Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHILOLE, NUH MZIWANDA WATINGA GLOBAL TV ONLINE JANA

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda (kulia) akiwa na mpenzi wake, Zuwena Mohamed 'Shilole' katika studio za Global TV Online. Host wa kipindi cha Me & You with Love, Melkiadi Oreje (katikati) akifanya mahojiano na wanamuziki hao wapenzi.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SHILOLE, NUH MZIWANDA

IMEGUNDULIKA kuwa uhusiano wa staa wa Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, na mpenziwe Nuh Mziwanda ni kazi bure kwani uwezekano wa kufunga ndoa kati yao haupo kutokana na kupishana imani.Ishu hiyo imejidhihirisha juzikati nyumbani kwa wawili hao Mwananyamala-Manjunju jijini Dar, baada ya paparazi wetu kuwaibukia na kutaka kujua malengo yao zaidi kama wana mpango wa kuoana au la, msikie kwanza Nuh: Staa wa Mduara,...

 

10 years ago

CloudsFM

Shilole: Marafiki wananigombanisha na Nuh Mziwanda

MSANII wa muziki na mwigizaji wa filamu za Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, ameamua kuweka wazi chanzo cha migogoro yake na mumewe mtarajiwa, Nuh Mziwanda kuwa ni marafiki.

Shilole alidai kuwa mara nyingi wamekuwa wakigombana, lakini chanzo kikiwa ni maneno ya uchonganishi kutoka kwa marafiki zao wa karibu ambao wana lengo la kuwatenganisha. Mwanadada huyo alidai kutokana na hali hiyo, hivi sasa ameamua kutowahusisha suala lolote linalohusu maisha yake ili kupunguza migogoro ya mara kwa...

 

10 years ago

GPL

SHILOLE: SASA NAMZALIA NUH MZIWANDA

Chande Abdallah Kutoka kwenye mtima! Staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefungukia ishu ya kumbebea mimba mpenzi wake, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ ili kuwafunga midomo wanawake wa mjini ambao wanamzengea jamaa huyo. Staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa katika pozi na mpenzi wake Nuhu Mziwanda. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Shilole alitiriria kuwa, kwa muda mrefu...

 

10 years ago

CloudsFM

NUH MZIWANDA KUMUOA SHILOLE HIVI KARIBUNI

Baada ya kumvisha pete mchumba wake Shilole siku ya birthday yake,msanii Nuh Mziwanda amesema kuwa muda wowote kuanzia sasa atamuoa mchumba wake huyo.''Kumvisha pete mchumba wangu ni hatua kubwa na mama yangu alianiambia nikimvisha pete mchumba wangu nisikae muda mrefu na nifunge naye ndoa kwahiyo nafuata ushauri wa mama na nitamuoa Shishi muda si mrefu,''alisema Nuh Mziwanda.

 

11 years ago

GPL

SHILOLE, NUH MZIWANDA WAONYESHANA MAPENZI UPYA

Nuh Mziwanda akiwa na mpenzi wake Shilole.   Mapenzi ya Nuh Mziwanda na Shilole yaliripotiwa kuvunjika hivi karibu yamerudi kwa nguvu zaidi siku ya…

 

10 years ago

Bongo Movies

Shilole Atoboa Sababu ya Kuachana na Nuh Mziwanda

Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amedai kuwa wivu ndiyo uliosababisha yeye na mchumba wake Nuh Mziwanda kuachana.

“Nuh haniamini kabisa na ana wivu kupitiliza ndo chanzo cha kuachana”  Shilole  amenukuliwa na Eatv.tv akieleza.

Wawili hao wamekuwa wakijibizana kwa maneno ya shombo kwenye midandao ya kijamii mara baada ya kuachana.

 

 

10 years ago

Bongo Movies

Nuh Mziwanda: Wengi Walimshauri Shilole Aniache

Msanii wa Bongofleva ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa 'Ganda la Ndizi' Nuh Mziwanda akiwa na mchumba wake Shilole amefunguka na kusema watu wengi walimshauri mpenzi wake huyo amuache.

Nuh amesema watu walimpatia ushauri huo Shilole, baada ya hivi karibuni kusambazwa sauti yake katika mitandao ya jamii akisikika kumtaka kimapenzi msanii wa Bongo Movie Wema Sepetu, mazungumzo yao yalikuwa yamerekodiwa kwa njia ya simu na kusambazwa na mtu asiyejulikana.

Nuh Mziwanda amesema...

 

10 years ago

Bongo Movies

Shilole Avishwa Pete ya Uchumba na Nuh Mziwanda

Mwigizaji na mwanamziki maarufu wa kike hapa Bongo, Zuwena Mohamed  “Shilole” ambae ni mama wa watoto wawili  usiku huu akishereke siku yake ya kuzaliwa maeneo ya Mikocheni jiji Dar, amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake wa muda mrefu sasa, Nuh Mziwanda ambae pia ni mwanamziki.

Tunawatakia kila kheri wapendanao hawa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani