Diamond, Alikiba, Vanessa, Jaydee, Ommy Dimpoz, Mpoto watajwa kuwania tuzo za AFRIMMA
Majina ya wasanii watakaowania tuzo za African Muzik Magazine Awards AFRIMMA yametolewa jioni ya Jumatatu. Tuzo hizo zitatolewa October 10 wakati wa Black Academy of Arts and Letters, Dallas nchini Marekani. Diamond ndiye aliyeongoza kwa kutajwa kwenye vipengele vingi zaidi ambavyo ni takriban saba. Hii ndio orodha kamili: 1. Best Male West Africa Davido (Nigeria) […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo511 Oct
Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz washinda tuzo za Afrimma
9 years ago
Bongo508 Oct
Picha: Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz waenda Marekani kwenye tuzo za Afrimma
9 years ago
Bongo503 Dec
Diamond, Alikiba na Vanessa Mdee watajwa kuwania tuzo za HiPipo za Uganda (2016)
![tuzo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/tuzo-300x194.jpg)
Diamond Platnumz, Alikiba na Vanessa Mdee wametajwa kuwania tuzo za muziki za Uganda, HiPipo za mwaka 2016.
Wasanii hao wametajwa kwenye vipengele vya Afrika Mashariki.
Kipengele cha kwanza ni East Africa Super Hit ambacho kinawaniwa na wasanii wa Kenya na Tanzania. Nana ya Diamond Platnumz, Nobody But Me ya Vanessa Mdee f/ K.O na Mwana ya Alikiba zimetajwa.
Kingine ni East Africa Best Video ambapo Nana ya Diamond Platnumz na Nobody But Me ya Vanessa Mdee zimetajwa.
Bofya hapa kusoma majina...
9 years ago
Bongo504 Dec
Diamond, Vanessa, Wakazi, Mpoto na Yamoto watajwa kuwania tuzo za Kora 2016, zawadi kubwa ni sh. Bilioni 2
![kora2016](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/kora2016-300x194.jpg)
Hatimaye majina ya wanaowania tuzo za Kora 2016 yametangazwa rasmi leo Dec.3 , ambapo Tanzania inawakilishwa na wasanii watano.
Diamond Platnumz ametajwa kuwania kipengele cha Best Male- East Africa, huku Vanessa Mdee akiwania Best Female-East Africa. Wakazi anawania kipengele cha Best Hip Hop, na Yamoto Band wametajwa kuwania kipengele cha Most Promising Male Artist Of Africa, bila kumsahau Mrisho Mpoto anayewania Best Traditional Male Artist Of Africa.
Mbali na tuzo yenyewe zawadi kubwa...
10 years ago
Bongo512 Dec
Diamond na Ommy Dimpoz watajwa kuwania tuzo za HiPipo Music Awards 2015 za Uganda
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U8EfnQ63hh1Wznw9d4OpY9I1zrqLoZi3sTbbOpd9iHd-vcqOfObRtzWsxHBbzP8IWr8uc2ERuIfpsn2uwXuTkkvOsVENGgQ4/DiamondBasketmout.jpg?width=650)
DIAMOND, VANESSA, OMMY DIMPOZ WALIVYOIPAISHA TZ, AFRIMMA
9 years ago
Bongo509 Dec
Diamond na Vanessa watajwa kuwania tuzo za ‘TooXclusive Awards 2015’ za Nigeria
![Diamond Platnumz na Vanessa Mdee](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Diamond-Platnumz-na-Vanessa-Mdee-300x194.jpg)
Mtandao wa ku-download muziki tooXclusive.com wa Nigeria ambao ndio waandaaji wa tuzo za ‘TooXclusive Awards 2015’ wametangaza majina ya nominees wa mwaka huu.
Kuna jumla ya vipengele 18 vinavyoshindaniwa, na kipengele cha ‘African Artiste Of The Year’ ndio kinachowahusu wasanii wa nje ya Nigeria ikiwemo Tanzania.
Diamond Platnumz na Vanessa Mdee ndio wasanii wa Tanzania wanaoshindana na Sauti Sol (Kenya), Sarkodie (Ghana), Cassper Nyovest na AKA (South Africa).
AFRICAN ARTISTE OF THE...
9 years ago
Bongo513 Oct
Usome ujumbe wa pongezi wa mrembo wa Ommy Dimpoz baada ya kushinda tuzo ya Afrimma
11 years ago
Bongo527 Jul
Diamond na Lady Jaydee washinda tuzo za AFRIMMA 2014 zilizofanyika Marekani