Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI ZUNGU APIGA STOP NGUO ZA NDANI ZA MITUMBA

  Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mussa Zungu amepiga marufuku nguo za mitumba za ndani  kwakuwa zinasababisha maradhi kwa watumiaji.
"Nguo za mitumba ambazo haziruhusiwi ni nguo za ndani kwa sababu ya maradhi, mfano Mwanamke anavaa vazi la juu (sidiria) huwezi kujua aliyevaa kabla yako alikuwa ana magonjwa gani, huo ndio mwanzo wa kusambaa kwa magonjwa ya saratani"

“Nimefanya ziara Mto Msimbazi shughuli za Binadamu zinaharibu kingo za Mto, Kuna mazungumzo yanaendelea...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mitumba ya nguo za ndani yazagaa TZ

Licha ya kupigwa marufuku nguo za ndani za mitumba nchini Tanzania kutokana na sababu za kiafya, bado biashara inaonekana kunawiri.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nguo za ndani za mitumba zinauzwa Uganda

Nguo kuukuu au mitumba bado ni za bei nafuu hususan kwa walala hoi nchini Uganda na maeneo mengine ya Afrika Mashariki.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nguo za ndani za mitumba bado Uganda

Nguo kuukuu au mitumba bado ni za bei nafuu hususan kwa walala hoi nchini Uganda na maeneo mengine ya Afrika Mashariki.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nguo za ndani za mitumba huathiri mifumo ya uzazi

MIAKA ya nyuma Tanzania ilionekana kama dampo la kuingiza bidhaa zisizo na ubora, hatua iliyosababisha baadhi ya wadau kulitupia jicho Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ili kuliamsha. TBS  iliyoanzishwa kwa...

 

11 years ago

Habarileo

30 mbaroni kwa kuuza nguo za ndani za mitumba

WAFANYABIASHARA 30 wa nguo za ndani za mitumba wa jijini Arusha wamekamatwa kwa kufanya biashara hiyo kinyume cha sheria.

 

11 years ago

Habarileo

Zanzibar kupiga marufuku nguo za ndani za mitumba

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema nguo za ndani za mitumba zitapigwa marufuku mara baada ya kuanza kutekelezwa kwa sheria ya biashara ya mwaka 2013. Kauli hiyo imetolewa na Kaimu Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Juma Duni Haji wakati akiwasilisha utekelezaji wa majukumu ya wizara yake kwa Kamati ya Biashara Fedha na Kilimo kwa mwaka 2014.

 

11 years ago

Habarileo

Wauza nguo za ndani mitumba waizidi ujanja TBS

WAFANYABIASHARA wa nguo za ndani zilizo hafifu maarufu kama mitumba jijini Mbeya, jana waliwazidi ujanja maofisa wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kuficha nguo hizo wakati wa operesheni ya kuzikusanya na kuwakamata wauzaji.

 

10 years ago

Vijimambo

EXCLUSIVE: WAZIRI APIGA STOP TFF KUTAKA KUCHUKUA 5% ZA VODACOM, AZAM TV

Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia amelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kusitisha uamuzi wake wa kutaka kuchukua asilimia 5 za udhamini wa klabu zinazotolewa na makampuni ya Vodacom na Azam TV.Nkamia ameiambia SALEHJEMBE leo kwamba ameitaka TFF kusitisha jambo hilo."Kweli tumekutana TFF, Bodi ya Ligi na nimeagiza suala hilo kusitishwa mara moja," alisema Nkamia.Hata hivyo, Nkamia hakuweza kufafanua zaidi kwa kuwa alikuwa akiingia kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani