Diamond Platnumz na Vanessa Mdee washinda tuzo 4 za AFRIMA 2015 Nigeria
Tuzo za All Afrika Music Awards 2015 (AFRIMA) zimetolewa usiku wa Jumapili November 15 jijini Lagos, Nigeria ambapo Tanzania imetoa washindi wawili.
Diamond Platnumz aliyekuwa akiwania tuzo hizo ameibuka mshindi wa vipengele 3 kikiwemo kipengele muhimu cha Msanii Bora Wa Mwaka (Artist Of The Year) ambayo ilikuwa ikiwaniwa na Alikiba, Davido, Jose Chameleone, Wizkid, Yemi Alade, Sarkodie na Flavour.
Vipengele vingine alivyoshinda Diamond ni Msanii Bora wa Kiume Afrika Mashariki (Best...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
DIAMOND, VANESSA WASHINDA TUZO ZA 2014 AFRIMA HUKO NIGERIA
10 years ago
Bongo528 Dec
Diamond na Vanessa Mdee waing’arisha tena Tanzania kwa kushinda tuzo za Afrima Nigeria
10 years ago
Bongo511 Oct
Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz washinda tuzo za Afrimma
10 years ago
GPL
DIAMOND, VANESSA MDEE WATAJWA TUZO ZA MTV 2015
11 years ago
Bongo503 Oct
BASATA lawapongeza Diamond, Msechu na Vanessa kwa kutajwa kuwania tuzo za AFRIMA 2014
9 years ago
Bongo514 Dec
Alikiba na Vanessa washinda tuzo za Nzumari 2015 Kenya

Tuzo za Nzumari 2015 zimetolewa Ijumaa iliyopita (Dec.11) huko Mombasa, Kenya.
Kutoka Tanzania, Alikiba ameshinda kipengele cha ‘Male Artist Tanzania’ alichokuwa akishindana na Ommy Dimpoz, AY, Rich mavoko na Shetta. Vanessa Mdee ameshinda kipengele cha ‘Female Artist Tanzania’ alichokuwa akishindana na Lady Jaydee, Shilole, Linah na Shaa.
Nzumari Awards 2015… Classic Edition
Winners as per the votes from the people not as per the management:
Male Artist Mombasa
Sudi Boy 9 votes
Dazlah...
10 years ago
Dewji Blog09 Oct
Diamond Platnumz, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz ndani ya “Celebrity Party” Houston Texas Ijumaa hii 0ct 9


DIAMOND PLATNUMZ – HOST

OMMY DIMPOZ -HOST
KWA MARA YA KWANZA NDANI YA MAREKANI ” 3 SUPERSTARS IN ONE NIGHT #HOUSTON TEXAS ONLY !
10 years ago
Bongo522 Oct
Diamond, Alikiba, Vanessa, Cassper Nyovest, Yemi Alade,AKA, Davido, and 160+ other African superstars confirmed attendance for AFRIMA 2015 in Lagos
9 years ago
Bongo503 Dec
Diamond, Alikiba na Vanessa Mdee watajwa kuwania tuzo za HiPipo za Uganda (2016)

Diamond Platnumz, Alikiba na Vanessa Mdee wametajwa kuwania tuzo za muziki za Uganda, HiPipo za mwaka 2016.
Wasanii hao wametajwa kwenye vipengele vya Afrika Mashariki.
Kipengele cha kwanza ni East Africa Super Hit ambacho kinawaniwa na wasanii wa Kenya na Tanzania. Nana ya Diamond Platnumz, Nobody But Me ya Vanessa Mdee f/ K.O na Mwana ya Alikiba zimetajwa.
Kingine ni East Africa Best Video ambapo Nana ya Diamond Platnumz na Nobody But Me ya Vanessa Mdee zimetajwa.
Bofya hapa kusoma majina...