Diamond, Vanessa, Wakazi, Mpoto na Yamoto watajwa kuwania tuzo za Kora 2016, zawadi kubwa ni sh. Bilioni 2
Hatimaye majina ya wanaowania tuzo za Kora 2016 yametangazwa rasmi leo Dec.3 , ambapo Tanzania inawakilishwa na wasanii watano.
Diamond Platnumz ametajwa kuwania kipengele cha Best Male- East Africa, huku Vanessa Mdee akiwania Best Female-East Africa. Wakazi anawania kipengele cha Best Hip Hop, na Yamoto Band wametajwa kuwania kipengele cha Most Promising Male Artist Of Africa, bila kumsahau Mrisho Mpoto anayewania Best Traditional Male Artist Of Africa.
Mbali na tuzo yenyewe zawadi kubwa...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo520 Jul
Diamond, Alikiba, Vanessa, Jaydee, Ommy Dimpoz, Mpoto watajwa kuwania tuzo za AFRIMMA
9 years ago
Bongo503 Dec
Diamond, Alikiba na Vanessa Mdee watajwa kuwania tuzo za HiPipo za Uganda (2016)
![tuzo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/tuzo-300x194.jpg)
Diamond Platnumz, Alikiba na Vanessa Mdee wametajwa kuwania tuzo za muziki za Uganda, HiPipo za mwaka 2016.
Wasanii hao wametajwa kwenye vipengele vya Afrika Mashariki.
Kipengele cha kwanza ni East Africa Super Hit ambacho kinawaniwa na wasanii wa Kenya na Tanzania. Nana ya Diamond Platnumz, Nobody But Me ya Vanessa Mdee f/ K.O na Mwana ya Alikiba zimetajwa.
Kingine ni East Africa Best Video ambapo Nana ya Diamond Platnumz na Nobody But Me ya Vanessa Mdee zimetajwa.
Bofya hapa kusoma majina...
9 years ago
Bongo509 Dec
Diamond na Vanessa watajwa kuwania tuzo za ‘TooXclusive Awards 2015’ za Nigeria
![Diamond Platnumz na Vanessa Mdee](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Diamond-Platnumz-na-Vanessa-Mdee-300x194.jpg)
Mtandao wa ku-download muziki tooXclusive.com wa Nigeria ambao ndio waandaaji wa tuzo za ‘TooXclusive Awards 2015’ wametangaza majina ya nominees wa mwaka huu.
Kuna jumla ya vipengele 18 vinavyoshindaniwa, na kipengele cha ‘African Artiste Of The Year’ ndio kinachowahusu wasanii wa nje ya Nigeria ikiwemo Tanzania.
Diamond Platnumz na Vanessa Mdee ndio wasanii wa Tanzania wanaoshindana na Sauti Sol (Kenya), Sarkodie (Ghana), Cassper Nyovest na AKA (South Africa).
AFRICAN ARTISTE OF THE...
9 years ago
Bongo513 Dec
Lulu, Monalisa, Richie watajwa kuwania tuzo za Africa Magic, AMVCA 2016
![a2-poster](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/a2-poster-300x194.jpg)
Waigizaji Elizabeth ‘Lulu’ Michael, Single ‘Richie’ Mtambalike na Yvonne ‘Monalisa’ Cherry wametajwa kuwania tuzo za Africa Magic Viewers Choice Awards, AMVCA za mwaka 2016 kupitia filamu walizoigiza.
Majina ya filamu zinazoshindana mwaka huu yalitajwa Jumamosi hii.
Lulu ametajwa kuwania tuzo hizo kwenye kipengele cha Best Movie – East Africa kupitia filamu yake ya Mapenzi ya Mungu pamoja na Monalisa kupitia Daddy’s Wedding.
Kupitia Instagram Lulu ameandika: Nina Kila sababu ya Kumshukuru...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wib7New*8449JzCm7vuy20o0qs5Uz5h3CUBFj8cGSALM8n0D9ziE8f5zLwVoZN1KorbvjGuzubDtva2JiDuw2NqvNUbobUQS/MTV.jpg?width=650)
DIAMOND, VANESSA MDEE WATAJWA TUZO ZA MTV 2015
10 years ago
Bongo512 Dec
Diamond na Ommy Dimpoz watajwa kuwania tuzo za HiPipo Music Awards 2015 za Uganda
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-uoxQ0ZZ5MU8/VmRKx2F92II/AAAAAAAIKfo/RexZr7SIgB8/s72-c/Yamoto-Band-12.png)
YAMOTO BENDI WAINGIA TUZO ZA KORA
![](http://2.bp.blogspot.com/-uoxQ0ZZ5MU8/VmRKx2F92II/AAAAAAAIKfo/RexZr7SIgB8/s640/Yamoto-Band-12.png)
Na Mwandishi MwetuWAKATI jana wakiendelea kutoa burudani katika mji wa Washington DC, Bendi ya Yamoto, imeingia katika kuwania tuzo za Kora 2016, ikiingia katika kipengele cha Most Promising Male Artist Of Africa.
Mkurugenzi wa bendi hiyo Said Fella, alisema kwanza anamshukuru Mungu vijana wake juzi usiku walikuwa na onesho lao la pili lililofanyika Washington DC na kuweza kufanya vizuri, lakini la pili kuingia katik tuzo za Kora.
Fella...
10 years ago
Bongo510 Oct
Mrisho Mpoto ateuliwa kuwa balozi wa tuzo za Kora Tanzania
10 years ago
Bongo503 Oct
BASATA lawapongeza Diamond, Msechu na Vanessa kwa kutajwa kuwania tuzo za AFRIMA 2014