Alikiba na Vanessa washinda tuzo za Nzumari 2015 Kenya
Tuzo za Nzumari 2015 zimetolewa Ijumaa iliyopita (Dec.11) huko Mombasa, Kenya.
Kutoka Tanzania, Alikiba ameshinda kipengele cha ‘Male Artist Tanzania’ alichokuwa akishindana na Ommy Dimpoz, AY, Rich mavoko na Shetta. Vanessa Mdee ameshinda kipengele cha ‘Female Artist Tanzania’ alichokuwa akishindana na Lady Jaydee, Shilole, Linah na Shaa.
Nzumari Awards 2015… Classic Edition
Winners as per the votes from the people not as per the management:
Male Artist Mombasa
Sudi Boy 9 votes
Dazlah...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo516 Nov
Diamond Platnumz na Vanessa Mdee washinda tuzo 4 za AFRIMA 2015 Nigeria
![d n v](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/d-n-v-300x194.jpg)
Tuzo za All Afrika Music Awards 2015 (AFRIMA) zimetolewa usiku wa Jumapili November 15 jijini Lagos, Nigeria ambapo Tanzania imetoa washindi wawili.
Diamond Platnumz aliyekuwa akiwania tuzo hizo ameibuka mshindi wa vipengele 3 kikiwemo kipengele muhimu cha Msanii Bora Wa Mwaka (Artist Of The Year) ambayo ilikuwa ikiwaniwa na Alikiba, Davido, Jose Chameleone, Wizkid, Yemi Alade, Sarkodie na Flavour.
Vipengele vingine alivyoshinda Diamond ni Msanii Bora wa Kiume Afrika Mashariki (Best...
9 years ago
Bongo511 Oct
Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz washinda tuzo za Afrimma
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kdMiOwfaxve7ykrcsaRm3CZHyRkpBBgCR4UgDB8ykNZkFupjz*IjlVzlAbEv7BHpAaAXj4nFY5uvTMC0-bo7zFPdZ04kGuNm/msechu.jpg)
DIAMOND, VANESSA WASHINDA TUZO ZA 2014 AFRIMA HUKO NIGERIA
9 years ago
Bongo503 Dec
Diamond, Alikiba na Vanessa Mdee watajwa kuwania tuzo za HiPipo za Uganda (2016)
![tuzo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/tuzo-300x194.jpg)
Diamond Platnumz, Alikiba na Vanessa Mdee wametajwa kuwania tuzo za muziki za Uganda, HiPipo za mwaka 2016.
Wasanii hao wametajwa kwenye vipengele vya Afrika Mashariki.
Kipengele cha kwanza ni East Africa Super Hit ambacho kinawaniwa na wasanii wa Kenya na Tanzania. Nana ya Diamond Platnumz, Nobody But Me ya Vanessa Mdee f/ K.O na Mwana ya Alikiba zimetajwa.
Kingine ni East Africa Best Video ambapo Nana ya Diamond Platnumz na Nobody But Me ya Vanessa Mdee zimetajwa.
Bofya hapa kusoma majina...
10 years ago
Bongo520 Jul
Diamond, Alikiba, Vanessa, Jaydee, Ommy Dimpoz, Mpoto watajwa kuwania tuzo za AFRIMMA
9 years ago
MillardAyo24 Dec
List ya wakali 20 waliokimbiza East Africa 2015.. Alikiba, AY, Vanessa, Diamond, wote ndani.. (+Videos)
Countdown ya siku zinazokamilisha mwaka 2015 inazidi kutiririka huku muziki ukionekana kuibeba vizuri ramani ya East Africa kwenye level za kimataifa..!! Najua watu wetu wamefanya kazi nzuri na kazi kubwa kuupeleka muziki kule ulipofika sasahivi. Nimeikuta hii list kwenye ukurasa wa Citizen TV ya Kenya, ambapo wao wameitangaza list yao ya mwaka, ngoma kali zilizokimbiza zaidi kwa […]
The post List ya wakali 20 waliokimbiza East Africa 2015.. Alikiba, AY, Vanessa, Diamond, wote ndani.....
9 years ago
Bongo522 Oct
Diamond, Alikiba, Vanessa, Cassper Nyovest, Yemi Alade,AKA, Davido, and 160+ other African superstars confirmed attendance for AFRIMA 2015 in Lagos
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wib7New*8449JzCm7vuy20o0qs5Uz5h3CUBFj8cGSALM8n0D9ziE8f5zLwVoZN1KorbvjGuzubDtva2JiDuw2NqvNUbobUQS/MTV.jpg?width=650)
DIAMOND, VANESSA MDEE WATAJWA TUZO ZA MTV 2015
9 years ago
MillardAyo02 Jan
Alikiba alivyochekecha kwenye stage Machakos Kenya akiagana na mwaka 2015..(+Pichaz)
Wiki moja iliyopita December 26 2015 ilikuwa siku ya kumshuhudia King Kiba kwenye stage Escape 1 Dar es Salaam alipoangusha mzigo mzima wa show ya funga mwaka !! Kazi haikuwa ndogo… Alikiba alishambulia kwa uzito wa juu stage ikitawaliwa kwa live show yenye support ya bendi iliyokamilika pamoja na dancers kadhaa. Kazi ya funga mwaka […]
The post Alikiba alivyochekecha kwenye stage Machakos Kenya akiagana na mwaka 2015..(+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.