Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIDEO: DIAMOND PLATNUMZ AKIONGEA KWENYE TUZO ZA AFRIMMA

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Diamond Platnumz anyakua ‘3’ tuzo za AFRIMMA 2015, awaacha kwenye mataa Ali Kiba, Davido!

12096534_1001918109830003_2835486665383612207_n

Tayari ‘Icon’ wa Tanzania Diamond Platnum ‘Dangote wa Bongo’ ameweza kuibuka na ushindi wa tuzo tatu katika usiku wa utoaji wa tuzo Africa Muzik Magazine Award ‘AFRIMMA 2015’. Marekani katika mji wa Texas.

(Pichani ni baada ya ushindi huo, Diamond aliweza kuweka picha yake hiyo kupitia mitandao yake yote ya kijamii na kuandika: I realy don’t know What to say  …dha! hata sijui nizungumze nini… 

(Eeh Mungu baba tunakushkuru sana kwa kuzidi kuunyanyua na kuupa Thamani mziki wetu wa Afrika...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ AKIMBIZA KATIKA KUWANIA TUZO ZA AFRIMMA 2015

MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametajwa mara sita katika kuwania Tuzo za AFRIMMA zitakazofanyika huko Dallas nchini Marekani Mwezi Oktoba 2015. Diamond Platnumz. Vipengele anavyowania staa huyo ni pamoja na: 1. Best Artist Of the Year
2. Best Dance Video (Nana)
3. Best Video (Ntampata Wapi)
4. Best East Artist of the Year
5. Best Collaboration (Nana)
6. Song of the Year (Ntampata Wapi) Msanii huyo pia anawania...

 

11 years ago

Michuzi

MPIGIE KURA DIAMOND KWENYE TUZO ZA AFRIMMA

afrimma_flyer_web2
Baada ya BET Dimond anarejea tena nyumbani Afrika,akiwa nominated kwenye Tuzo za  #Afrimma( AFRICAN MUSIC MAGAZINE AWARDS) awards,zitakazofanyika jijini Richardson, Texas,tarehe 26 july.
akiwa nominated kwenye category 5.Best male East AfricaSong of the year(number1).Video of the year (number 1)Best collabo (number 1 rmx)ft DavidoAnd Best Afrikan Artist of the yearIli ku-vote fuata link hii  http://afrimma.com/afrimma-nominees-2014/
Kisha vote kwenye kila category niliyopo.Ahsanteni Hapa chini...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz waenda Marekani kwenye tuzo za Afrimma

Tuzo za African Muzik Magazine Awards, Afrimma zinatarajiwa kutolewa Jumamosi hii Oct. 10 jijini Dallas, Texas Marekani ambapo Tanzania inawakilishwa na wasanii saba. Baadhi ya wasanii wa Tanzania wanaowania tuzo hizo akiwemo Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz tayari wameondoka nchini kuelekea Marekani kuhudhuria sherehe ya utoaji wa tuzo hizo. “Asante Sana Tanzania nyie wapenzi […]

 

11 years ago

GPL

MPIGIE KURA MSANII DIAMOND PLATNUMZ KWENYE TUZO ZA MTV MAMA

KUMPIGIA KURA MSANII DIAMOND PLATNUMZ, INGIA: HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani