Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwigulu atii agizo la Kinana, asitisha ziara zake mikoani

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesitisha ziara zake za mikoani ili kutii agizo alilopewa na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kinana apiga ‘stop’ ziara za mikoani za Mwigulu

Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Tanzania Bara), Mwigulu NchembaNAIBU Katibu Mkuu wa CCM (Tanzania Bara), Mwigulu Nchemba amekubali kuitikia wito wa kusitisha ziara zake za kichama katika mikoa na wilaya mbalimbali nchini, kama alivyoagizwa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana.

 

5 years ago

Michuzi

Mkandarasi atii agizo la Rais, aanza ujenzi wa barabara Kigamboni

 Mkandarasi anayejenga barabara yenye urefu wa kilomita 1.2 kutoka Daraja la Nyerere hadi Feri – Kibada ametii agizo la Rais John Magufuli la kumtaka kuanza kazi ya kukamilisha mradi huo haraka.
 China Railway Construction Engineering Group (CRCEG) jana ilianza kazi ya kutengeneza kipande cha barabara hiyo, ikiwa ni siku chache baada ya Rais Magufuli kutoa agizo la kumaliza mgogoro wa kikandarasu na kukamilishaa mradi huo.Akizugumza wakati wa uzinduzi wa ofisi za Wilaya ya Kigamboni,. Rais...

 

10 years ago

Michuzi

MH. MWIGULU NCHEMBA ASITISHA SAFARI YAKE KWA MUDA ILI KUOKOA MAJERUHI KATIKA AJALI YA GARI

Naibu Waziri wa Fedha,Mh.Mwigulu Nchemba akiangalia sehemu aliyokuwa amebanwa Kondakta wa Gari hilo (pichani) lililopata ajali jana katika barabara kuu ya Dar - Iringa kutokana na kugonga Ukuta pembezoni mwa Barabara hiyo.Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Mwigulu Nchemba akizungumza na Kondakta wa  lori hilo lililopata ajali mara baada ya Kumnasua kwenye roli hilo.Kijana anaonekana kuugulia maumivu makali kwenye Mkono.Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Mwigulu Nchemba akitoka huduma ya Kwanza kwa Majeruhi wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Dalai Lama asitisha ziara Afrika Kusini

Kiongozi huyo ambaye yuko uhamishoni, alisitisha ombi lake la Viza baada ya maafisa wake kusema huenda akanyimwa viza hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mpoto ajivunia ziara mikoani

MSANII wa muziki wa asili nchini, Mrisho Mpoto, amesema albamu yake ya ‘Waite’ imekuwa ikifanya vizuri sokoni hasa kupitia ziara yake katika mikoa mbalimbali kwani hadi sasa ameweza kuuza nakala...

 

9 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA AZIDI KUCHANJA MBUGA MIKOANI KUIPIGANIA CCM,HAPA AKIMNADI NJALU ANAYEKWENDA KUMNG'OA MZEE CHEYO

Mwigulu Nchemba akiwa amaembatana na Mgombea Ubunge Jimbo la Bariadi Mashariki wilaya mpya ya Itilima Ndg.Njalu wakiwasili kwenye viwanja vya Laini kwaajili ya Mkutano wa kampeni wa Chama cha Mapinduzi wilayani humo.Wananchi wakisukumana kuhakikisha kila mmoja anashikana mkono na Comrade Mwigulu Nchemba ambaye ni Mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Iramba.Mwigulu Nchemba akimnadi Mgombe Ubunge wilaya ya Itilima Ndg.Njalu mapema hii leo wakati wa mkutano wa kampeni.Mwigulu NChemba akizungumzia...

 

11 years ago

Michuzi

Mashujaa bendi kufanya ziara mikoani

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa bendi ya muziki wa dansi ya Mashujaa Maximillian Luhanga (kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari jana kuhusu ziara yao itakayofanyika katika mikoa yote baada ya mfungo wa Mwezi wa Ramadhan, kustoto ni rapa wa bendi hiyo Raja Ladha.
BENDI ya muziki wa dansi nchini Mashujaa, inatarajia kufanya ziara katika mikoa ya nchini nzima kwa ajili ya kutoa shukrani kwa mashabiki wao waliowapigia kura kwenye tuzo za Kilimanjaro Music Awards.
Akizungumza Dar es Salaam...

 

10 years ago

Vijimambo

ZIARA YA MKURUGENZI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA MIKOANI

 Mkurugenzi wa Mikoa na Utawala wa NHC Bw. Raymond Mndolwa(aliyenyosha mkono juu) akiekeza jambo wakati alipokuwa kwenye ziara ya Mkurugenzi Mkuu wa NHC kwenye mradi wa nyumba za Makazi Wilayani Monduli jana. Mkugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu akikagua nyumba za makazi za kuuza  zinazojengwa na NHC Wilayani Monduli Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akipewa maelezo ya mradi wa nyumba za kuuza za makazi zinazojengwa na NHC Wilayani Monduli na Msimamizi wa mradi huo Bw....

 

10 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MKUU WA NHC AENDELEA NA ZIARA YAKE MIKOANI

Mkurugenzi Mkuu wa NHC BW. Nehemia Kyando Mchechu akiongea na kikundi cha vijana cha Mshikamano Wilayani Muleba alipokitembelea kuona namna kinavtumia mashine zilizotolewa na NHC ili kuongeza ajira kwa vijana. Bw. Mchechu amezitaka Halmashauri za Wilaya nchini kuunga mkono juhudi za NHC kwa kuwapatia vijana maeneo ya kufanyia kazi zao.Mkurugenzi Mkuu wa NHC BW. Nehemia Kyando Mchechu akikagua viwanja vya NHC Wilayani Chato vinavyokusudiwa kujengwa nyumba za gharama nafuu ikiwa ni program ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani