Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BENDI MPYA YA VIJANA WANNE, RUBY BENDI WATINGA GLOBAL TV ONLINE

Waimbaji wa Ruby Bendi wakiwa katika pozi baada ya kufanya mahojiano na Global TV Online kutoka kushoto ni Suma Luvi, Smaina, Kwea Pia na Maya. (PICHA: GLOBAL TV ONLINE)

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BARNABA, PIPI NA RUBY WATINGA GLOBAL TV ONLINE

Barnaba akimpigia gitaa pipi aliyekuwa akiimba wimbo wake mpya wa Shauri Yako. Pipi akijibu moja ya swali aliloulizwa na waandishi (hawapo pichani). Barnaba akifanyiwa mahojiano na Shorvieny Mohamed katika kipindi cha Mtu Kati.…

 

10 years ago

Michuzi

BENDI YA MLIMANI PARK WAZINDUA WIMBO MPYA

Mratibu wa utamaduni wa Ubalozi wa Uswisi Kwame Mchuru akizungumza na wandishi wa Habari wakati wa uzinduzi wa nyimbo mpya leo katika ukumbi wa Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam, kulia ni Mwimbaji wa Bendi ya Mlimani Park Hassani Bichuka.Mwimbaji wa Bendi ya Mlimani Park Abdala Hemba akifafanua juuya wimbo mpya ambao umezinduliwa hii leo jijini Dar es Salaam,kulia ni Mpiga gita la bezi wa Bendi ya Mlimani Park Karama Tony na kushoto ni Mwimbaji wa Bendi ya Mlimani Park Hassani Bichuka.

 

11 years ago

GPL

NAVY KENZO WATINGA GLOBAL TV ONLINE

Wanamuziki wa kundi la Navy Kenzo, Aika na Nahreel wakiwa katika pozi ndani ya Global TV Online. Mtangazaji wa Global TV Online, Pamela Daffa akiwa katika mahojiano na Navy Kenzo (hawapo pichani).…

 

10 years ago

GPL

SHILOLE, NUH MZIWANDA WATINGA GLOBAL TV ONLINE JANA

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda (kulia) akiwa na mpenzi wake, Zuwena Mohamed 'Shilole' katika studio za Global TV Online. Host wa kipindi cha Me & You with Love, Melkiadi Oreje (katikati) akifanya mahojiano na wanamuziki hao wapenzi.…

 

10 years ago

Bongo5

Video: MB Dogg aezelea ujio mpya, ngoma yake na Q-Chief na bendi yao

MB Dogg amesaini mkataba mpya na kampuni ya QS Mhonda J ambayo ndiyo iliyomsainisha pia Q-Chief hivi karibuni. Wawili hao wataanzisha bendi ya pamoja ya kampuni yao, QS Music Band pamoja na waimbaji wengine. Akiongea na Bongo5 TV, MB Dogg amesema wiki ijayo wimbo alioshirikishwa na Q-Chief utaachiwa rasmi huku ngoma yake mwenyewe iitwayo ‘Herufi […]

 

10 years ago

GPL

KOMEDIANI ASHA BOKO, TAUSI WATINGA ‘LIVE’ GLOBAL TV ONLINE

Asha Boko na Tausi wakijibu maswali ya watazamaji wa kipindi cha 'Exclusive Interview' cha Global TV Online. Asha Boko akijibu swali la mtazamaji. Tausi naye akijibu maswali aliyoulizwa na watazamaji. WASANII wachekeshaji (komediani) maarufu nchini, Asha Boko na Tausi, leo wamefanya…

 

10 years ago

GPL

BELLA, BABY MADAHA WATINGA GLOBAL TV ONLINE, WAELEZEA WALIVYOJIPANGA KWA SHOO YAO YA BOXING DAY DAR LIVE

Baby Madaha (kushoto) akipozi na Isabella Mpanda 'Bella' ndani ya studio za Global TV Online leo. Baby Madaha katika pozi ndani ya Global TV Online kabla ya interview.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani