Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEMC yafungia kiwanda cha nguo cha 21st Century

Mkurugenzi wa Uzingatiaji na Utekelezaji wa NEMC, Dk Robert Ntakamulenga BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limekifungia kiwanda cha nguo cha 21st Century kilichopo eneo la Kihonda katika Manispaa ya Morogoro kufanya shughuli zozote za uzalishaji kuanzia jana, kutokana na kutiririsha maji taka na kusababisha uchafuzi wa mazingira.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Kiwanda cha 21st Century chapigwa Kufuli

Na Victor Mariki – Ofisi ya Makamu wa Rais
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira, limetoa amri ya kfungwa shughuli za uzalishaji katika Kiwanda cha nguo cha 21st Century Limited kilichopo Kihonda Mkoani Morogoro leo ikiwa ni sehemu ya Utekelezaji wa Sheria ya Mazingira.
Hatua hiyo imechukuliwa kufuatiwa na kupuuzwa kwa maelekezo na maagizo ya mazingira yaliyokuwa yakitolewa nyakati tofautit tofauti na Ofisi ya Makamu wa Rais, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa ...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU APIGA STOP MATUMIZI YA KUNI KIWANDA CHA 21st CENTURY

PG4A8989Waziri Mkuu, MIzengo Pinda , Viongozi wa Baraza la Mazingiea nchini, NEMC na viongozi wa mkoa wa Morogoro wakitazama maji yenye sumu, kemikali na tindikali yaliyoekekezwa mtoni yakitoka kwenye viwanda vya 21st  Century cha nguo, Morogoro  Canvanse na kiwanda cha magunia cha Morogoro wakati alipotembela eneo Kihonda mbuyuni kukagua  athari za maji hayo.(Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu)……………………………………………………………………………..WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ametoa mwezi mmoja kwa Baraza la Taifa la Mazingira...

 

11 years ago

Michuzi

kiwanda cha nguo cha Mazava cha Morogoro chaadhimisha miaka mitano ya kiutendaji

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Bi. Janet Mbene (kulia) akiingia katika ukumbi kwa ajili ya halfa fupi ya miaka mitano ya kiwanda cha nguo cha Mazava cha Morogoro mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Wengine ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA), Dkt. Adelhelm Meru na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Bw. Joel Bendera (kushoto). Kiwanda hicho kinafanya kazi kwa leseni ya EPZA. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Bi. Janet Mbene akiongea wakati wa...

 

10 years ago

Habarileo

TBS yafungia kiwanda cha juisi

Nembo ya TBS.SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) imekifungia kiwanda cha Devideic cha mjini Morogoro kwa muda usiojulikana kuendelea na uzalishaji wa juisi aina ya Into.

 

11 years ago

Mwananchi

Kiwanda cha nguo cha Tooku kuajiri 3,000

>Kiwanda cha Tanzania Tooku Garments Co. Ltd kinachozalisha nguo kwa ajili ya soko la Marekani kinakusudia kupanua zaidi shughuli zake na kuongeza idadi ya ajira kutoka 1,000 hadi 3,000.

 

5 years ago

Michuzi

ZFDA YAFUNGIA KIWANDA CHA KUZALISHA SANITIZER FEKI KIEMBESAMAKI

Na Kijakazi Abdalla                Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) imekifunga kiwanda cha kutengeneza dawa za kukosha mikono (SANITIZER) baada ya kubainika dawa hizo hazina kiwango kinachohitajika pamoja na kutokuwa na usajili rasmi.Hatua ya kukifungia kiwanda hicho kinachojulikana kwa jina la OIL CAM kilichopo Kiembesamaki imekuja baada ya wasamaria wema kutoa taarifa kwa Mamlaka hiyo.Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari, Mkuu wa Kitengo cha Vipodozi ZFDA Salim Hamad Kassim...

 

9 years ago

Habarileo

NEMC yafunga kiwanda cha kusindika punda Dom

BARAZA la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limefungia na kukitoza faini ya Sh milioni 200 kiwanda cha kusindika nyama ya punda cha Huwacheng kilichopo katika Kata ya Kizota, mjini hapa.

 

9 years ago

GPL

NEMC IMEKIFUNGA KIWANDA CHA KUSINDIKA NYAMA YA PUNDA, DODOMA

Baraza la taifa la usimamizi wa mazingira (NEMC) limekifungia kiwanda cha Huwa Cheng Company Limited kilichopo mjini Dodoma na kukitoza faini ya shilingi milioni 200 baada ya kubaini kiwanda hicho kinajihusisha na usindikaji wa nyama ya Punda kinyume na utamaduni wa watanzania huku mazingira yake yakiwa hatarishi kutokana na uchafu unaozalishwa kuzagaa kwenye makazi ya watu. Ni mabishano makali baina ya wamiliki wa kiwanda hiki...

 

9 years ago

StarTV

Kiwanda cha nguo MWATEX Mwanza chasitisha uzalishaji

Mgao wa umeme unaoendelea kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa kwenye maeneo mbalimbali nchini umesababisha kusimama kwa shughuli za uzalishaji katika kiwanda cha nguo cha MWATEX jijini Mwanza.

Tatizo hilo la umeme ambala mpaka sasa halijapatiwa ufumbuzi imesababisha kiwanda hicho kushindwa kufanya shughuli zake za uzalisha jamba ambalo wamedai linachangia hasara

Uongozi wa kiwanda hicho umelazimika kuwapatia wafanyakazi wake likizo ya lazima kuanzia Agosti 15 mpaka Oktoba Mosi mwaka huu ingawa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani