BENDI YA MLIMANI PARK WAZINDUA WIMBO MPYA
![](http://1.bp.blogspot.com/-uAapec4aN9s/VUjHP5QNdtI/AAAAAAAAAXI/TuGaHRUfOcg/s72-c/DSC_0482.jpg)
Mratibu wa utamaduni wa Ubalozi wa Uswisi Kwame Mchuru akizungumza na wandishi wa Habari wakati wa uzinduzi wa nyimbo mpya leo katika ukumbi wa Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam, kulia ni Mwimbaji wa Bendi ya Mlimani Park Hassani Bichuka.
Mwimbaji wa Bendi ya Mlimani Park Abdala Hemba akifafanua juuya wimbo mpya ambao umezinduliwa hii leo jijini Dar es Salaam,kulia ni Mpiga gita la bezi wa Bendi ya Mlimani Park Karama Tony na kushoto ni Mwimbaji wa Bendi ya Mlimani Park Hassani Bichuka.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog27 Jun
Skylight Band wazindua wimbo wao mpya kwa kishindo, leo ndani ya Thai Village hapatoshi njoo ucheze na kufurahi na staili mpya kibaoo!!
Divas wa Skyligth Band toka kushoto Aneth Kushab,Mary Lukos(katikati) na Digna Mpera(kulia)wakilianzisha Taratibuuu Ijumaa Iliyopita huku wakipendeza na kivazi chao cha asili ya Kitanzania
Diva wa Skylight Band Mary Lukos akilitiririsha Vocal kaliiiiii
Diva wa Skylight Band Digna Mpera akilisogeshaaaa taratibuuuuuuuu
Meneja mwenyeweee Aneth Kushaba kwa raha zakeeeee Akiiimba kwa furaha kabisa ndani ya Kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita,ambayo ilikuwa ni uzinduzi Rasmi wa Wimbo wao...
11 years ago
GPLSKYLIGHT BAND WAZINDUA WIMBO WAO MPYA KWA KISHINDO,LEO NDANI YA THAI VILLAGE HAPATOSHI NJOO UCHEZE NA KUFURAHI NA STAILI MPYA KIBAOO!!
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/06/MG_1128.jpg)
BENDI MPYA YA VIJANA WANNE, RUBY BENDI WATINGA GLOBAL TV ONLINE
9 years ago
Michuzi13 Dec
KUELEKEA MIAKA 37 YA MLIMANI PARK ORCHESTRA: LIST YA WANAMUZIKI WA SIKINDE WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI…
LISTI YA WANAMUZIKI WA SIKINDE WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI…
1. Abdallah Dogodogo2. Abel Baltazar3. Adam Bakari4. Ally Makunguru5. Charles John “Ngosha” (2011)6. Chipembele Said “Bob Chipe”7. Fadhili Uvuruge “Santimaa”8. Gaspar Kanuti9. George Kessy10. Gervas Herman11. Hamisi Juma “Maalim Kinyasi”12. Haruna Lwali13. John Malyanga14. Joseph Mulenga “King Spoiler”15. Juma Banduki16. Juma Hassan Town (1997)17. Kassim Mponda...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/WLxkAn77OZc/default.jpg)
10 years ago
VijimamboMJUMITA WAZINDUA WIMBO WA MKUHUMI ULIOIMBWA NA MPOTO, AFANDE SELE NA DAYNA
Hayo yalisema jijini Dar es Salaam leo wakati wa uzinduzi wa wimbo maalum wa kuhamasisha utunzaji wa mazingira uliojulikana kama ‘Mkuhumi’.
Wimbo huo ulioimbwa na wanamuziki wa kizazi kipya Seleman Msindi ‘Afande Sele’, Dayna Nyange pamoja na msanii nguli wa kughani mashairi Afrika Mashariki, Mrisho Mpoto maarufu kama ‘Mjomba’.
Akizungumza kwenye...
10 years ago
Bongo524 Nov
Navy Kenzo wazungumzia album mpya, ‘Niroge na wimbo mpya ‘Moyoni’
10 years ago
Vijimambo30 Nov