KITOKOLOLO RAPA WA FM ACADEMIA AHAMIA BENDI YA MASHUJAA
Kitkololo akitangaza rasmi kujiunga na bendi ya Mashujaa leo kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano Bw. Maximillian Luhanga.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Bendi ya Mashujaa Bw. Maximillian Luhanga akizungumza katika mkutano huo wakati alipomtambulisha rapa Kitokololo kushoto kutoka bendi ya FM Academia kulia ni King Dodoo mshauri wa bendi hiyo na katikati.
…………………………………………………………………….
BENDI ya Mashujaa imemchukua rapa, Kalidjo Kitokololo ‘Kuku’ kutoka bendi ya FM Academia na kusaini naye ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima17 Jun
Kitokololo atua Mashujaa Musica
RAPA wa Fm Academia, Kalidjo Kitokololo amejiunga rasmi na bendi ya Mashujaa kwa mkataba wa mwaka mmoja. Kitokololo, ameamua kumwaga wino kuitumikia Mashujaa, ambako ataungana na marapa wenzake, Sauti ya...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/gOUhNMx9r9M/default.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-K-uMzUopPTk/U33BK18OgaI/AAAAAAAFkbw/2cae0lL5_Ok/s72-c/unnamed.jpg)
Mashujaa bendi kufanya ziara mikoani
![](http://3.bp.blogspot.com/-K-uMzUopPTk/U33BK18OgaI/AAAAAAAFkbw/2cae0lL5_Ok/s1600/unnamed.jpg)
BENDI ya muziki wa dansi nchini Mashujaa, inatarajia kufanya ziara katika mikoa ya nchini nzima kwa ajili ya kutoa shukrani kwa mashabiki wao waliowapigia kura kwenye tuzo za Kilimanjaro Music Awards.
Akizungumza Dar es Salaam...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-RC8VwNk9BEM/Vnk4mZcrYwI/AAAAAAAAP20/1tRTUXu0YuY/s72-c/12399982_1123374587695490_811341673_o.jpg)
BENDI YA FM ACADEMIA YAWAPAGAWISHA WAKAZI WA MKOA WA ARUSHA NA VITONGOJI VYAKE
![](http://4.bp.blogspot.com/-RC8VwNk9BEM/Vnk4mZcrYwI/AAAAAAAAP20/1tRTUXu0YuY/s640/12399982_1123374587695490_811341673_o.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-SB-c19kMHEc/Vnk4p6iiFuI/AAAAAAAAP28/Ytx2CoekBFA/s640/12414122_1123373784362237_219707691_o.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-nzqJgL-s9JY/Vnk4tqUoi7I/AAAAAAAAP3E/PZfRsegIQzQ/s640/12404825_1123371557695793_1320178888_o.jpg)
11 years ago
Mwananchi11 Jan
FM Academia; Bendi ya muziki wa dansi wa kizazi kipya iliyokaa kileleni miaka 16
10 years ago
VijimamboTHE STARS BAND YAZINDULIWA RASMI SIKU YA EID MOSI NDANI YA MZALENDO PUB HUKU IKISINDIKIZWA NA BENDI YA FM ACADEMIA PAMOJA NA BARNABA
![](http://1.bp.blogspot.com/-DbKSIxEcMBI/VavMZMuhl2I/AAAAAAABSL4/K8gUhWx8El4/s640/DSC_0033.jpg)
Mkurugenzi wa The Stars Band, Aneth Kushaba akijitambulisha kwa mashabiki wakenm pamoja na azungumza na wapenzi wa bendi mpya ya The Stars Band wakati wa...
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/06/MG_1128.jpg)
BENDI MPYA YA VIJANA WANNE, RUBY BENDI WATINGA GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
Bongo527 Jan
New Video: Uncle G Matukutuku Ft Kitokololo — Nchabwede