Bendi ya Yamoto yafanya ziara Ubalozini London
.jpg)
Mwishoni mwa wiki iliyopita vijana machachari wa Yamoto Band walifanya ziara maalum kutembelea ubalozi wetu a jijini London, Uingereza, na kupata fursa ya kukutana na Balozi Peter Kallaghe na kujadili nae kuhusu tasnia ya muziki Tanzania. Aidha Mh Balozi Kallaghe aliwapongeza kwa kazi zao nzuri na kuwaasa kuwa waendelee kujituma kwa moyo zaidi, huku akiwatahadharisha wasilewe sifa na kuwa nguvu ya soda, bali wawe mfano wa kuigwa kwa kudumu pamoja kwa muda mrefu. Bendi ya Yamoto iko nchini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
YAMOTO BENDI WAINGIA TUZO ZA KORA

Na Mwandishi MwetuWAKATI jana wakiendelea kutoa burudani katika mji wa Washington DC, Bendi ya Yamoto, imeingia katika kuwania tuzo za Kora 2016, ikiingia katika kipengele cha Most Promising Male Artist Of Africa.
Mkurugenzi wa bendi hiyo Said Fella, alisema kwanza anamshukuru Mungu vijana wake juzi usiku walikuwa na onesho lao la pili lililofanyika Washington DC na kuweza kufanya vizuri, lakini la pili kuingia katik tuzo za Kora.
Fella...
10 years ago
Michuzi11 Oct
YAMOTO BENDI NA KALUNDE KUTUMBUIZA KATIKA TUZO ZA TASWA JUMA TATU HII
Maandalizi kuhusiana na tuzo hizo zinazoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA) yamekamilika kwa kiasi kikubwa na baadhi ya wanamichezo wanaotoka nje ya Dar es Salaam ambao ni miongoni mwa watakaopewa tuzo wanatarajiwa kuwasili leo jioni tayari kwa shughuli hiyo.
Tunaamini uwepo wa Yamoto na...
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo
YAMOTO BAND LIVE IN LONDON

10 years ago
Vijimambo24 Feb
YAMOTO BAND YAWASHA MOTO LONDON


10 years ago
Michuzi
Yamoto Band ndani ya Royal Regency, UK London


BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
Dewji Blog23 Feb
Picha zote za show ya Yamoto Band ndani ya Royal Regency, UK London

Vijana wa Yamoto Band jumamosi iliyopita Walipiga Bonge moja la Show huko UK London katika Ukumbi wa Royal Regency na kuhudhuliwa na watu kibao wanaoishi huko, Hizi ni picha za matukio katika Show Hiyo. Picha zaidi Ingia www.harakatizabongo.com









































.jpg)







.jpg)




10 years ago
MichuziYAMOTO BAND LIVE KWA MARA YA KWANZA KWENYE JIJI LA LONDON
Live with Full Band & Dancers...This is one show that's not to be Missed... Sponsored by @officialjestinageorgeblog @bongodeejays@zuriihouseofbeauty
11 years ago
Michuzi
Mashujaa bendi kufanya ziara mikoani

BENDI ya muziki wa dansi nchini Mashujaa, inatarajia kufanya ziara katika mikoa ya nchini nzima kwa ajili ya kutoa shukrani kwa mashabiki wao waliowapigia kura kwenye tuzo za Kilimanjaro Music Awards.
Akizungumza Dar es Salaam...