Diamond na Ommy Dimpoz watajwa kuwania tuzo za HiPipo Music Awards 2015 za Uganda
Mastaa wa Tanzania Nasibu Abdul a.k.a Diamond Platnumz na Omary Nyembo a.k.a Ommy Dimpoz, nyimbo zao zimetajwa kuwania tuzo za HiPipo Music Awards (HMA2015) za Uganda zinazotarajiwa kutolewa mwakani. ‘Number One’ (original) ya Diamond na ‘Ndagushima’ ya Dimpoz zinachuana na nyimbo zingine za Afrika Mashariki kwenye kipengele kimoja cha East Africa Super Hit. Nyimbo za […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo503 Dec
Diamond, Alikiba na Vanessa Mdee watajwa kuwania tuzo za HiPipo za Uganda (2016)

Diamond Platnumz, Alikiba na Vanessa Mdee wametajwa kuwania tuzo za muziki za Uganda, HiPipo za mwaka 2016.
Wasanii hao wametajwa kwenye vipengele vya Afrika Mashariki.
Kipengele cha kwanza ni East Africa Super Hit ambacho kinawaniwa na wasanii wa Kenya na Tanzania. Nana ya Diamond Platnumz, Nobody But Me ya Vanessa Mdee f/ K.O na Mwana ya Alikiba zimetajwa.
Kingine ni East Africa Best Video ambapo Nana ya Diamond Platnumz na Nobody But Me ya Vanessa Mdee zimetajwa.
Bofya hapa kusoma majina...
10 years ago
Bongo520 Jul
Diamond, Alikiba, Vanessa, Jaydee, Ommy Dimpoz, Mpoto watajwa kuwania tuzo za AFRIMMA
9 years ago
Bongo509 Dec
Diamond na Vanessa watajwa kuwania tuzo za ‘TooXclusive Awards 2015’ za Nigeria

Mtandao wa ku-download muziki tooXclusive.com wa Nigeria ambao ndio waandaaji wa tuzo za ‘TooXclusive Awards 2015’ wametangaza majina ya nominees wa mwaka huu.
Kuna jumla ya vipengele 18 vinavyoshindaniwa, na kipengele cha ‘African Artiste Of The Year’ ndio kinachowahusu wasanii wa nje ya Nigeria ikiwemo Tanzania.
Diamond Platnumz na Vanessa Mdee ndio wasanii wa Tanzania wanaoshindana na Sauti Sol (Kenya), Sarkodie (Ghana), Cassper Nyovest na AKA (South Africa).
AFRICAN ARTISTE OF THE...
9 years ago
Bongo511 Nov
Kundi la Navy Kenzo lachaguliwa kuwania tuzo za ‘Top Naija Music Awards 2015’ za Nigeria
Kundi la Navy Kenzo limechaguliwa kuwania kipengele cha Kundi Bora La Muziki katika tuzo za ‘Top Naija Music Awards 2015’ za Nigeria.
Makundi mengine ya Nigeria ambao yanawania kipengele kimoja na Navy Kenzo ni Dupi 2, Connect Music Group (Cmg), Ace Republic, Dp-Kings na Betrose.
Kura zimeanza kupigwa November 8, 2015 na zitafungwa December 31, 2015. Washindi wa tuzo hizo watatangazwa January 2, 2016 na sherehe ya utolewaji wa tuzo itafanyika January 26, 2016 jijini Lagos, Nigeria.
Navy...
10 years ago
Bongo517 Oct
Beyoncé, Chris Brown, Jidenna watajwa kuwania Soul Train Awards 2015 (Orodha kamili)
10 years ago
GPL
SAUTI SOL WATAJWA KUWANIA TUZO ZA BET 2015
10 years ago
Bongo511 Oct
Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz washinda tuzo za Afrimma
10 years ago
Bongo508 Oct
Picha: Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz waenda Marekani kwenye tuzo za Afrimma
9 years ago
Bongo504 Dec
Diamond, Vanessa, Wakazi, Mpoto na Yamoto watajwa kuwania tuzo za Kora 2016, zawadi kubwa ni sh. Bilioni 2

Hatimaye majina ya wanaowania tuzo za Kora 2016 yametangazwa rasmi leo Dec.3 , ambapo Tanzania inawakilishwa na wasanii watano.
Diamond Platnumz ametajwa kuwania kipengele cha Best Male- East Africa, huku Vanessa Mdee akiwania Best Female-East Africa. Wakazi anawania kipengele cha Best Hip Hop, na Yamoto Band wametajwa kuwania kipengele cha Most Promising Male Artist Of Africa, bila kumsahau Mrisho Mpoto anayewania Best Traditional Male Artist Of Africa.
Mbali na tuzo yenyewe zawadi kubwa...