumz ndiye msanii aliyeshika nafasi ya kwanza katika orodha hiyo, huku Wzkid kutoka Nigeria akifata kwenye nafasi ya pili, Olamide kwenye nafasi ya tatu na na Davido akiwa kwenye nafasi ya nne.
Kwenye tuzo za Afrimma mwaka huu zilizofanyika Oct. 10 Dallas, Marekani, Diamond alishinda...
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi20 Jul
MPIGIE KURA DIAMOND KWENYE TUZO ZA AFRIMMA
![afrimma_flyer_web2](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/epBeTum4BZXweO-Vqb54hQFa1z5ZURXyE_91F78AxeEwgogAiq2uQIdzJJcN6qxmpiqD4SiQtA3_ZanNmEne9ABzVnisB62_ny1VAZCr3md1W0FYekn4M58qZJSN0GSJpXz_iQ=s0-d-e1-ft#http://afrimma.com/wp-content/uploads/2014/01/afrimma_flyer_web21-682x1024.jpg)
Baada ya BET Dimond anarejea tena nyumbani Afrika,akiwa nominated kwenye Tuzo za #Afrimma( AFRICAN MUSIC MAGAZINE AWARDS) awards,zitakazofanyika jijini Richardson, Texas,tarehe 26 july.
akiwa nominated kwenye category 5.Best male East AfricaSong of the year(number1).Video of the year (number 1)Best collabo (number 1 rmx)ft DavidoAnd Best Afrikan Artist of the yearIli ku-vote fuata link hii http://afrimma.com/afrimma-nominees-2014/
Kisha vote kwenye kila category niliyopo.Ahsanteni Hapa chini...
11 years ago
GPL30 Jul
9 years ago
Bongo528 Oct
Michael Jackson aongoza orodha ya ‘Forbes World’s top-earning dead celebrity’ kwa dola M 115 mwaka huu
9 years ago
Bongo523 Oct
Rapper K.O aongoza kwenye orodha ya ‘MTV Base Hottest MCs 2014’
9 years ago
Bongo529 Dec
Diamond aongoza orodha ya mastaa wanaoishi Afrika wenye followers wengi zaidi Instagram
![1663203_863176703798731_1287169950_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/1663203_863176703798731_1287169950_n-300x194.jpg)
Diamond Platnumz si tu msanii aliyechukua tuzo kubwa zaidi kuliko wasanii wote wa Afrika mwaka huu (MTV EMA – Best Worldwide Act: Africa/India), bali pia ndiye msanii anayeishi barani Afrika mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram kwa sasa.
Awali nafasi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na msanii wa Nigeria, Davido.
Hata hivyo orodha ya mastaa waliofikisha followers milioni moja imeongozwa na watanzania.
Hii ni orodha kamili kwa mujibu wa namba za December, 29.
1. Diamond...
9 years ago
Bongo508 Oct
Picha: Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz waenda Marekani kwenye tuzo za Afrimma
9 years ago
Dewji Blog11 Oct
Diamond Platnumz anyakua ‘3’ tuzo za AFRIMMA 2015, awaacha kwenye mataa Ali Kiba, Davido!
Tayari ‘Icon’ wa Tanzania Diamond Platnum ‘Dangote wa Bongo’ ameweza kuibuka na ushindi wa tuzo tatu katika usiku wa utoaji wa tuzo Africa Muzik Magazine Award ‘AFRIMMA 2015’. Marekani katika mji wa Texas.
(Pichani ni baada ya ushindi huo, Diamond aliweza kuweka picha yake hiyo kupitia mitandao yake yote ya kijamii na kuandika: I realy don’t know What to say …dha! hata sijui nizungumze nini…
(Eeh Mungu baba tunakushkuru sana kwa kuzidi kuunyanyua na kuupa Thamani mziki wetu wa Afrika...
10 years ago
Bongo505 Nov
Beyonce aongoza orodha ya Forbes ya wanawake kwenye muziki walioingiza fedha nyingi zaidi 2014
9 years ago
Bongo521 Dec
Google watoa orodha yao ya ‘The 10 Most-Searched Song Lyrics of 2015’
![adele5](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/adele5-300x194.jpg)
Mtandao wa Google umetoa orodha yake ya nyimbo 10 ambazo mashahiri yake yameongoza kwa kutafutwa zaidi na watu kwenye mtandao huo mwaka huu ‘The Most ‘Googled’ Song Lyrics of 2015’.
Namba moja imekamatwa na Adele kupitia wimbo wake ‘Hello’ unaopatikana kwenye album yake ’25’.
Hii ndio orodha kamili:
1. Adele – Hello
2. Hozier – Take Me to Church
3. Taylor Swift – Blank Space
4. Mark Ronson featuring Bruno Mars – Uptown Funk
5. Ed Sheeran – Thinking Out Loud
6. Drake – Hotline Bling
7. Wiz...