Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashujaa bendi kufanya ziara mikoani

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa bendi ya muziki wa dansi ya Mashujaa Maximillian Luhanga (kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari jana kuhusu ziara yao itakayofanyika katika mikoa yote baada ya mfungo wa Mwezi wa Ramadhan, kustoto ni rapa wa bendi hiyo Raja Ladha.
BENDI ya muziki wa dansi nchini Mashujaa, inatarajia kufanya ziara katika mikoa ya nchini nzima kwa ajili ya kutoa shukrani kwa mashabiki wao waliowapigia kura kwenye tuzo za Kilimanjaro Music Awards.
Akizungumza Dar es Salaam...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KITOKOLOLO RAPA WA FM ACADEMIA AHAMIA BENDI YA MASHUJAA

1b Kitkololo akitangaza rasmi kujiunga na bendi ya Mashujaa leo kulia  ni Mkurugenzi wa Mawasiliano Bw. Maximillian Luhanga. 3b Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Bendi ya Mashujaa Bw. Maximillian Luhanga akizungumza katika mkutano huo wakati alipomtambulisha rapa Kitokololo kushoto kutoka bendi ya FM Academia kulia ni  King Dodoo mshauri wa bendi hiyo na katikati. ……………………………………………………………………. BENDI ya Mashujaa imemchukua rapa, Kalidjo Kitokololo ‘Kuku’ kutoka bendi ya  FM Academia na kusaini naye ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mpoto ajivunia ziara mikoani

MSANII wa muziki wa asili nchini, Mrisho Mpoto, amesema albamu yake ya ‘Waite’ imekuwa ikifanya vizuri sokoni hasa kupitia ziara yake katika mikoa mbalimbali kwani hadi sasa ameweza kuuza nakala...

 

10 years ago

Vijimambo

BILEKU MPASI KUTOKA CONGO (DRC) NA MASHUJAA BAND KUFANYA ONESHO LA PAMOJA DISEMBA 12

Rais wa Band ya Mashujaa, Chalz Baba (kushoto), akitoa burudani mbele ya wanahabari Dar es Salaam leo, kuhusu onesho hilo litakalofanyika katika ukumbi huo.. Kutoka kulia ni Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia ya Mabibo, Joseph Emanuel na Ofisa Uhusiano wa Band ya Mashujaa, King Dodo la Buche. Ofisa Uhusiano wa Band ya Mashujaa, King Dodo la Buche (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu onesho hilo. Kulia ni Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia ya Mabibo, Joseph Emanuel na Rais wa Band ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Bendi imara zinawezekana kwa kufanya haya-Zahoro

Wanamuziki wengi wa muziki wa dansi wana sifa kubwa ya kuhama bendi moja kwenda nyingine na kuwa kama sehemu ya maisha au utamaduni wao hivyo kusababisha bendi nyingi kukosa uimara.

 

10 years ago

Habarileo

Kinana apiga ‘stop’ ziara za mikoani za Mwigulu

Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Tanzania Bara), Mwigulu NchembaNAIBU Katibu Mkuu wa CCM (Tanzania Bara), Mwigulu Nchemba amekubali kuitikia wito wa kusitisha ziara zake za kichama katika mikoa na wilaya mbalimbali nchini, kama alivyoagizwa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana.

 

10 years ago

Vijimambo

ZIARA YA MKURUGENZI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA MIKOANI

 Mkurugenzi wa Mikoa na Utawala wa NHC Bw. Raymond Mndolwa(aliyenyosha mkono juu) akiekeza jambo wakati alipokuwa kwenye ziara ya Mkurugenzi Mkuu wa NHC kwenye mradi wa nyumba za Makazi Wilayani Monduli jana. Mkugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu akikagua nyumba za makazi za kuuza  zinazojengwa na NHC Wilayani Monduli Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akipewa maelezo ya mradi wa nyumba za kuuza za makazi zinazojengwa na NHC Wilayani Monduli na Msimamizi wa mradi huo Bw....

 

10 years ago

Michuzi

Bendi ya Yamoto yafanya ziara Ubalozini London

Mwishoni mwa wiki iliyopita vijana machachari wa Yamoto Band walifanya ziara maalum kutembelea ubalozi wetu a jijini London, Uingereza, na kupata fursa ya kukutana na Balozi Peter Kallaghe na kujadili nae kuhusu tasnia ya muziki Tanzania. Aidha Mh Balozi Kallaghe aliwapongeza kwa kazi zao nzuri na kuwaasa kuwa waendelee kujituma kwa moyo zaidi, huku akiwatahadharisha wasilewe sifa na kuwa nguvu ya soda, bali wawe mfano wa kuigwa kwa kudumu pamoja kwa muda mrefu. Bendi ya Yamoto iko nchini...

 

10 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MKUU WA NHC AENDELEA NA ZIARA YAKE MIKOANI

Mkurugenzi Mkuu wa NHC BW. Nehemia Kyando Mchechu akiongea na kikundi cha vijana cha Mshikamano Wilayani Muleba alipokitembelea kuona namna kinavtumia mashine zilizotolewa na NHC ili kuongeza ajira kwa vijana. Bw. Mchechu amezitaka Halmashauri za Wilaya nchini kuunga mkono juhudi za NHC kwa kuwapatia vijana maeneo ya kufanyia kazi zao.Mkurugenzi Mkuu wa NHC BW. Nehemia Kyando Mchechu akikagua viwanja vya NHC Wilayani Chato vinavyokusudiwa kujengwa nyumba za gharama nafuu ikiwa ni program ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani