Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mpoto ajivunia ziara mikoani

MSANII wa muziki wa asili nchini, Mrisho Mpoto, amesema albamu yake ya ‘Waite’ imekuwa ikifanya vizuri sokoni hasa kupitia ziara yake katika mikoa mbalimbali kwani hadi sasa ameweza kuuza nakala...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mashujaa bendi kufanya ziara mikoani

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa bendi ya muziki wa dansi ya Mashujaa Maximillian Luhanga (kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari jana kuhusu ziara yao itakayofanyika katika mikoa yote baada ya mfungo wa Mwezi wa Ramadhan, kustoto ni rapa wa bendi hiyo Raja Ladha.
BENDI ya muziki wa dansi nchini Mashujaa, inatarajia kufanya ziara katika mikoa ya nchini nzima kwa ajili ya kutoa shukrani kwa mashabiki wao waliowapigia kura kwenye tuzo za Kilimanjaro Music Awards.
Akizungumza Dar es Salaam...

 

10 years ago

Vijimambo

ZIARA YA MKURUGENZI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA MIKOANI

 Mkurugenzi wa Mikoa na Utawala wa NHC Bw. Raymond Mndolwa(aliyenyosha mkono juu) akiekeza jambo wakati alipokuwa kwenye ziara ya Mkurugenzi Mkuu wa NHC kwenye mradi wa nyumba za Makazi Wilayani Monduli jana. Mkugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu akikagua nyumba za makazi za kuuza  zinazojengwa na NHC Wilayani Monduli Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akipewa maelezo ya mradi wa nyumba za kuuza za makazi zinazojengwa na NHC Wilayani Monduli na Msimamizi wa mradi huo Bw....

 

10 years ago

Habarileo

Kinana apiga ‘stop’ ziara za mikoani za Mwigulu

Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Tanzania Bara), Mwigulu NchembaNAIBU Katibu Mkuu wa CCM (Tanzania Bara), Mwigulu Nchemba amekubali kuitikia wito wa kusitisha ziara zake za kichama katika mikoa na wilaya mbalimbali nchini, kama alivyoagizwa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana.

 

10 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MKUU WA NHC AENDELEA NA ZIARA YAKE MIKOANI

Mkurugenzi Mkuu wa NHC BW. Nehemia Kyando Mchechu akiongea na kikundi cha vijana cha Mshikamano Wilayani Muleba alipokitembelea kuona namna kinavtumia mashine zilizotolewa na NHC ili kuongeza ajira kwa vijana. Bw. Mchechu amezitaka Halmashauri za Wilaya nchini kuunga mkono juhudi za NHC kwa kuwapatia vijana maeneo ya kufanyia kazi zao.Mkurugenzi Mkuu wa NHC BW. Nehemia Kyando Mchechu akikagua viwanja vya NHC Wilayani Chato vinavyokusudiwa kujengwa nyumba za gharama nafuu ikiwa ni program ya...

 

10 years ago

GPL

ZIARA YA MKURUGENZI MKUU WA NHC KUKAGUA MIRADI YA SHIRIKA MIKOANI

Mwonekano wa sasa wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC eneo la Mlole Kigoma Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akikagua mradi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC eneo la Ilembo Katavi. Nyumba hizo 70 zimeshakamilika na zinauzwa kwa wananchi wote wanaohitaji. Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu na akiwa eneo la Inyonga Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi kukagua eneo ambalo ujenzi wa...

 

10 years ago

Michuzi

Ziara ya Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC mikoani

New Picture (4) Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu wakikagua eneo lililotengwa kwa ajili ya NHC kujenga nyumba za gharama nafuukatika Halmashauri ya Wilaya Serengeti-Mugumu. Eneo hili lina ekari 134 na miundombinu ya maji na umeme.New Picture (5) Afisa Mipango Miji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mugumu Serengeti akimuonyesha Mkurugenzi Mkuu wa NHC ramani ya mpango Miji inayoonyesha eneo la NHC la kujenga nyumba za gharama nafuu.New Picture (6)Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akiongea na...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwigulu atii agizo la Kinana, asitisha ziara zake mikoani

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesitisha ziara zake za mikoani ili kutii agizo alilopewa na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana.

 

10 years ago

GPL

ZIARA YA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA MIKOANI‏

Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akipewa maelezo ya mradi wa nyumba za kuuza za makazi zinazojengwa na NHC Wilayani Monduli na Msimamizi wa mradi huo Bw. Hassan Bendera. Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu akikagua mchoro wa ujenzi wa nyumba za makazi zinazojengwa na NHC Wilayani Monduli. Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli,...

 

10 years ago

GPL

ZIARA YA MKURUGENZI MTENDAJI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA NHC MIKOANI‏

Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu wakikagua eneo lililotengwa kwa ajili ya NHC kujenga nyumba za gharama nafuukatika Halmashauri ya Wilaya Serengeti-Mugumu. Eneo hili lina ekari 134 na miundombinu ya maji na umeme. Afisa Mipango Miji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mugumu Serengeti akimuonyesha Mkurugenzi Mkuu wa NHC ramani ya mpango Miji inayoonyesha eneo la NHC la kujenga nyumba za gharama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani