Diamond na Vanessa Mdee waing’arisha tena Tanzania kwa kushinda tuzo za Afrima Nigeria
Diamond Platnumz na Vanessa Mdee wameshinda tuzo nyingine za kimataifa za ‘All Africa Music Awards’ (AFRIMA) zilizotolewa usiku wa December 27 huko Lagos, Nigeria. Vanessa a.k.a Vee Money ameshinda kipengele cha ‘Msanii Bora wa Kike Afrika Mashariki’, na kuwashinda Wahu (Kenya), Size 8 (Kenya), Muthoni the Drummer Queen (Kenya), Kaz (Kenya) na Jackie Chandiru (Uganda) […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo516 Nov
Diamond Platnumz na Vanessa Mdee washinda tuzo 4 za AFRIMA 2015 Nigeria
![d n v](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/d-n-v-300x194.jpg)
Tuzo za All Afrika Music Awards 2015 (AFRIMA) zimetolewa usiku wa Jumapili November 15 jijini Lagos, Nigeria ambapo Tanzania imetoa washindi wawili.
Diamond Platnumz aliyekuwa akiwania tuzo hizo ameibuka mshindi wa vipengele 3 kikiwemo kipengele muhimu cha Msanii Bora Wa Mwaka (Artist Of The Year) ambayo ilikuwa ikiwaniwa na Alikiba, Davido, Jose Chameleone, Wizkid, Yemi Alade, Sarkodie na Flavour.
Vipengele vingine alivyoshinda Diamond ni Msanii Bora wa Kiume Afrika Mashariki (Best...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kdMiOwfaxve7ykrcsaRm3CZHyRkpBBgCR4UgDB8ykNZkFupjz*IjlVzlAbEv7BHpAaAXj4nFY5uvTMC0-bo7zFPdZ04kGuNm/msechu.jpg)
DIAMOND, VANESSA WASHINDA TUZO ZA 2014 AFRIMA HUKO NIGERIA
10 years ago
Bongo503 Oct
BASATA lawapongeza Diamond, Msechu na Vanessa kwa kutajwa kuwania tuzo za AFRIMA 2014
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wib7New*8449JzCm7vuy20o0qs5Uz5h3CUBFj8cGSALM8n0D9ziE8f5zLwVoZN1KorbvjGuzubDtva2JiDuw2NqvNUbobUQS/MTV.jpg?width=650)
DIAMOND, VANESSA MDEE WATAJWA TUZO ZA MTV 2015
9 years ago
Bongo511 Oct
Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz washinda tuzo za Afrimma
9 years ago
Bongo503 Dec
Diamond, Alikiba na Vanessa Mdee watajwa kuwania tuzo za HiPipo za Uganda (2016)
![tuzo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/tuzo-300x194.jpg)
Diamond Platnumz, Alikiba na Vanessa Mdee wametajwa kuwania tuzo za muziki za Uganda, HiPipo za mwaka 2016.
Wasanii hao wametajwa kwenye vipengele vya Afrika Mashariki.
Kipengele cha kwanza ni East Africa Super Hit ambacho kinawaniwa na wasanii wa Kenya na Tanzania. Nana ya Diamond Platnumz, Nobody But Me ya Vanessa Mdee f/ K.O na Mwana ya Alikiba zimetajwa.
Kingine ni East Africa Best Video ambapo Nana ya Diamond Platnumz na Nobody But Me ya Vanessa Mdee zimetajwa.
Bofya hapa kusoma majina...
9 years ago
Bongo508 Oct
Picha: Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz waenda Marekani kwenye tuzo za Afrimma
10 years ago
Vijimambo30 Dec
VENNESSA MDEE ATWAA TUZO AFRIMA
![](http://api.ning.com/files/uVSra6c8ZxUTXZg91jLmvFkxt1Yr7w*CoIwEtj4zXKSEbXJ1Z5tYn4TCXdK2qxGmWyfJtWVGOkTEdMO*vDKovoXK3o84kVGr/VANESSAMDEE.jpg?width=650)
Na Gladness Mallya
MWANADADA anayefanya vizuri katika muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee kwa mara ya kwanza amewatoa kimasomaso wasanii wa kike Bongo kwa kutwaa tuzo ya kimataifa za All Africa Music Awards ‘AFRIMA’ nchini Nigeria.
Akizungumza na paparazi wetu Vanessa ambaye amepata tuzo ya Msanii Bora wa Kike Afrika Mashariki alisema anawashukuru mashabiki kwa kuwa wameonesha moyo wa kumpigia kura mpaka kuwashinda wasanii...
10 years ago
Bongo526 Sep
Vanessa Mdee atajwa kuwania ‘All Africa Music Awards’ AFRIMA 2014, kuchuana na 2 Face na Maurice Kirya