WAZIRI MKUU APIGA STOP MATUMIZI YA KUNI KIWANDA CHA 21st CENTURY
Waziri Mkuu, MIzengo Pinda , Viongozi wa Baraza la Mazingiea nchini, NEMC na viongozi wa mkoa wa Morogoro wakitazama maji yenye sumu, kemikali na tindikali yaliyoekekezwa mtoni yakitoka kwenye viwanda vya 21st Century cha nguo, Morogoro Canvanse na kiwanda cha magunia cha Morogoro wakati alipotembela eneo Kihonda mbuyuni kukagua athari za maji hayo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)……………………………………………………………………………..WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ametoa mwezi mmoja kwa Baraza la Taifa la Mazingira...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi20 Feb
Kiwanda cha 21st Century chapigwa Kufuli
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira, limetoa amri ya kfungwa shughuli za uzalishaji katika Kiwanda cha nguo cha 21st Century Limited kilichopo Kihonda Mkoani Morogoro leo ikiwa ni sehemu ya Utekelezaji wa Sheria ya Mazingira.
Hatua hiyo imechukuliwa kufuatiwa na kupuuzwa kwa maelekezo na maagizo ya mazingira yaliyokuwa yakitolewa nyakati tofautit tofauti na Ofisi ya Makamu wa Rais, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa ...
10 years ago
Habarileo21 Feb
NEMC yafungia kiwanda cha nguo cha 21st Century
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limekifungia kiwanda cha nguo cha 21st Century kilichopo eneo la Kihonda katika Manispaa ya Morogoro kufanya shughuli zozote za uzalishaji kuanzia jana, kutokana na kutiririsha maji taka na kusababisha uchafuzi wa mazingira.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-curVweAhA70/VozSh8xvBVI/AAAAAAADEiQ/jUm-M1P_Mak/s72-c/maj22.jpg)
WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA TUMBAKU MKOANI RUVUMA NA KUWASIMAMISHA KAZI VIONGOZI WA CHAMA CHA USHIRIKA CHA SONAMCU
![](http://2.bp.blogspot.com/-curVweAhA70/VozSh8xvBVI/AAAAAAADEiQ/jUm-M1P_Mak/s400/maj22.jpg)
Akizungumza jana jioni(Jumanne, Januari 5, 2016), katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu Ndogo ya Songea, wakati alipokutana na wakulima wa zao la tumbaku wa Wilaya ya Namtumbo, Wananchama wa Vyama Vya Ushirika vya Mkoa wa Ruvuma, viongozi wa Mkoa pamoja na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Edwin Ngonyani ambaye ni...
11 years ago
TheCitizen10 Apr
Bringing together China and America in the 21st century
10 years ago
Dewji Blog09 May
Waziri Mkuu akagua kiwanda cha viuadudu Kibaha
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiakagua mitambo ya kiwanda cha dawa za kuua wadudu hasa mbu kinachojengwa na watalaamu kutoka Cuba, Kibaha mkoani Pwani Mei 8, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watalaamu kutoka Cuba wanaojenga kiwanda cha dawa za kuua wadudu hasa mbu, Kibaha mkoani Pwani Mei 8, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua kiwanda cha kutengeneza dawa za wadudu hasa Mbu, Kibaha mkoani Pwani Mei 8,...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-vJ6OK3r_us8/VEzYZrc3W5I/AAAAAAACtjY/r8YlG-gj2r8/s72-c/PG4A68321.jpg)
WAZIRI MKUU PINDA ATEMBELEA KIWANDA CHA TREKTA POLAND
![](http://2.bp.blogspot.com/-vJ6OK3r_us8/VEzYZrc3W5I/AAAAAAACtjY/r8YlG-gj2r8/s1600/PG4A68321.jpg)
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda atatuma wataalamu wa sekta ya kilimo ili waje kufuatilia suala la mahitaji ya trekta ili kuziba pengo la mahitaji yake nchini Tanzania.
Alisema lengo la Serikali la kuanzisha sera ya Kilimo Kwanza lilikuwa ni kuwasaidia wakulima kupata ruzuku ya pembejeo, mbegu bora, na dawa za mifugo ili waweze kuongeza ushalishaji.
“Kutokana na mkopo wa Serikali ya India, tulipata matrekta 1,846 ambayo hayakuchukua muda kuisha. Sasa hivi tunatafuta wabia wengine wa kutupatia...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-oYIvqiRh9o0/XlTRdnpjD3I/AAAAAAAAvc4/2x519DJE5wIzKxne3tt-NdwYQAxmXq2LgCLcBGAsYHQ/s72-c/Untitled-1.jpg)
WAZIRI ZUNGU APIGA STOP NGUO ZA NDANI ZA MITUMBA
![](https://1.bp.blogspot.com/-oYIvqiRh9o0/XlTRdnpjD3I/AAAAAAAAvc4/2x519DJE5wIzKxne3tt-NdwYQAxmXq2LgCLcBGAsYHQ/s640/Untitled-1.jpg)
"Nguo za mitumba ambazo haziruhusiwi ni nguo za ndani kwa sababu ya maradhi, mfano Mwanamke anavaa vazi la juu (sidiria) huwezi kujua aliyevaa kabla yako alikuwa ana magonjwa gani, huo ndio mwanzo wa kusambaa kwa magonjwa ya saratani"
“Nimefanya ziara Mto Msimbazi shughuli za Binadamu zinaharibu kingo za Mto, Kuna mazungumzo yanaendelea...
10 years ago
Vijimambo19 Dec
President Obama Creates the Task Force on 21st Century Policing
Trust between law enforcement agencies and the people they protect and serve is essential to the stability of our communities, the integrity of our criminal justice system, and the safe and effective delivery of policing services.
In light of the recent events in Ferguson, Staten Island, Cleveland, and around the country, the Administration announced new steps to strengthen the relationships between local police and the communities they are supposed to protect and serve. One of the primary...
10 years ago
Vijimambo03 Jul
WAZIRI MKUU ETHIOPIA, RAIS KIKWETE WAZINDUWA KIWANDA CHA DAWA ZA WADUDU
![Waziri Mkuu Ethiopia, Hailemariam Desalegm pamoja na Rais Jakaya Kikwete wakiwasili katika uzinduzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Viuawadudu vya Kuua Viluwiluwi wa Mbu mjini Kibaha. Kiwanda hiki kinamilikiwa na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kwa ushirikiano na Kampuni ya LABIOFAM ya nchini Cuba.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/IMG_0383.jpg)
![Rais Jakaya Kikwete na mgeni wake Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegm wakiwa wamesimama kuimba nyimbo za taifa la Tanzania na Ethiopia katika hafla ya uzinduzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Viuawadudu vya Kuua Viluwiluwi wa Mbu mjini Kibaha. Kiwanda hiki kinamilikiwa na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kwa ushirikiano na Kampuni ya LABIOFAM ya nchini Cuba.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/IMG_0389.jpg)