ZFDA YAFUNGIA KIWANDA CHA KUZALISHA SANITIZER FEKI KIEMBESAMAKI
Na Kijakazi Abdalla Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) imekifunga kiwanda cha kutengeneza dawa za kukosha mikono (SANITIZER) baada ya kubainika dawa hizo hazina kiwango kinachohitajika pamoja na kutokuwa na usajili rasmi.Hatua ya kukifungia kiwanda hicho kinachojulikana kwa jina la OIL CAM kilichopo Kiembesamaki imekuja baada ya wasamaria wema kutoa taarifa kwa Mamlaka hiyo.Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari, Mkuu wa Kitengo cha Vipodozi ZFDA Salim Hamad Kassim...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo21 Feb
NEMC yafungia kiwanda cha nguo cha 21st Century
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limekifungia kiwanda cha nguo cha 21st Century kilichopo eneo la Kihonda katika Manispaa ya Morogoro kufanya shughuli zozote za uzalishaji kuanzia jana, kutokana na kutiririsha maji taka na kusababisha uchafuzi wa mazingira.
10 years ago
Habarileo30 Dec
TBS yafungia kiwanda cha juisi
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) imekifungia kiwanda cha Devideic cha mjini Morogoro kwa muda usiojulikana kuendelea na uzalishaji wa juisi aina ya Into.
10 years ago
Habarileo28 Aug
Kiwanda cha Dangote kuzalisha saruji mwakani
KIWANDA cha saruji cha Kampuni ya Dangote, kinachojengwa mkoani Mtwara kinatarajia kukamilika ujenzi wake na kuanza uzalishaji wa saruji mwishoni mwa mwaka 2015, ambapo mwekezaji wake, raia wa Nigeria, Aliko Dangote, amesema kiwanda hicho kitakuwa moja ya viwanda bora duniani.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-530SPh8kXCs/Xr1MqS80xgI/AAAAAAALqPA/69ZjwylDxVsIyVX7ycjr6-NSEGibQbJVQCLcBGAsYHQ/s72-c/6c5cc8f0-91c2-485e-a791-64bfa445b0be.jpg)
RC Shigella atembelea kiwanda kipya cha kuzalisha kadi za Kieletroniki
SERIKALI imetakiwa kuweka utaratibu utakaowezesha taasisi za Umma na watu binafsi, kuacha kuagiza kadi za kielektroniki nje ya nchi na badala yake watumie zinazozalishwa nchini ili kujenga uchumi wa viwanda.
Mkuu wa mkoa wa Tanga, Martine Shigella, alitoa pendekezo hilo wakati alipotembea kiwanda kipya cha kuzalisha vocha na kadi mbalimbali kinachojulikana kwa jina Rushabh Investment Ltd kilichopo Jijini Tanga.
Alisema akiwa kiongozi wa mkoa huo, atashawishi Serikali...
11 years ago
MichuziPOLISI KILIMANJARO YANASA KIWANDA CHA KUTENGENEZA KONYAGI FEKI
10 years ago
VijimamboBILIONEA ALHAJ ALIKO DANGOTE ATEMBELEA KIWANDA CHAKE MTWARA, NI KILE CHA KUZALISHA SARUJI
mfuko wa kwanza wa sementi utaanza kufyatuliwa Juni 8, 2015. - See more at: http://www.raiamwema.co.tz/saruji-ya-dangote-kushusha-bei#sthash.KvYcDSfE.dpufmfuko wa kwanza wa sementi utaanza kufyatuliwa Juni 8,...
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA KILIMO AZINDUA KIWANDA KIPYA CHA KUZALISHA MBEGU BORA ZA MAHINDI JIJINI ARUSHA
Uzinduzi huo uliongozwa na Naibu Waziri wa Kilimo na Chakula Godifrey Zambi ambaye alifungua rasmi kiwanda hicho ,Amesema kuwa tasnia ya mbegu ni tasnia muhimu katika ukuaji wa sekta ya kilimo hiyo amewataka wazalishaji mbegu kuongeza tija ili kukuza kilimo.
Ameeleza kuwa kampuni hiyo imetimiza matakwa ya serikali...
10 years ago
Dewji Blog20 Aug
Serikali inajenga Kiwanda cha kuzalisha viuadudu vya viluwiluwi vya mbu
Meneja Uhusiano wa Shirika la Maendeleo ya Taifa (NDC) Abel Ngapemba (kushoto) akiwa na Injinia Godfrey Mahundi.
Frank Mvungi-Maelezo
Serikali kutumia Euro Milioni 16 katika ujenzi wa Kiwanda cha kuzalisha viuadudu vinavyoua viluwiluwi vya mbu wanaoambukiza malaria ulioko chini ya shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) unaotarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu.
Hayo yamesemwa na Meneja Uhusiano wa Shirika hilo Bw. Abel Ngapemba wakati wa mkutano nawaandishi wa habari leo jijini Dar es...