DIAMOND PLATNUMZ AKIMBIZA KATIKA KUWANIA TUZO ZA AFRIMMA 2015
MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametajwa mara sita katika kuwania Tuzo za AFRIMMA zitakazofanyika huko Dallas nchini Marekani Mwezi Oktoba 2015. Diamond Platnumz. Vipengele anavyowania staa huyo ni pamoja na: 1. Best Artist Of the Year 2. Best Dance Video (Nana) 3. Best Video (Ntampata Wapi) 4. Best East Artist of the Year 5. Best Collaboration (Nana) 6. Song of the Year (Ntampata Wapi) Msanii huyo pia anawania...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog11 Oct
Diamond Platnumz anyakua ‘3’ tuzo za AFRIMMA 2015, awaacha kwenye mataa Ali Kiba, Davido!
Tayari ‘Icon’ wa Tanzania Diamond Platnum ‘Dangote wa Bongo’ ameweza kuibuka na ushindi wa tuzo tatu katika usiku wa utoaji wa tuzo Africa Muzik Magazine Award ‘AFRIMMA 2015’. Marekani katika mji wa Texas.
(Pichani ni baada ya ushindi huo, Diamond aliweza kuweka picha yake hiyo kupitia mitandao yake yote ya kijamii na kuandika: I realy don’t know What to say …dha! hata sijui nizungumze nini…
(Eeh Mungu baba tunakushkuru sana kwa kuzidi kuunyanyua na kuupa Thamani mziki wetu wa Afrika...
11 years ago
GPLDIAMOND PLATNUMZ AKIMBIZA TUZO ZA BET 2014, MPIGIE KURA ASHINDE
11 years ago
GPL30 Jul
10 years ago
Bongo520 Jul
Diamond, Alikiba, Vanessa, Jaydee, Ommy Dimpoz, Mpoto watajwa kuwania tuzo za AFRIMMA
9 years ago
Bongo514 Aug
Diamond achaguliwa kuwania tuzo mbili za IRAWMA 2015 za Marekani
9 years ago
Bongo516 Nov
Diamond Platnumz na Vanessa Mdee washinda tuzo 4 za AFRIMA 2015 Nigeria
Tuzo za All Afrika Music Awards 2015 (AFRIMA) zimetolewa usiku wa Jumapili November 15 jijini Lagos, Nigeria ambapo Tanzania imetoa washindi wawili.
Diamond Platnumz aliyekuwa akiwania tuzo hizo ameibuka mshindi wa vipengele 3 kikiwemo kipengele muhimu cha Msanii Bora Wa Mwaka (Artist Of The Year) ambayo ilikuwa ikiwaniwa na Alikiba, Davido, Jose Chameleone, Wizkid, Yemi Alade, Sarkodie na Flavour.
Vipengele vingine alivyoshinda Diamond ni Msanii Bora wa Kiume Afrika Mashariki (Best...
9 years ago
Michuzi26 Oct
Diamond Platnumz atwaa Tuzo nyingine toka Italy MTV EMA 2015
10 years ago
GPLTAYLOR SWIFT AKIMBIZA TUZO ZA BILLBOARD 2015, ATWAA 8 KATI YA 14