Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dalai Lama asitisha ziara Afrika Kusini

Kiongozi huyo ambaye yuko uhamishoni, alisitisha ombi lake la Viza baada ya maafisa wake kusema huenda akanyimwa viza hiyo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBC

Dalai Lama cancels S Africa trip

The Dalai Lama cancels next month's visit to South Africa for a Nobel peace laureate meeting, after being told his visa would be rejected, officials say.

 

11 years ago

BBCSwahili

Uchina yapinga mkutano wa Dalai Lama

Uchina imemuagiza balozi wa Marekani nchini humo kufika mbele yake kama hatua ya kupinga mkutano kati ya Marekani na Dalai Lama.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchina yalaumu Dalai Lama kwa fujo Tibet

Uchina imemlaumu kiongozi wa Tibet aliyeko uhamishoni Dalai Lama, kwa kutokuwa mwaaminifu

 

10 years ago

BBC

Dalai Lama visa row ends Nobel forum

A Nobel Peace Prize meeting due to be held in South Africa will happen elsewhere after the Dalai Lama was denied a visa to the country.

 

10 years ago

Bongo5

Director Godfather wa Afrika Kusini kufanya ziara ya siku 7 Afrika Mashariki na crew yake

Muongozaji wa video, Godfather kutoka Afrika Kusini ambaye ameshafanya kazi na wasanii wengi wa Tanzania wakiwemo Diamond, Ommy Dimpoz, Alikiba, Linah na wengine, anatarajia kufanya ziara ya Afrika mashariki akiwa na crew yake. Katika ziara hiyo ya siku saba itakayoanza mwisho wa mwezi huu wa nne, Godfather amesema atakuwa tayari kufanya video na wasanii wa […]

 

9 years ago

Michuzi

MSANII WA WA AFRIKA KUSINI K.O ATUA DAR KWA ZIARA

  Msanii maarufu nchini Afrika Kusini, K.O akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya ziara ya ktembelea vyombo mbalimbali vya habari hasa Televisheni na Redio na kuangalia mziki wa hapa nchini katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam leo.
 Msanii maarufu nchini Afrika Kusini,K.O (Katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya ziara yake nchini leo jijini Dar es Salaam,Kushoto ni...

 

9 years ago

Vijimambo

MSANII WA AFRIKA KUSINI K.O ATUA DAR KWA ZIARA YA KIMZIKI

Msanii maarufu nchini Afrika Kusini, K.O akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya ziara ya kutembelea vyombo mbalimbali vya habari hasa Televisheni na Redio na kuangalia mziki wa hapa nchini katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam leo.Thabiso Khati ambaye ni msimamizi wa msaniii K.O akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Makamu wa Rais wa Afrika Kusini awasili nchini kwa ziara ya siku moja

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu  Makamu wa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa Matamela alipofika Ikulu kwa mazungumzo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Makamu wa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Ramaphosa. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikino wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) kwa pamoja na Mhe. Wasira wakifuatilia mazungumzo kati ya Mhe. Rais na Makamu wa Rais wa Afrika Kusini...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwigulu atii agizo la Kinana, asitisha ziara zake mikoani

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesitisha ziara zake za mikoani ili kutii agizo alilopewa na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani