Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana apiga ‘stop’ ziara za mikoani za Mwigulu

Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Tanzania Bara), Mwigulu NchembaNAIBU Katibu Mkuu wa CCM (Tanzania Bara), Mwigulu Nchemba amekubali kuitikia wito wa kusitisha ziara zake za kichama katika mikoa na wilaya mbalimbali nchini, kama alivyoagizwa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mwigulu atii agizo la Kinana, asitisha ziara zake mikoani

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesitisha ziara zake za mikoani ili kutii agizo alilopewa na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana.

 

10 years ago

Habarileo

RC apiga ‘stop’ biashara ya mkaa

Dk Rajab RutengweMKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe, amewapa mwezi mmoja wakuu wa wilaya sita za mkoa, wahakikishe wanakomesha kuzagaa kwa biashara ya mkaa katika maeneo yao.

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha wa Simba apiga ‘stop’ usajili

Kocha wa Simba, Dylan Kerr amewazuia viongozi wa timu hiyo kufanya usajili wowote hasa mshambuliaji bila ya kujiridhisha juu ya uwezo wake.

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI ZUNGU APIGA STOP NGUO ZA NDANI ZA MITUMBA

  Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mussa Zungu amepiga marufuku nguo za mitumba za ndani  kwakuwa zinasababisha maradhi kwa watumiaji.
"Nguo za mitumba ambazo haziruhusiwi ni nguo za ndani kwa sababu ya maradhi, mfano Mwanamke anavaa vazi la juu (sidiria) huwezi kujua aliyevaa kabla yako alikuwa ana magonjwa gani, huo ndio mwanzo wa kusambaa kwa magonjwa ya saratani"

“Nimefanya ziara Mto Msimbazi shughuli za Binadamu zinaharibu kingo za Mto, Kuna mazungumzo yanaendelea...

 

9 years ago

Vijimambo

MOTO WA MWIGULU NCHEMBA WATUA MKOA WA MARA,APIGA MAJIMBO 5 KWA SIKU.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza akimnadi Mgombea wa Jimbo la Bunda Vijini.Mwigulu akizungumza na wanaserengeti amewaomba"Naomba mmchague Magufuli kwasababu tunazo sababu nyingi za kuhakikisha anakuwa Rais wa Tanzania,Magufuli yeye rafiki yake ni Kazi tu,Hivyo wananchi wamchague Mgombea Urais mwenye kusimamia kazi na shughuli za Maendeleo.Wanaserengeti wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Chama cha Mapinduzi-Serengeti.
Hisia za Maandishi kwa Magufuli.Mwigulu Nchemba akisalimiana na
Wananchi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

EXCLUSIVE: WAZIRI APIGA STOP TFF KUTAKA KUCHUKUA 5% ZA VODACOM, AZAM TV

Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia amelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kusitisha uamuzi wake wa kutaka kuchukua asilimia 5 za udhamini wa klabu zinazotolewa na makampuni ya Vodacom na Azam TV.Nkamia ameiambia SALEHJEMBE leo kwamba ameitaka TFF kusitisha jambo hilo."Kweli tumekutana TFF, Bodi ya Ligi na nimeagiza suala hilo kusitishwa mara moja," alisema Nkamia.Hata hivyo, Nkamia hakuweza kufafanua zaidi kwa kuwa alikuwa akiingia kwenye...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mpoto ajivunia ziara mikoani

MSANII wa muziki wa asili nchini, Mrisho Mpoto, amesema albamu yake ya ‘Waite’ imekuwa ikifanya vizuri sokoni hasa kupitia ziara yake katika mikoa mbalimbali kwani hadi sasa ameweza kuuza nakala...

 

9 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA AZIDI KUCHANJA MBUGA MIKOANI KUIPIGANIA CCM,HAPA AKIMNADI NJALU ANAYEKWENDA KUMNG'OA MZEE CHEYO

Mwigulu Nchemba akiwa amaembatana na Mgombea Ubunge Jimbo la Bariadi Mashariki wilaya mpya ya Itilima Ndg.Njalu wakiwasili kwenye viwanja vya Laini kwaajili ya Mkutano wa kampeni wa Chama cha Mapinduzi wilayani humo.Wananchi wakisukumana kuhakikisha kila mmoja anashikana mkono na Comrade Mwigulu Nchemba ambaye ni Mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Iramba.Mwigulu Nchemba akimnadi Mgombe Ubunge wilaya ya Itilima Ndg.Njalu mapema hii leo wakati wa mkutano wa kampeni.Mwigulu NChemba akizungumzia...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU APIGA STOP MATUMIZI YA KUNI KIWANDA CHA 21st CENTURY

PG4A8989Waziri Mkuu, MIzengo Pinda , Viongozi wa Baraza la Mazingiea nchini, NEMC na viongozi wa mkoa wa Morogoro wakitazama maji yenye sumu, kemikali na tindikali yaliyoekekezwa mtoni yakitoka kwenye viwanda vya 21st  Century cha nguo, Morogoro  Canvanse na kiwanda cha magunia cha Morogoro wakati alipotembela eneo Kihonda mbuyuni kukagua  athari za maji hayo.(Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu)……………………………………………………………………………..WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ametoa mwezi mmoja kwa Baraza la Taifa la Mazingira...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani