Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


kiwanda cha nguo cha Mazava cha Morogoro chaadhimisha miaka mitano ya kiutendaji

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Bi. Janet Mbene (kulia) akiingia katika ukumbi kwa ajili ya halfa fupi ya miaka mitano ya kiwanda cha nguo cha Mazava cha Morogoro mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Wengine ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA), Dkt. Adelhelm Meru na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Bw. Joel Bendera (kushoto). Kiwanda hicho kinafanya kazi kwa leseni ya EPZA. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Bi. Janet Mbene akiongea wakati wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

NEMC yafungia kiwanda cha nguo cha 21st Century

Mkurugenzi wa Uzingatiaji na Utekelezaji wa NEMC, Dk Robert Ntakamulenga BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limekifungia kiwanda cha nguo cha 21st Century kilichopo eneo la Kihonda katika Manispaa ya Morogoro kufanya shughuli zozote za uzalishaji kuanzia jana, kutokana na kutiririsha maji taka na kusababisha uchafuzi wa mazingira.

 

11 years ago

Mwananchi

Kiwanda cha nguo cha Tooku kuajiri 3,000

>Kiwanda cha Tanzania Tooku Garments Co. Ltd kinachozalisha nguo kwa ajili ya soko la Marekani kinakusudia kupanua zaidi shughuli zake na kuongeza idadi ya ajira kutoka 1,000 hadi 3,000.

 

10 years ago

GPL

CHUO CHA IMAMU JAFAR SWADIQ CHAADHIMISHA KIFO CHA MTUME MUHAMMAD (S.A.W)

Sheikh Hemed Jalala akiwahutubia waumini (Hawapo pichani). Baadhi ya viongozi wakiwa meza kuu.…

 

10 years ago

Michuzi

PINDA AONGOZA KIKAO CHA KUTATUA MGOGORO WA KIWANDA CHA CHAI CHA LUPONDE

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na   Ali Juma Mkangala ,mmoja washiriki wa Mkutano wa Kutatua mgogoro wa kiwanda cha chai cha Liponda kilichopo Bumbuli Tanga. Mkutano huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Ofisi  ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga Septemba  13, 2014.Mbunge wa Mlalo, Brigedia Jenerali Mstaafu, Hassan Ngwilizi (kushoto) na Mbunge wa  Bumbuli , Januari Makamba (kulia) wakiteta na Waziri wa Kilimo , Chakula na Ushiriki Mhandisi Christopher  Chiza katika mkutano wa kutatua mgogoro wa kiwanda...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA TUMBAKU MKOANI RUVUMA NA KUWASIMAMISHA KAZI VIONGOZI WA CHAMA CHA USHIRIKA CHA SONAMCU

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea kiwanda cha kusindika  tumbaku  cha mkoani Ruvuma na kuwasimamisha kazi viongozi wa Chama Cha Kikuu Cha Ushirika cha SONAMCU.
Akizungumza  jana jioni(Jumanne, Januari 5, 2016), katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu Ndogo ya Songea, wakati alipokutana na wakulima wa zao la tumbaku wa Wilaya ya Namtumbo, Wananchama wa Vyama Vya Ushirika vya Mkoa wa Ruvuma, viongozi wa Mkoa pamoja na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Edwin Ngonyani ambaye ni...

 

9 years ago

StarTV

Kiwanda cha nguo MWATEX Mwanza chasitisha uzalishaji

Mgao wa umeme unaoendelea kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa kwenye maeneo mbalimbali nchini umesababisha kusimama kwa shughuli za uzalishaji katika kiwanda cha nguo cha MWATEX jijini Mwanza.

Tatizo hilo la umeme ambala mpaka sasa halijapatiwa ufumbuzi imesababisha kiwanda hicho kushindwa kufanya shughuli zake za uzalisha jamba ambalo wamedai linachangia hasara

Uongozi wa kiwanda hicho umelazimika kuwapatia wafanyakazi wake likizo ya lazima kuanzia Agosti 15 mpaka Oktoba Mosi mwaka huu ingawa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Taswira ya Bonanza la wafanyakazi wa kiwanda cha Tumbaku mkoani Morogoro

 Wafanyakazi wa kampuni ya Tanzania Leaf Tobacco Co. Ltd. (TLTC) na Tanzania Tobacco Processing Company TTPL wakishindana kunywa soda na kula mkate wakati wa bonanza la siku ya familia iliyofanyika Morogoro. Wafanyakazi wa kike wa kampuni ya Tanzania Leaf Tobacco Co. Ltd. (TLTC) na Tanzania Tobacco Processing Company TTPL wakishindana kuvuta kamba wakati wa bonanza la siku ya familia liliyofanyika wiki iliyopita katika viwanja vya Magadu.  Wafanyakazi  wa kampuni ya Tanzania Leaf Tobacco...

 

5 years ago

Michuzi

KUMBUKUMBU YA MIAKA MITANO YA KIFO CHA MWALIMU NOVATI SIMEON RUTAGERUKA


TAREHE 5 - MEI  UMETIMIZA MIAKA MITANO TANGU MWENYEZI MUNGU ALIPOKUTWAA TOKA HAPA DUNIANI.  PAMOJA NA KWAMBA KIMWILI HAUPO NASI, KIROHO TUNAKUKUMBUKA DAIMA.

UNAKUMBUKWA DAIMA NA WATOTO WAKO FLORIDA, ILLUMINATA, LIBERATA, DUNSTAN, JOYCE NA EDWIN PAMOJA NA WAKWE, WAJUKUU, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI.


IBADA YA MISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MWALIMU RUTAGERUKA ITAADHIMISHWA SIKU YA JUMANNE TAREHE  5 - MEI - 2015, KATIKA KANISA LA MTAKATIFU JOSEPH, DAR-ES-SALAAM, SAA 11.30 JIONI.



BWANA ALITOA, BWANA...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kituo cha Afya Ndago hakina huduma za upasuaji kwa miaka mitano

SAM_2087Jengo la kituo cha afya cha tarafa ya Ndago, wilayani Iramba, Mkoani Singida ambacho licha ya kutokuwa na huduma za upasuaji, lakini vile vile kituo hicho hakina usafiri wa gari la wagonjwa kwa miaka mine sasa huku gari lililokuwa limepangiwa katika kituo hicho kutumiwa na watendaji wa wilaya hiyo.(Picha zote na Jumbe Ismailly).

Na Jumbe Ismailly, Iramba

KITUO cha afya cha tarafa ya Ndago,wilayani Iramba,Mkoani Singida hakina huduma za upasuaji kwa miaka mitano sasa licha ya jengo la kutolea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani