Makamu wa Rais wa Afrika Kusini awasili nchini kwa ziara ya siku moja
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu Makamu wa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa Matamela alipofika Ikulu kwa mazungumzo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Makamu wa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Ramaphosa.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikino wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) kwa pamoja na Mhe. Wasira wakifuatilia mazungumzo kati ya Mhe. Rais na Makamu wa Rais wa Afrika Kusini...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMUAGA RAIS WA AFRIKA YA KUSINI BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU MOJA NCHINI


11 years ago
MichuziRais Yoweri Museveni Awasili Nchini kwa Ziara ya siku moja
10 years ago
MichuziMakamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad awasili nchini Qatar kwa ziara ya siku nne ya kiserikali.
10 years ago
Vijimambo
RAIS WA MSUMBIJI FILIPE JACINTO NYUSSI AWASILI NCHINI KWA ZIARA RASMI YA SIKU TATU



10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA ZAMANI WA SUDANI YA KUSINI REIK MACHAR NCHINI AFRIKA YA KUSINI
11 years ago
Dewji Blog14 Sep
Pinda awasili Tanga kwa ziara ya kikazi ya siku moja
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wasanii wa kikundi cha wanawake wa cha Tanga cha Msanja baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga kwa ziara ya siku moja ya kikazi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wasanii wa kikundi cha wanawake wa cha Tanga cha Msanja baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga kwa ziara ya siku moja ya kikazi Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo Chiku Gallawa. (Picha na Ofisi ya Waziri...
11 years ago
Michuzi.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWASILI JAPAN JIONI HII KUANZA ZIARA YA SIKU SITA
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Michuzi.jpg)
WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI TANGA KWA ZIARA YA SIKU MOJA YA KIKAZI
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Dewji Blog22 May
Makamu wa Rais Dkt. Bilal amaliza ziara yake ya siku tatu, nchini China, akutana na mwenyeji wake makamu wa Rais wa China
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao, wakati alipowasili kwenye Ukumbi Maalum kwa watu wa China. ‘Peoples Great Hall’, jijini Beijing China kwa ajili ya mazungumzo rasmi, alipoalikwa kwenye chakula cha jioni na Makamu wa Rais wa China baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu nchini humo.Mei 20, 2015. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,...