Diamond na Vanessa watajwa kuwania tuzo za ‘TooXclusive Awards 2015’ za Nigeria
Mtandao wa ku-download muziki tooXclusive.com wa Nigeria ambao ndio waandaaji wa tuzo za ‘TooXclusive Awards 2015’ wametangaza majina ya nominees wa mwaka huu.
Kuna jumla ya vipengele 18 vinavyoshindaniwa, na kipengele cha ‘African Artiste Of The Year’ ndio kinachowahusu wasanii wa nje ya Nigeria ikiwemo Tanzania.
Diamond Platnumz na Vanessa Mdee ndio wasanii wa Tanzania wanaoshindana na Sauti Sol (Kenya), Sarkodie (Ghana), Cassper Nyovest na AKA (South Africa).
AFRICAN ARTISTE OF THE...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo503 Dec
Diamond, Alikiba na Vanessa Mdee watajwa kuwania tuzo za HiPipo za Uganda (2016)
Diamond Platnumz, Alikiba na Vanessa Mdee wametajwa kuwania tuzo za muziki za Uganda, HiPipo za mwaka 2016.
Wasanii hao wametajwa kwenye vipengele vya Afrika Mashariki.
Kipengele cha kwanza ni East Africa Super Hit ambacho kinawaniwa na wasanii wa Kenya na Tanzania. Nana ya Diamond Platnumz, Nobody But Me ya Vanessa Mdee f/ K.O na Mwana ya Alikiba zimetajwa.
Kingine ni East Africa Best Video ambapo Nana ya Diamond Platnumz na Nobody But Me ya Vanessa Mdee zimetajwa.
Bofya hapa kusoma majina...
10 years ago
Bongo520 Jul
Diamond, Alikiba, Vanessa, Jaydee, Ommy Dimpoz, Mpoto watajwa kuwania tuzo za AFRIMMA
10 years ago
Bongo512 Dec
Diamond na Ommy Dimpoz watajwa kuwania tuzo za HiPipo Music Awards 2015 za Uganda
9 years ago
Bongo504 Dec
Diamond, Vanessa, Wakazi, Mpoto na Yamoto watajwa kuwania tuzo za Kora 2016, zawadi kubwa ni sh. Bilioni 2
Hatimaye majina ya wanaowania tuzo za Kora 2016 yametangazwa rasmi leo Dec.3 , ambapo Tanzania inawakilishwa na wasanii watano.
Diamond Platnumz ametajwa kuwania kipengele cha Best Male- East Africa, huku Vanessa Mdee akiwania Best Female-East Africa. Wakazi anawania kipengele cha Best Hip Hop, na Yamoto Band wametajwa kuwania kipengele cha Most Promising Male Artist Of Africa, bila kumsahau Mrisho Mpoto anayewania Best Traditional Male Artist Of Africa.
Mbali na tuzo yenyewe zawadi kubwa...
9 years ago
Bongo530 Sep
Diamond atajwa kuwania tuzo zingine Nigeria, ‘The African Entertainment Legend Awards’ (AELA)
10 years ago
GPLDIAMOND, VANESSA MDEE WATAJWA AFRICAN ENTERTAINMENT AWARDS ZA NCHINI MAREKANI
10 years ago
GPLDIAMOND, VANESSA MDEE WATAJWA TUZO ZA MTV 2015
10 years ago
Bongo503 Oct
BASATA lawapongeza Diamond, Msechu na Vanessa kwa kutajwa kuwania tuzo za AFRIMA 2014
9 years ago
Bongo522 Aug
Diamond atajwa kuwania ‘African Youth Choice Awards’ za Nigeria