Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YAMOTO BENDI WAINGIA TUZO ZA KORA

Waimbaji wa yamoto bendi wakiwa katika picha ya pamoja.
Na Mwandishi MwetuWAKATI jana wakiendelea kutoa burudani katika mji wa Washington DC, Bendi ya Yamoto, imeingia katika kuwania tuzo za Kora 2016, ikiingia katika kipengele cha Most Promising Male Artist Of Africa.
Mkurugenzi wa bendi hiyo Said Fella, alisema kwanza anamshukuru Mungu vijana wake juzi usiku walikuwa na onesho lao la pili lililofanyika Washington DC na kuweza kufanya vizuri, lakini la pili kuingia katik tuzo za Kora. 
Fella...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Diamond, Vanessa, Wakazi, Mpoto na Yamoto watajwa kuwania tuzo za Kora 2016, zawadi kubwa ni sh. Bilioni 2

kora2016

Hatimaye majina ya wanaowania tuzo za Kora 2016 yametangazwa rasmi leo Dec.3 , ambapo Tanzania inawakilishwa na wasanii watano.

kora2016

Diamond Platnumz ametajwa kuwania kipengele cha Best Male- East Africa, huku Vanessa Mdee akiwania Best Female-East Africa. Wakazi anawania kipengele cha Best Hip Hop, na Yamoto Band wametajwa kuwania kipengele cha Most Promising Male Artist Of Africa, bila kumsahau Mrisho Mpoto anayewania Best Traditional Male Artist Of Africa.

kor

Mbali na tuzo yenyewe zawadi kubwa...

 

9 years ago

Michuzi

YAMOTO BENDI NA KALUNDE KUTUMBUIZA KATIKA TUZO ZA TASWA JUMA TATU HII

BENDI ya Yamoto na Kalunde zinatarajiwa kutumbuiza wakati wa sherehe za Tuzo za Wanamichezo Bora na Tuzo ya Heshima ya Rais Jakaya Kikwete kesho Jumatatu Oktoba 12, 2015.
Maandalizi kuhusiana na tuzo hizo zinazoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA) yamekamilika kwa kiasi kikubwa na baadhi ya wanamichezo wanaotoka nje ya Dar es Salaam ambao ni miongoni mwa watakaopewa tuzo wanatarajiwa kuwasili leo jioni tayari kwa shughuli hiyo.
Tunaamini uwepo wa Yamoto na...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND ATWAA TUZO YA KORA

Staa wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond'. Cheti kutoka Kora alichopokea Diamond Platnumz. STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo za Kora katika kipengele cha Msanii Bora wa Kiume wa Afrika Mashariki.  Meneja wa msanii huyo, Babu Tale amethibitisha kupokea cheti cha heshima kuhusu tuzo hiyo huku akisema wanasubiri utaratibu… ...

 

10 years ago

Michuzi

Bendi ya Yamoto yafanya ziara Ubalozini London

Mwishoni mwa wiki iliyopita vijana machachari wa Yamoto Band walifanya ziara maalum kutembelea ubalozi wetu a jijini London, Uingereza, na kupata fursa ya kukutana na Balozi Peter Kallaghe na kujadili nae kuhusu tasnia ya muziki Tanzania. Aidha Mh Balozi Kallaghe aliwapongeza kwa kazi zao nzuri na kuwaasa kuwa waendelee kujituma kwa moyo zaidi, huku akiwatahadharisha wasilewe sifa na kuwa nguvu ya soda, bali wawe mfano wa kuigwa kwa kudumu pamoja kwa muda mrefu. Bendi ya Yamoto iko nchini...

 

10 years ago

Bongo5

Mrisho Mpoto ateuliwa kuwa balozi wa tuzo za Kora Tanzania

Waandaji wa tuzo za Kora wamemteua Mrisho Mpoto kuwa balozi wake nchini Tanzania. Kora imemtumia barua Mpoto kumtaarifu kuhusu uteuzi huo. “KILA ASUBUHI TUNAOMBA TUPATE NAFASI YA KULETA BABADILIKO KATIKA MAISHA YA WATU, LEO TIMEPATA ASANTE TUZO ZA KORA KWA KUNICHAGUA KUWA BALOZI WA HERI KWENYE NCHI YANGU  YA TANZANIA NAAMINI TUNAWEZA KUPIGANIA AFRICA ISIYO […]

 

9 years ago

Habarileo

Yamoto, Kalunde Band kupamba tuzo za Taswa

BENDI ya Yamoto na Kalunde zinatarajiwa kutumbuiza wakati wa sherehe za Tuzo za Wanamichezo Bora na Tuzo ya Heshima ya Rais Jakaya Kikwete leo Jumatatu Oktoba 12, 2015.

 

9 years ago

MillardAyo

Dakika 4 za kuenjoy ngoma ya bendi ya wafungwa Malawi waliotajwa Tuzo za Grammy.. (+Video)

Kama ulikuwa karibu na radio yako jana December 16 2015 moja ya stori kubwa iliyosikika kwenye AMPLIFAYA ilikuwa ni hii inayohusu bendi ya wafungwa kutoka Malawi iliyotajwa kuingia kwenye Tuzo za Grammy zitakazotolewa February 2016. Bendi Inaitwa Zomba Prison Band na tayari wana album ambayo wameipa jina la ‘I Have No Everything Here‘, bendi hiyo ina […]

The post Dakika 4 za kuenjoy ngoma ya bendi ya wafungwa Malawi waliotajwa Tuzo za Grammy.. (+Video) appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani