Usome ujumbe wa pongezi wa mrembo wa Ommy Dimpoz baada ya kushinda tuzo ya Afrimma
Unapofanya jambo la kishujaa zaidi, ukitoa wazazi mtu wa kwanza kusherehekea nawe kwa ukaribu ni mpenzi wako. Ommy Dimpoz hana tofauti. Muimbaji huyo wa ‘Wanjera’ Jumamosi iliyopita alishinda tuzo ya ‘Best New Comer’ kwenye tuzo za Afrimma zilizofanyika, Dallas, Texas, Marekani. Mpenzi wake aitwaye Zerthun ambaye kwa wanaowafollow Instagram wawili hao wanajua kuwa uhusiano wao […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo511 Oct
Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz washinda tuzo za Afrimma
Diamond Platnumz ameibuka na ushindi mkubwa zaidi kwenye tuzo za Afrimma zilizofanyika Dallas, Marekani alfajiri ya leo kwa saa za Afrika Mashariki. Diamond ameshinda jumla ya tuzo tatu ikiwemo ya msanii wa mwaka Muimbaji huyo ameshinda tuzo tatu; Best Dance Video ya wimbo wake Nana, Best Male East Africa na Artiste Of The Year. “EA […]
9 years ago
Bongo508 Oct
Picha: Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz waenda Marekani kwenye tuzo za Afrimma
Tuzo za African Muzik Magazine Awards, Afrimma zinatarajiwa kutolewa Jumamosi hii Oct. 10 jijini Dallas, Texas Marekani ambapo Tanzania inawakilishwa na wasanii saba. Baadhi ya wasanii wa Tanzania wanaowania tuzo hizo akiwemo Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz tayari wameondoka nchini kuelekea Marekani kuhudhuria sherehe ya utoaji wa tuzo hizo. “Asante Sana Tanzania nyie wapenzi […]
10 years ago
Bongo520 Jul
Diamond, Alikiba, Vanessa, Jaydee, Ommy Dimpoz, Mpoto watajwa kuwania tuzo za AFRIMMA
Majina ya wasanii watakaowania tuzo za African Muzik Magazine Awards AFRIMMA yametolewa jioni ya Jumatatu. Tuzo hizo zitatolewa October 10 wakati wa Black Academy of Arts and Letters, Dallas nchini Marekani. Diamond ndiye aliyeongoza kwa kutajwa kwenye vipengele vingi zaidi ambavyo ni takriban saba. Hii ndio orodha kamili: 1. Best Male West Africa Davido (Nigeria) […]
11 years ago
Bongo530 Jul
Lady Jaydee awashukuru mashabiki baada ya kushinda tuzo ya AFRIMMA, Marekani
Lady Jaydee na Diamond July 27 walitangazwa kuwa washindi katika tuzo za AFRIMMA 2014 nchini Marekani. Diamond alishinda kipengele cha mwanamuziki bora wa kiume Afrika mashariki, huku Lady Jaydee alishinda kipengele cha mwanamuziki bora wa kike Afrika mashariki. Tuzo hizo ziliwashindanisha wanamuziki mbalimbali wakubwa wa Afrika wakiwemo Davido, Mafikizolo, Tiwa Savage, Fally Ipupa, Flavour na […]
9 years ago
Bongo526 Oct
Swizz Beatz ampongeza Diamond kwa kumuita ‘King’ baada ya kushinda tuzo za MTV EMA, soma pongezi za mastaa wengine hapa
Diamond ameutafuna mfupa uliowashinda wengi. Hakuna msanii yeyote kutoka Afrika Mashariki, Magharibi na Kusini aliyewahi kushinda kipengele cha Worldwide Act, Africa/India kwenye tuzo za MTV EMA. Ushindi huo mkubwa unaomfanya sasa awe msanii namba moja Afrika. “Hii sio tunzo yangu ni tunzo ya wewe na mimi maana bila kura yako nisingeweza kabisa kushinda,” anasema Diamond. […]
9 years ago
GPLDIAMOND, VANESSA, OMMY DIMPOZ WALIVYOIPAISHA TZ, AFRIMMA
Diamond Platnumz akiwa na moja ya tuzo alizoshinda pamoja na mchekeshaji kutoka Nigeria Basketmouth. Tuzo tatu alizoshinda Diamond Platnumz. Vanessa Mdee akiwa na tuzo. Hii ni orodha ya washindi. Best Male (South Africa) – AKA
Best Male…
11 years ago
GPLLADY JAY DEE AWASHUKURU MASHABIKI BAADA YA KUPOKEA TUZO YA AFRIMMA
Tuzo ya mwimbaji bora wa kike Afrika Mashariki, Lady Jay Dee. Mwimbaji bora wa kike Afrika Mashariki, Lady Jay Dee. Lady Jay Dee ameipokea tuzo ya AFRIMMA ya mwimbaji bora wa kike Afrika Mashariki siku mbili baada ya kutangazwa mshindi wa tuzo hiyo. Baada ya kuishika mkononi tuzo…
10 years ago
GPLPONGEZI KWA MSANII NASSIB ABDUL AKA DIAMOND KWA KUSHINDA TUZO TATU ZA CHOAMVA14
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kama msimamizi na mratibu wa sekta ya Sanaa nchini linapenda kutoa pongezi za dhati kwa Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nassib Abdul maarufu kama Diamond kwa kushinda tuzo tatu kwa mkupuo za CHOAMVA zinazoendeshwa na kituo maarufu cha luninga cha Channel 0 chenye makao makuu yake Afrika Kusini. Tuzo alizoshinda Diamond ni pamoja na Most Gifted East African Artist, Most Gifted Afro Pop video na...
9 years ago
Bongo502 Nov
Ommy Dimpoz ashinda tuzo Marekani, aingia studio kurekodi na Eddy Kenzo
Ommy Dimpoz ameshinda tuzo ya African Entertainment Awards zilizofanyika Jumamosi hii huko New Jersey, Marekani. Ommy Dimpoz, Mubenga na DMK wakiwa red carpet Ommy aliyetumbuiza pia kwenye tuzo hizo alishinda kipengele cha People’s Choice Award. Kufuatia ushindi huo, muimbaji huyo aliandika kwenye Instagram, “ Thank you my people for your Votes U made this Possible […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania